Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 96
- Thread starter
-
- #121
NN,
Hivi wewe hobby yako ni nini /vitu gani!?? maana nikiangalia flow ya mazungumzo hapa, unaachwa kichizi yaani.....
.
NN,
Hivi wewe hobby yako ni nini /vitu gani!?? maana nikiangalia flow ya mazungumzo hapa, unaachwa kichizi yaani.....
Balatanda,
Mie nipo tu naugulia baridi, maana tumekuwa tunapigwa snow atleast once a week toka wk ya desemba 16th, 2008!!! Yaani ikitaka kuyeyuka nyingi mupyaaa inakuja.....we acha tu.
I can answer on his behalf!...he love to watch footbal,skiing,wach movies,play soccer,talk to me,listen to music,wrestling,cars and list goes on and on!....
you forgot one thing....working out....i gotta stay in shape, you know...
Dang! why did i forget that one eeh!..yes and work out 5 days in a week.
mmh "you" got or "we" got...lol!
I said "I" coz u'been slacking here lately....all you want to do is just curl up on the couch and read books....
Usimkilize huyo NN mie sipingi tungi.....matter of fwact ni hamsa salawat!
129 lbs?? na urefu wako ni ngapi? kama ni 5'2" basi utakuwa ni phat.....na "mdako" upo?
na wewe una urefu gani? 5'4"....ahahahahahahaaa....cupcake akivaa stilleto zake anakupita urefu....dang....that sucks
Na maanisha kwamba nina sali sala tano......
Cupcake wako kasema wewe unapenda movie, hivi ni movie gani uloiona siku za hivi karibuni!??
Na maanisha kwamba nina sali sala tano......
Cupcake wako kasema wewe unapenda movie, hivi ni movie gani uloiona siku za hivi karibuni!??
We nae unaleta zako zipi hapa saa hii? kwikwikwi unataka kunigombanisha na NN...si unaona jinsi alivyotolea mimacho na kuniua kama hanijui!! Kaaaazi kweli..
Huyo "mnyalu" sio sampuli zangu, siunajua mie sipigi micheck famba? Anajifanya high maintenance kwikwikwi, siku si nyingi utasikia ki-baraghashia kinapita hapa cha donee la kumtoa NN lupango kwa kosa la kupiga check za kuchonga!! Tunampotezaaaaa, si unaona kaachia na midevu kama Osama ili kuzi-fool camera za bank.....LOL, analeta mambo ya sinema kwenye really life!
Eeenh kwanza umelichabo "TAKEN"??
Ameona seven pound,notorius BIG,Catch me if you can,ile recordaliyo act beyonce nimesahau inaitwaje,Taken.....and so on
Kama ni 5'5" na huo uzito wa 129lbs, basi wewe ni fat...nikitumia IBW unatakiwa ukate kama pound nne hivi!! IBM yako nayo lazima itakuwa kubwa kuliko......oooh well, hivyo vi-pound vya nyongeza vinasaidia kufanya "mdako" ufutuke flani hivi....
Anduje ni yule Yo-yo, nasikia kajamaa urefu ni 5'3"!
Hope wamaanisha Cadillac Records

Mie tolu mrefu sehemu zote nina miguu mitatu.....huwezi kunilinganisha na mwanakijiji......nafikiri msosi hevi pia umechangia kwenda hewani.......Hehehehehe..Yo Yo 5'3 na Mwanakijiji 5'2.....eheheheheheheeee....sijui wanapataje mademu....
angalau Mwanakijiji anaweza kumwingia demu kwa kumtungia mashairi ila Yo Yo ndio sijui kabisa....yaani jamaa hana game kabisa..lol
Mie tolu mrefu sehemu zote nina miguu mitatu.....huwezi kunilinganisha na mwanakijiji......nafikiri msosi hevi pia umechangia kwenda hewani.......
YNIM naona leo saafi hujautwika chang'aa.....yaani unavyoandika leo kama sisi..hongera sana
Nafikiria kuiangalia tena leo au kesho....Kelly01 hasemi kweli, there is no chance kwamba NN kaiona "Taken"! Jamaa hana life zaidi ya kupiga majungu hapa JF......
IBW yako inafaa iwe kwenye 125lbs....lakini kwa sista du kama wewe inabidi uwe 110lbs....LOL