hahahaha mnazungumzia TISS hii ya mkwere au!!!
Mkuu kwa kweli hii TISS ya mkwere imelitia mno aibu taifa letu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha mnazungumzia TISS hii ya mkwere au!!!
We c n mtz kimombo cha nn sasa hapo acha utumwa mambo leo
Unyamela_ni ushilawadu kama ulivyo ushilawadu wowote uleNi suala ambalo nimekuwa nikijiuliza sana, nimejaribu ku-google lakini sijafanikiwa kupata chochote kulingana na swali linavyouliza hapo juu. Sana sana nilichokutana nacho ni Most Powerful Intelligence Agencies In The World na ule uzi uliopachikwa humu humu uhusuo top ten intelligence agencies of the world.
Nisaidie mdau, ninatamani kufahamu sana nikiwa ni mmoja wa waafrika lakini zaidi Mtanzania Mzalendo Which countries in AFRICA have the best intelligence agencies? au kama kwa hilo litashindikana kabisa kupatikana basi hata ka-top ten intelligence agencies in Africa.
Natanguliza Shukrani.
Hapo hujakosea, NSIS ya Kenya imedhihirisha kuwa bora zaidi. Inafaa ifahamike
- Hakuna shambulizi limetendeka bila wao kutoa tahadhari, ni vile hawaruhusiwi ku-engage
- Polisi ndio wamekua wakizembea
- Hakuna nchi Afrika yote iliyokumbwa na changamoto tulizo nazo, mkoa mzima wa Wasomali na wengi wakiwemo mjini na hata kwenye madaraka serikalini, na wanafahamika wengi kuwa na mlengo wa Ki-Alshabaab.
TISS hawajakumbana na chochote maana Watanzania wengi kuanzia mwanzo walishalainishwa na mwalimu na kukaa kiuzalendo. Nchi yote ya Bongo haina sehemu kame, hivyo watu wake wapo na shibe siku zote, na ndio unaona siku zote wanaimba CCM.
I don't think so!kwa sasa nadhani Rwanda
Unaongelea ya kale, ongelea kwa nyakat hiziBaadhi ya watu wanawalaumu TISS kwa sababu ya kutumiwa na wanasiasa kuwaweka madarakani CCM lakini nakuhakikishia kuwa TISS ni best ktk AFRIKA tUlipata changamoto nyingi sana ambazo ziliijenga TISS kuwa bora na ya kimataifa,changamoto hizo zilikuwa wakati wa ukombozi wa bara la afrika kiasi kwamba kamati ya ukombozi ilikua na mwenyekiti wakudumu Mtanzania BRIGEDIA Hashim Mbita.
hahaa daah kazi sanaHapo hujakosea, NSIS ya Kenya imedhihirisha kuwa bora zaidi. Inafaa ifahamike
- Hakuna shambulizi limetendeka bila wao kutoa tahadhari, ni vile hawaruhusiwi ku-engage
- Polisi ndio wamekua wakizembea
- Hakuna nchi Afrika yote iliyokumbwa na changamoto tulizo nazo, mkoa mzima wa Wasomali na wengi wakiwemo mjini na hata kwenye madaraka serikalini, na wanafahamika wengi kuwa na mlengo wa Ki-Alshabaab.
TISS hawajakumbana na chochote maana Watanzania wengi kuanzia mwanzo walishalainishwa na mwalimu na kukaa kiuzalendo. Nchi yote ya Bongo haina sehemu kame, hivyo watu wake wapo na shibe siku zote, na ndio unaona siku zote wanaimba CCM.
nipe namba yko mkuu nkuunge chapnahitaji kujua jinsi ya kujiunga na taasisi ya usalama wa taifa(tiss)
Kwa sasa inaitwa NIShapana mkuu,ni NSIS-kenya.LMFAO.
sorry man,i'm pranking lawmaina78 .
Labda kama ni ya kipindi hicho lakini sio hii ya pombeTISS iko vizuri sana. TISS iliweza kwenda sambamba na BOSS shirika la kijasusi la Arika Kusini ya kikaburu na kulishinda
Mandela alivyoshika madaraka tulitaniana kuwa jana tulikuwa maadui leo tumekuwa marafiki