spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,156
Niambie kama uko serious nitakupa. Haya huwa hayatolewi hapa. Lkn kwa Kenya wanajua last month tulivyosaidia wasishambuliwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maswali ya Googla baraza mtu anaweza toa jibu lolote.
Hapo hujakosea, NSIS ya Kenya imedhihirisha kuwa bora zaidi. Inafaa ifahamike
- Hakuna shambulizi limetendeka bila wao kutoa tahadhari, ni vile hawaruhusiwi ku-engage
- Polisi ndio wamekua wakizembea
- Hakuna nchi Afrika yote iliyokumbwa na changamoto tulizo nazo, mkoa mzima wa Wasomali na wengi wakiwemo mjini na hata kwenye madaraka serikalini, na wanafahamika wengi kuwa na mlengo wa Ki-Alshabaab.
TISS hawajakumbana na chochote maana Watanzania wengi kuanzia mwanzo walishalainishwa na mwalimu na kukaa kiuzalendo. Nchi yote ya Bongo haina sehemu kame, hivyo watu wake wapo na shibe siku zote, na ndio unaona siku zote wanaimba CCM.
hakuna haja ya kuzunguka mbuyu,TISS ni the best,staki kueleza mengi.
Mkuu spade4spade nipo serious, realy serious
kenya drinking force
hapa watu wanasema tiss ndio the best, unaeza kuwa the best na budget ya vipeni? Nauliza tu
Tiss makao yake makuu ni wapi mkuu?
hata habari sina kaka, nipe mji.
kwa sasa nadhani Rwanda
Ni suala ambalo nimekuwa nikijiuliza sana, nimejaribu ku-google lakini sijafanikiwa kupata chochote kulingana na swali linavyouliza hapo juu. Sana sana nilichokutana nacho ni Most Powerful Intelligence Agencies In The World na ule uzi uliopachikwa humu humu uhusuo top ten intelligence agencies of the world.
Nisaidie mdau, ninatamani kufahamu sana nikiwa ni mmoja wa waafrika lakini zaidi Mtanzania Mzalendo Which countries in AFRICA have the best intelligence agencies? au kama kwa hilo litashindikana kabisa kupatikana basi hata ka-top ten intelligence agencies in Africa.
Natanguliza Shukrani.