Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo hujakosea, NSIS ya Kenya imedhihirisha kuwa bora zaidi. Inafaa ifahamike
- Hakuna shambulizi limetendeka bila wao kutoa tahadhari, ni vile hawaruhusiwi ku-engage
- Polisi ndio wamekua wakizembea
- Hakuna nchi Afrika yote iliyokumbwa na changamoto tulizo nazo, mkoa mzima wa Wasomali na wengi wakiwemo mjini na hata kwenye madaraka serikalini, na wanafahamika wengi kuwa na mlengo wa Ki-Alshabaab.
TISS hawajakumbana na chochote maana Watanzania wengi kuanzia mwanzo walishalainishwa na mwalimu na kukaa kiuzalendo. Nchi yote ya Bongo haina sehemu kame, hivyo watu wake wapo na shibe siku zote, na ndio unaona siku zote wanaimba CCM.
Ni suala ambalo nimekuwa nikijiuliza sana, nimejaribu ku-google lakini sijafanikiwa kupata chochote kulingana na swali linavyouliza hapo juu. Sana sana nilichokutana nacho ni Most Powerful Intelligence Agencies In The World na ule uzi uliopachikwa humu humu uhusuo top ten intelligence agencies of the world.
Nisaidie mdau, ninatamani kufahamu sana nikiwa ni mmoja wa waafrika lakini zaidi Mtanzania Mzalendo Which countries in AFRICA have the best intelligence agencies? au kama kwa hilo litashindikana kabisa kupatikana basi hata ka-top ten intelligence agencies in Africa.
Natanguliza Shukrani.
kwa sasa nadhani Rwanda
Ethiopian Intelligence Agency nfo bora kuliko wote. Alshabab hawathubutu kiwachezea Waethiopia.
nahitaji kujua jinsi ya kujiunga na taasisi ya usalama wa taifa(tiss)
Anza kuvaa Kaunda Suti
Katika UKANDA wa Afrika Mashariki na Kati, the best ni TISS. Ukitaka kujua ukweli tafuta watu wa nchi hizo hasa viongozi wakuu wa nchi then waulize. Watakwambia ni TISS na sababu wanazijua wao. Nabii hakubaliki nyumbani kwake.... tafakari. Kwa Afrika nzima, ubora wa taasisi za usalama umekuwa "ranked" na wanaojua , kama ifuatavyo:
1. EGYPT - The General Intelligence Directorate (GID), Arabic: جهاز المخابرات العامة‎ / Gihaz al-Mukhabarat al-Amma), often called theMukhabarat (Arabic: المخابرات‎ / al-Mukhabarat).
2. MOROCCO - Directorate of Territorial Surveillance (DST).
3. TANZANIA - Tanzania Intelligence and Security Service (TISS).
4. SOUTH AFRICA - National Intelligence Agency (NIA).
5. NIGERIA - State Security Service (SSS).
6. SUDAN - National Intelligence and Security Service (Jihaaz Al Amn Al Watani Wal Mukhaabaraat).
7. Ethiopia - National Intelligence and Security Service (NISS).
8. ALGERIA - Department of Intelligence and Security (DIS).
9. KENYA - National Intelligence Service (NIS).
10. ANGOLA - National Intelligence Service.

TISS inaongoza
Hapo hujakosea, NSIS ya Kenya imedhihirisha kuwa bora zaidi. Inafaa ifahamike
- Hakuna shambulizi limetendeka bila wao kutoa tahadhari, ni vile hawaruhusiwi ku-engage
- Polisi ndio wamekua wakizembea
- Hakuna nchi Afrika yote iliyokumbwa na changamoto tulizo nazo, mkoa mzima wa Wasomali na wengi wakiwemo mjini na hata kwenye madaraka serikalini, na wanafahamika wengi kuwa na mlengo wa Ki-Alshabaab.
TISS hawajakumbana na chochote maana Watanzania wengi kuanzia mwanzo walishalainishwa na mwalimu na kukaa kiuzalendo. Nchi yote ya Bongo haina sehemu kame, hivyo watu wake wapo na shibe siku zote, na ndio unaona siku zote wanaimba CCM.
Kweli mkuu. Kule alshababu hawagusi kabisa
Kwa lipi mkuu?
tankers are used to provide cover for the forces so as to accessthe buldinghahahahha walipeleka tant (kifaru) ku rescue watu kwenye mall !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!