Which countries in AFRICA have the best intelligence agencies?

Which countries in AFRICA have the best intelligence agencies?

Baadhi ya watu wanawalaumu TISS kwa sababu ya kutumiwa na wanasiasa kuwaweka madarakani CCM lakini nakuhakikishia kuwa TISS ni best ktk AFRIKA tUlipata changamoto nyingi sana ambazo ziliijenga TISS kuwa bora na ya kimataifa,changamoto hizo zilikuwa wakati wa ukombozi wa bara la afrika kiasi kwamba kamati ya ukombozi ilikua na mwenyekiti wakudumu Mtanzania BRIGEDIA Hashim Mbita.
 
Ethiopian Intelligence Agency nfo bora kuliko wote. Alshabab hawathubutu kiwachezea Waethiopia.
 
Hapo hujakosea, NSIS ya Kenya imedhihirisha kuwa bora zaidi. Inafaa ifahamike
- Hakuna shambulizi limetendeka bila wao kutoa tahadhari, ni vile hawaruhusiwi ku-engage
- Polisi ndio wamekua wakizembea
- Hakuna nchi Afrika yote iliyokumbwa na changamoto tulizo nazo, mkoa mzima wa Wasomali na wengi wakiwemo mjini na hata kwenye madaraka serikalini, na wanafahamika wengi kuwa na mlengo wa Ki-Alshabaab.
TISS hawajakumbana na chochote maana Watanzania wengi kuanzia mwanzo walishalainishwa na mwalimu na kukaa kiuzalendo. Nchi yote ya Bongo haina sehemu kame, hivyo watu wake wapo na shibe siku zote, na ndio unaona siku zote wanaimba CCM.

yaani tunaipenda kweli CCM.hata hujakosea.kidumu chama cha mapinduzi.na 2015 kama kawa tunairudisha madarakani.ha ha ha.tanzania raha sana.ha ha ha.

halafu wakenya msivyo zielewa siasa za tz,mnadhani upinzani wa kweli ni ccm vs chadema.FYI a real opposition is within CCM itself through its powerful figures.ni ngumu sana kuzielewa siasa za tz.ha ha ha
 
hakuna haja ya kuzunguka mbuyu,TISS ni the best,staki kueleza mengi.

kweli mkuu, hawa jamaa wanashika namba 2 kwa kudungua mawasiliano ya simu na mitandao, wanauwezo mzuri wa kuona vilivyo sirini, lakini wanashindwa kuona hatari za wazi kama majengo marefu.
 
Hapa watu wanasema TISS ndio the best, unaeza kuwa the best na budget ya vipeni? nauliza tu
 
hata habari sina kaka, nipe mji.

Nenda mabwepande mkuu!

Ila kama TISS ni Tanzania Intelligence and Security Service, basi makao makuu yatakuwa mikononi mwa JK, na JK anaishi wapi? Magogoni! Hivyo makao makuu ya TISS ni wapi? Dar es salaam kwa sababu reporting line ndiyo hapo commanding line ilipo!
 
Unaposema fulani ni bora lazima uwe na vigezo vinavyotumika kujua nani ni bora. Na hivyo vigezo lazima viwe vimekuwa established na board fulani au vimefanyiwa utafiti. Kama huna metrics ambazo nistandardized then huwezi pata jibu. Hapa watu wanatoa majibu kwa hisia na si kwa utafiti. Anayesema intelligence fulani bora aje na vigezo na sources ya kwamba hivyo vigezo ndo vinatumika kujua intellligence bora zaidi. Tuonyeshenzi questionnaire ina yo exist ambayo unaweza kutumia ku assess ubora wa intelligence ya nchi fulani. Kama hakuna then vyote mnavyoongea ni porojo tu. Tuanzeni kufanya mambo kama Great Thinkers. So far hichi kitu naona kina miss hapa.
 
Ni suala ambalo nimekuwa nikijiuliza sana, nimejaribu ku-google lakini sijafanikiwa kupata chochote kulingana na swali linavyouliza hapo juu. Sana sana nilichokutana nacho ni Most Powerful Intelligence Agencies In The World na ule uzi uliopachikwa humu humu uhusuo top ten intelligence agencies of the world.

Nisaidie mdau, ninatamani kufahamu sana nikiwa ni mmoja wa waafrika lakini zaidi Mtanzania Mzalendo Which countries in AFRICA have the best intelligence agencies? au kama kwa hilo litashindikana kabisa kupatikana basi hata ka-top ten intelligence agencies in Africa.

Natanguliza Shukrani.

Tanzania ( Tanzania has the most powerful army in east africa, The Tanzania Peoples' Defence Force (TPDF) ( Swahili: Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)) the one defeated Idi Amin in Uganda with big help from Muammar al-Gaddafi of Libya)
9) Uganda
10) Kenya
 
Back
Top Bottom