Rwanda ukitwambia inaongoza kwa uuwaji ntakubaliana na wewe.
vyote ni sehemu ya ujasusi ili kutimiza lengo la kiusalama bila kujali maslah niya nani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rwanda ukitwambia inaongoza kwa uuwaji ntakubaliana na wewe.
Nenda mabwepande mkuu!
Ila kama TISS ni Tanzania Intelligence and Security Service, basi makao makuu yatakuwa mikononi mwa JK, na JK anaishi wapi? Magogoni! Hivyo makao makuu ya TISS ni wapi? Dar es salaam kwa sababu reporting line ndiyo hapo commanding line ilipo!
Hapo hujakosea, NSIS ya Kenya imedhihirisha kuwa bora zaidi. Inafaa ifahamike
- Hakuna shambulizi limetendeka bila wao kutoa tahadhari, ni vile hawaruhusiwi ku-engage
- Polisi ndio wamekua wakizembea
- Hakuna nchi Afrika yote iliyokumbwa na changamoto tulizo nazo, mkoa mzima wa Wasomali na wengi wakiwemo mjini na hata kwenye madaraka serikalini, na wanafahamika wengi kuwa na mlengo wa Ki-Alshabaab.
TISS hawajakumbana na chochote maana Watanzania wengi kuanzia mwanzo walishalainishwa na mwalimu na kukaa kiuzalendo. Nchi yote ya Bongo haina sehemu kame, hivyo watu wake wapo na shibe siku zote, na ndio unaona siku zote wanaimba CCM.
Ethiopian Intelligence Agency nfo bora kuliko wote. Alshabab hawathubutu kiwachezea Waethiopia.
nahitaji kujua jinsi ya kujiunga na taasisi ya usalama wa taifa(tiss)
hapana mkuu,ni NSIS-kenya.LMFAO.
sorry man,i'm pranking lawmaina78 .
kwa sasa nadhani Rwanda
SISE hili ni shirika la kijasusi la Msumbiji nadhani liko poa maana wafanyakazi wake nawajua na hawana time na mtu ila ukiyakanyaga utaenda kuchekea chooni.
Nalog off
Hapo hujakosea, NSIS ya Kenya imedhihirisha kuwa bora zaidi. Inafaa ifahamike
- Hakuna shambulizi limetendeka bila wao kutoa tahadhari, ni vile hawaruhusiwi ku-engage
- Polisi ndio wamekua wakizembea
- Hakuna nchi Afrika yote iliyokumbwa na changamoto tulizo nazo, mkoa mzima wa Wasomali na wengi wakiwemo mjini na hata kwenye madaraka serikalini, na wanafahamika wengi kuwa na mlengo wa Ki-Alshabaab.
TISS hawajakumbana na chochote maana Watanzania wengi kuanzia mwanzo walishalainishwa na mwalimu na kukaa kiuzalendo. Nchi yote ya Bongo haina sehemu kame, hivyo watu wake wapo na shibe siku zote, na ndio unaona siku zote wanaimba CCM.
1.Marekani
2. Urusi
3. Uingereza
4. Ufaransa
5. Ujerumani
kwahiyo hawa jamaa wako chini yetu?Hiyo ni branch ya TISS.Hata structre yake imetoka TISS
kwahiyo hawa jamaa wako chini yetu?
Nalog off
Siwezi kusema kuwa wapo chini yetu kwa kua ile ni nchi huru,lakini kila kitu ni kutoka TZ.Unafahamu kuwa mkuu wa walinzi wa kabila ni mtanzania?