Which countries in AFRICA have the best intelligence agencies?

TISS? Labda kama ni abbreviation ya kitu kingine lakin TISS yetu hapana, wanajulikana mtaani kama walivyo polis.
 
Ahsanteni kwa michango, maoni, mapendekezo, ushauri, maswali na nyongeza.
 
Unyamela_ni ushilawadu kama ulivyo ushilawadu wowote ule

Na sifa yake kuu ni Usiri

Ila sasa sijajua akili yako inakutumaje kuhisi_ 'mtu anataka taarifa za siri kutoka kwako na bado akataka wewe anayekuwinda umjue'.

Huoni kwamba kujihadhari kutachukua nafasi kwa mlengwa yeyote yule.!?

Hii ni akili ya mbayuwayu niliyochanganya na yangu kabla sijagugo kama wewe

Na nani aliyekuambia mambo ya intelijensia ya unyemela ni ya kiuchumi.!?

kwamba ni vivutio vya nchi ambavyo vikitangazwa vinavutia wawekezaji ili nchi ifaidike navyo au ipate kiki.!
 
aisee huwa nikipitia maandiko yako kana kwamba unauhasama na sisi
 
Unaongelea ya kale, ongelea kwa nyakat hizi
 
hahaa daah kazi sana
 
TISS iko vizuri sana. TISS iliweza kwenda sambamba na BOSS shirika la kijasusi la Arika Kusini ya kikaburu na kulishinda

Mandela alivyoshika madaraka tulitaniana kuwa jana tulikuwa maadui leo tumekuwa marafiki
Labda kama ni ya kipindi hicho lakini sio hii ya pombe
 

[emoji23][emoji57][emoji23][emoji23] wejamaa nifala
 
Nchi ni KUSADIKIKA, maana huwezi kupata verified info beyond reasonable doubt juu ya majibu yatakayotolewa katika hili.
 
How can we measure Inteligence Agency??? Labda tuanzie hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…