Which countries in AFRICA have the best intelligence agencies?

Which countries in AFRICA have the best intelligence agencies?

Tanzania ( Tanzania has the most powerful army in east africa, The Tanzania Peoples' Defence Force (TPDF) ( Swahili: Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)) the one defeated Idi Amin in Uganda with big help from Muammar al-Gaddafi of Libya)
9) Uganda
10) Kenya

Kwa east Africa kwa kadiri ya the African cradle, ni Kenya mkuu
 
Well, unless these challenges are common and their extents are measurable then you can have a gauge.............what appears to be "terrorism" in Kenya as of now, they are just day to day "situations" in Gaza belt.......so it is an open debate if not a puzzle

One agency can deal with the "terrorism" by diluting the mission by infiltrating and arresting by both overt and covert ops. simply because they can engage directly depending on the situation because the "law" mandates them to do so.......while the other is not allowed to engage.......so how do you compare the two regarding their capacities!!!!?????

Kuna counter intel. issues pia ambazo raia wa kawaida hawezi ona bayana na hata wahusika sio wote wanapewa A-Z kuhusu nini kinafanyika say unaambiwa endesha mpaka Moro atakuja mtu achuke hili gari we liache sehemu X then panda basi nenda Arusha utaelekezwa huko ........kwa mfano lakini alilofanya huyu wala hajui hapo Moro gari itaelekea wapi so nchi kama nchi inaweza kuwa na challenges nyingi ambazo raia hawazijui na kukawa na amani lakini ukweli ni kuwa kuna watu hawalali sababu wengine waishi kwa amani.......na siyo changamoto zote zinawekwa wazi kwa hiyo ukisubiri kupima uwezo kwa kigezo hiki basi utaweza tu kuwa na uwezo wa zile agencies ambazo zimewahi kukutana na changamoto husika .......................na je hizo changamoto zinawekwa wazi kiasi gani???????
Njia za utatuzi zinawekwa wazi kiasi gani??????

Kitachoonekana ni matokeo tu lakini nini kimesababisha matokeo hayo si rahisi kujulikana na hiyo ndiyo intelligence !!!!!!! Ikifikia mapaka hapa watu wajue kuwa changamoto ya nchi X walitumia YEDS kuitatua basi hapo hakuna kitu tena

tnega???
 
Ili Intel iwe bora lazima taifa lisiwe tegemezi sasa mataifa yote ya Afrika ni vibaraka wa wadhungu unadhani ubora utapimwaje. Sema nani bora kwa kumtumikia boss wake. Us na Uk wakisema wote somali hakuna anayebisha.Mfano mzuri alipokuja yule brother aliyepanda Air force kuja huko tz si muliona balaa lake mixer dharau Us marine walitapakaa kama wapo Afghan.
 
Baadhi ya watu wanawalaumu TISS kwa sababu ya kutumiwa na wanasiasa kuwaweka madarakani CCM lakini nakuhakikishia kuwa TISS ni best ktk AFRIKA tUlipata changamoto nyingi sana ambazo ziliijenga TISS kuwa bora na ya kimataifa,changamoto hizo zilikuwa wakati wa ukombozi wa bara la afrika kiasi kwamba kamati ya ukombozi ilikua na mwenyekiti wakudumu Mtanzania BRIGEDIA Hashim Mbita.

Acha kuongelea history, tiss imeoza now na recruitment yao sijui ikoje sikuiz wanachukua watu wajinga wajinga wanaojisifia mtaani,my late father was one of them ila nilikuja kujua baada ya kufariki.
 
Baadhi ya watu wanawalaumu TISS kwa sababu ya kutumiwa na wanasiasa kuwaweka madarakani CCM lakini nakuhakikishia kuwa TISS ni best ktk AFRIKA tUlipata changamoto nyingi sana ambazo ziliijenga TISS kuwa bora na ya kimataifa,changamoto hizo zilikuwa wakati wa ukombozi wa bara la afrika kiasi kwamba kamati ya ukombozi ilikua na mwenyekiti wakudumu Mtanzania BRIGEDIA Hashim Mbita.

Hehehehehe watu tunajichekesha na kucheka
wenyewe,tiss hii hii??over my dead body
 
kuna sehemu gani imeandikwa mtu au rais asinunue nyumba kokote duniani?
kama hakuna evidence kuwa kala rushwa sasa whats the big deal

au kwa sababu rais MMAKONDE?

Kama hutak kutoa informetion wengine wajue upo if kufanya nn??au umekuja kupiga porojo??
 
Ni kama consultant,nia ni kutengeneza nidhamu na chain of command.

Mkuu unajua kwa nn Adadi kapelekwa Harare?Yu wapi Tsavangirai?
Unajua kwa nn Kagame kakataa yule balozi?lakini soon tutasikia tu side effects.

Hawa jamaa wa TISS ni wabaya sana kaka..sinema ya Chadema imeanza taratiiibu kama alivyobashiri Tyson

Sidhan kama unakijua unachokisema
 
Mambo mengine ni siri za agency husika na usidhani utafahamu kila kitu kinachofanya ni mwiko. Maana information zikiwa nje nje hata enemies watapata access ya kuzifikia ndio maana wanaitwa secret agencies. Tusijadili vitu tusivyovijua kiuhalisia zaidi ya kuona kwenye movie za intelligence and surveillance
 
Kwahiyo wamemuwekea nanihii mabere marando ili asitangaze matokeo ya urais?
 
Hapo hujakosea, NSIS ya Kenya imedhihirisha kuwa bora zaidi. Inafaa ifahamike
- Hakuna shambulizi limetendeka bila wao kutoa tahadhari, ni vile hawaruhusiwi ku-engage
- Polisi ndio wamekua wakizembea
- Hakuna nchi Afrika yote iliyokumbwa na changamoto tulizo nazo, mkoa mzima wa Wasomali na wengi wakiwemo mjini na hata kwenye madaraka serikalini, na wanafahamika wengi kuwa na mlengo wa Ki-Alshabaab.
TISS hawajakumbana na chochote maana Watanzania wengi kuanzia mwanzo walishalainishwa na mwalimu na kukaa kiuzalendo. Nchi yote ya Bongo haina sehemu kame, hivyo watu wake wapo na shibe siku zote, na ndio unaona siku zote wanaimba CCM.

Nadhani unapolala na kuamka bila kusikia bomu wala risasi jua kuna watu hawalali...peace is protected wewe lowasika tuu
 
Wakubwa hebu tuwe na akili ya kujiongeza japo kidogo, yaani nashindwa kuelewa kabisa uzalendo katika taifa hili umepotelea wapi! Jamaa amewatekenya kidogo tu na kaswali kake ka ajabu ajabu lakini watu wameropoka mpaka inatia kinyaa bila kujua muuliza swali ana nia na madhumuni gani. Hebu vijana wenzangu tuwe na mitazamo chanya na tuongeze umakini na kuzidisha uzalendo ili kulilinda taifa letu. Kuongea sana hakudhihirishi kiwango cha ufahamu wako, bali inaweza ikawa ni kipimo jinsi gani ulivyokuwa zuzu. Mungu ibariki Tanzania
 
Hapo hujakosea, NSIS ya Kenya imedhihirisha kuwa bora zaidi. Inafaa ifahamike
- Hakuna shambulizi limetendeka bila wao kutoa tahadhari, ni vile hawaruhusiwi ku-engage
- Polisi ndio wamekua wakizembea
- Hakuna nchi Afrika yote iliyokumbwa na changamoto tulizo nazo, mkoa mzima wa Wasomali na wengi wakiwemo mjini na hata kwenye madaraka serikalini, na wanafahamika wengi kuwa na mlengo wa Ki-Alshabaab.
TISS hawajakumbana na chochote maana Watanzania wengi kuanzia mwanzo walishalainishwa na mwalimu na kukaa kiuzalendo. Nchi yote ya Bongo haina sehemu kame, hivyo watu wake wapo na shibe siku zote, na ndio unaona siku zote wanaimba CCM.

hahahaha ndio maana wanaimba ccmtehetehetehe
 
Back
Top Bottom