Mkuu,
Naona vijana wanapenda sana kuingiza pua kwenye mambo muhimu sana ya usalama wa nchi.
Stability na Amani ya Tanzania haipatikani kwa kubinua pua, kuna watu wako kazini usiku na mchana kwa ajili ya kuhakikisha usalama wa wote.
Kibiti(located jst few kms from Dar) ilikua tayari a hotbed ya terrorists tryn hard to destroy our nation peace, wajinga hawataki kukubali hilo.
Baada ya kushughulikiwa wakakimbilia nothern Mozambique ndio wakaanza kupewa attention eti kuwa ni terrorists waliotoka TZ.
Mashabiki wa hii habari ni wale walizoea kuishi ktk nchi zinazosumbuliwa na terrorists kila siku mpaka imekuwa ni oder of the day..
Our nation cultural and social fabric is very complex mambo Kama ya Kibiti yakiachiwa ku-replicate in other parts of the country eneo lote la EAC, Great Lakes na SADC litaharbikiwa kwa kasi Falcon X.
Ndio maana ulileta pua zako ktk mambo nyeti ya usalama wetu ni lazima tule sahani moja na wewe hata ukiwa nani.
Sent zangu 2.