Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 96
- Thread starter
-
- #101
Oyaa dogo...naona umezinduka eeh....jana ulikunywa nini? Kangala...?..chibuku...? Komoni?...kimpumu?...au your all time favorite..gongo? lol..
Haya dogo ushindwe wewe tu sasa maana mi mwenzio nahisi nimeanza kupigwa chini kidogo kidogo maana haiwezekani eti Cupcake wangu ai-miss njemba ingine....kwa hiyo usilaze damu...changamkia totoz hiyo...
Taratibu unaanza, ooh namiss anavyotype, ooh he is so funny..before you know you have been swept off of your feet!
Kelly upo????,mambo vp mwana,mwaga ishu
Mmmmhh...wewe cupcake...wewe....
jamani kaniuliza tuu kama nipo! .....balantata seems like he is a pastor dont you think!
jamani kaniuliza tuu kama nipo! .....balantata seems like he is a pastor dont you think!
ahahahahahaaa...eti he seems like a pastor? yaani uko naive kiasi hicho? angalia hiyo avatar yake uone alivyo suave....shauri yako wewe mchekee chekee tu....
Yeah am a pastor like mazee,,umejuaje?????????
ahahahahahaaa...eti he seems like a pastor? yaani uko naive kiasi hicho? angalia hiyo avatar yake uone alivyo suave....shauri yako wewe mchekee chekee tu....
i can tell maana una-sound kama pastor wetu mmoja hivi....
Huyo mtu aliyemuweka kwenye aviatar simpendi kwa sababu alikuwa kwenye prison break huyo jamaa akawa anataka kumuua Tony scorfio na kaka yake..then mahony akaja kumuua....
haya...we ngoja aje na biblia yake akusomee neno la Mungu...
Hahahaaaaaaaaaa...unamzungumzia hitman Wyat a.k.a Cress Williams..jamaa alikuwa na roho mbaya kimbwa ndani ya PB,lakini katika real life ni bonge la mpole
yeah huyo huyo alikuwa na roho mbaya sana i hated him aisee!...yaani duh alivyokuja kushikwa yeye alikoma kuringa...yaani alikuwa hata hata roho ya huruma anauwa vibaya kweli kweli....ila all in all mimi anayenifurahisha ni yule m-mexico sijui atarudi tena alikuwa side ya scorfio na kaka yake...kila akijua wanafanya kitu lazima apige cross kwanza...
Namwambiaga cupcake kila jumatatu aangalie hataki....ila siku hizi kidogo he is getting there...that is a nice show ever!
Fernando Sucre
Kama yule Rev. Kishoka ni wa kuogopa mno...akishavaa suti yake ya pink anakuwa p.i.m.p na mambo ya kanisa yanatoswa!!! Kaa nae mbali.....
Kama yule Rev. Kishoka ni wa kuogopa mno...akishavaa suti yake ya pink anakuwa p.i.m.p na mambo ya kanisa yanatoswa!!! Kaa nae mbali.....