tehe tehe teheteheMwambie cupcake wako anyoe hiyo midevu....mie inanikera sana, hivi na hiyo midevu akienda "uvinza" inakuwaje? I bet lazima itakuwa kero flani hivi na atahitaji toothpicks kutoa minywele ktkt ya meno....LOL
Haya nimekubali! Ushapata lunch lakini au ndio una "vusha" kiaina kwa kupitia JF!?
Mwambie cupcake wako anyoe hiyo midevu....mie inanikera sana, hivi na hiyo midevu akienda "uvinza" inakuwaje? I bet lazima itakuwa kero flani hivi na atahitaji toothpicks kutoa minywele ktkt ya meno....LOL
tehe tehe tehetehe
afu sasa ukute wanja la taifa halijafyekwa nyasi.....lazima atoke na rangi mbili mdomoni..hudhurungi na manjano
Hahahahaha inapendeza kuona una misimamo imara namna huyo....maana mwingine hapo ange-end kuwa anorexic!!!
Umeona demu wa Tony Romo yule Jennifer alivyonenepa.....utafikiri mama mwenye mitoto minne!?
pesa inaongea na urefu wangu huu huu.....cuzin wako longo longo nyingi la muje de vida Isidingo kibao.......totozi za sasa mfuko utune.....omg!...ooh you again shortiii you are so grossy!...we are so clean jamani hebu leave us alone...
Inabidi umtafute cuzin wangu mwanakijiji akufundishe how to write mashairi ili upate demu kumbe upo too short ndiyo maana inakuwia taabu sana kupata demu hahahahah!....
una kg ngapi?....sio lbs siyajui hayo.....Yeah i saw jennifer na anapata bad publicity na unene wake wanamcheka sana..yule sasa hivi utakuja kusikia ame loose 10 pounds...
saa nyingine women lack confidence ukimwambia tuu this basi weeh atachanganyikiwa....me never!...you kno wi dont buy bullshit....i am sturbon like that..but not to my cupcake.
pesa inaongea na urefu wangu huu huu.....cuzin wako longo longo nyingi la muje de vida Isidingo kibao.......totozi za sasa mfuko utune.....
una kg ngapi?....sio lbs siyajui hayo.....
Hahahahaha inapendeza kuona una misimamo imara namna huyo....maana mwingine hapo ange-end kuwa anorexic!!!
Umeona demu wa Tony Romo yule Jennifer alivyonenepa.....utafikiri mama mwenye mitoto minne!?
Hahahaha nimeona hata mimi wanavyomchambua.....kuna story inasema amejiachia ili apate **** kama mademu wa kinugu au kispanish! Lakini yeye mpaka tumbo na minyama uzembe kila mahali! Cupcake wako lakini anazimia mizigo saizi ya Zena, ndio maana na wasiwasi na mustakabala wa mahusiano yenu hahahaha....una uhakika kuwa kafika!?
Mpwa hope wamzungumzia Jessica Simpson demu wa TR...Demu kaharibika mno kwa unene wake..kapoteza mvuto kiaina
hapana 129 lbs ni sawa na kama kilo 58 (58 kg)!! 1kg ni sawa na 2.2 lbs......
basi hulipi.....mie nataka wezere lenyewe tu liwe 40kgs.........inaonekana umnepigwa pasi...i think hizo ni close to 45-8 kg kama sikosei....
basi hulipi.....mie nataka wezere lenyewe tu liwe 40kgs.........inaonekana umnepigwa pasi...
Haha, duh nyie kiboko lol wewe Kelly huyo cupcake wako ameshakufundisha kusonga ugali? alafu kabila ya cupcake wako lazima wewe utakuwa mweupe ama ushatumia mkorogo maana watani wangu hawa kama demu sio mweupe basi sio mzuri.
Taken, nakwenda kuiangalia ijumaa, hivi hii The International itakuwa nzuri?
Haha, duh nyie kiboko lol wewe Kelly huyo cupcake wako ameshakufundisha kusonga ugali? alafu kabila ya cupcake wako lazima wewe utakuwa mweupe ama ushatumia mkorogo maana watani wangu hawa kama demu sio mweupe basi sio mzuri.
Taken, nakwenda kuiangalia ijumaa, hivi hii The International itakuwa nzuri?
Ebana umesikia soo ya Porsche Foxx babu? Yule mlimbwende noma...yaani jana nimemwona kwenye TV anaonekana very crackish....
Namwona Cuzn Da 5'2 aka Mwanakijiji.....