Asili Tanganyika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 571
- 82
hata habari sina kaka, nipe mji.
Acha uoga una muogopa mkurugenzi wa operesheni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata habari sina kaka, nipe mji.
Kamuulize Idd Amin akuambie kilichomkuta. Mfuate huko huko kaburini maana naona huelewi mambo ya TZ.
Tanzania ( Tanzania has the most powerful army in east africa, The Tanzania Peoples' Defence Force (TPDF) ( Swahili: Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)) the one defeated Idi Amin in Uganda with big help from Muammar al-Gaddafi of Libya)
9) Uganda
10) Kenya
Well, unless these challenges are common and their extents are measurable then you can have a gauge.............what appears to be "terrorism" in Kenya as of now, they are just day to day "situations" in Gaza belt.......so it is an open debate if not a puzzle
One agency can deal with the "terrorism" by diluting the mission by infiltrating and arresting by both overt and covert ops. simply because they can engage directly depending on the situation because the "law" mandates them to do so.......while the other is not allowed to engage.......so how do you compare the two regarding their capacities!!!!?????
Kuna counter intel. issues pia ambazo raia wa kawaida hawezi ona bayana na hata wahusika sio wote wanapewa A-Z kuhusu nini kinafanyika say unaambiwa endesha mpaka Moro atakuja mtu achuke hili gari we liache sehemu X then panda basi nenda Arusha utaelekezwa huko ........kwa mfano lakini alilofanya huyu wala hajui hapo Moro gari itaelekea wapi so nchi kama nchi inaweza kuwa na challenges nyingi ambazo raia hawazijui na kukawa na amani lakini ukweli ni kuwa kuna watu hawalali sababu wengine waishi kwa amani.......na siyo changamoto zote zinawekwa wazi kwa hiyo ukisubiri kupima uwezo kwa kigezo hiki basi utaweza tu kuwa na uwezo wa zile agencies ambazo zimewahi kukutana na changamoto husika .......................na je hizo changamoto zinawekwa wazi kiasi gani???????
Njia za utatuzi zinawekwa wazi kiasi gani??????
Kitachoonekana ni matokeo tu lakini nini kimesababisha matokeo hayo si rahisi kujulikana na hiyo ndiyo intelligence !!!!!!! Ikifikia mapaka hapa watu wajue kuwa changamoto ya nchi X walitumia YEDS kuitatua basi hapo hakuna kitu tena
..to what extent?...How???!!
..hahaha nimeipenda hii,...Ethiopian Intelligence Agency nfo bora kuliko wote. Alshabab hawathubutu kiwachezea Waethiopia.
Baadhi ya watu wanawalaumu TISS kwa sababu ya kutumiwa na wanasiasa kuwaweka madarakani CCM lakini nakuhakikishia kuwa TISS ni best ktk AFRIKA tUlipata changamoto nyingi sana ambazo ziliijenga TISS kuwa bora na ya kimataifa,changamoto hizo zilikuwa wakati wa ukombozi wa bara la afrika kiasi kwamba kamati ya ukombozi ilikua na mwenyekiti wakudumu Mtanzania BRIGEDIA Hashim Mbita.

kuna sehemu gani imeandikwa mtu au rais asinunue nyumba kokote duniani?
kama hakuna evidence kuwa kala rushwa sasa whats the big deal
au kwa sababu rais MMAKONDE?
Ni kama consultant,nia ni kutengeneza nidhamu na chain of command.
Mkuu unajua kwa nn Adadi kapelekwa Harare?Yu wapi Tsavangirai?
Unajua kwa nn Kagame kakataa yule balozi?lakini soon tutasikia tu side effects.
Hawa jamaa wa TISS ni wabaya sana kaka..sinema ya Chadema imeanza taratiiibu kama alivyobashiri Tyson
Hapo hujakosea, NSIS ya Kenya imedhihirisha kuwa bora zaidi. Inafaa ifahamike
- Hakuna shambulizi limetendeka bila wao kutoa tahadhari, ni vile hawaruhusiwi ku-engage
- Polisi ndio wamekua wakizembea
- Hakuna nchi Afrika yote iliyokumbwa na changamoto tulizo nazo, mkoa mzima wa Wasomali na wengi wakiwemo mjini na hata kwenye madaraka serikalini, na wanafahamika wengi kuwa na mlengo wa Ki-Alshabaab.
TISS hawajakumbana na chochote maana Watanzania wengi kuanzia mwanzo walishalainishwa na mwalimu na kukaa kiuzalendo. Nchi yote ya Bongo haina sehemu kame, hivyo watu wake wapo na shibe siku zote, na ndio unaona siku zote wanaimba CCM.

nipo serious!