mossad, cia then mi6.., huwezi kuwa-rank isi kama namba moja, hizo data tulishawaambia kwny ile thread ya kule kwamba inategemea research yao hao waandaa data ilikua na lengo gani, lakn kwa facts.., isi haiwezi kuwa namba moja..,
Intel failure ya kujua osama alikua kwao hadi cia wakafahamu, then wakafanya daring mission ya kuingia deep inside ya pakistan without detection,,
Kwa maana nyingine cia wana-intercept communication yote ya isi na military yao kwa sbb wasingejiaminisha kuingiza makomandoo wao that deep.., cia wana rendition programmes all over europe na in some countries in asia,
kwa upande wa mossad, wamefanya daring missions nyingi tu, kuanzia yam kippur war huko nyuma, assasinations ya waliohusika na munich massacre, operation thunderbolt, assasination dubai, assasinations of nuclear scientists inside tehran, remember, hizi assasinations zinahitaji valuable,precise and sufficient intel about targets, wanaweza fanya surveillance for up to years to get their targets infiltration of their agents within cia, son of hamas, just to name a few
waingereza..., ni outstanding kwny military intel, they have a programme called polaris..., hivi vitu ni facts na vinajulikana
Sasa kwa wanaosema isi,, lets debate, watoe mifano ya kazi zao ambazo zinajulikana