Which country has best intelligency agency

Mi nawakubali Pakistan (ISI) Ndio bora kuliko yote duniani.
2. Mossad (Israel)
3. M16 (uk)
4. CIA (USA)
5. Mss(China
6.BND (GERMAN)
7. FSB (RUSSIA)
8. DGSE (FRANCE)
9. RAW (INDIA)
10. Asis (Australia)


TISS ya 2 after Mossad
 
Hakuna kitu kama KGB siku hizi. So unashindanisha CIA, MOSSAD na MI6. Unashindanisha Pan, Yanga na Simba. All the best.

We nawe mtu kashakwambia habari za "intelligency agency" unategemea nini?
 
We nawe mtu kashakwambia habari za "intelligency agency" unategemea nini?

Jana: We Kiranga...mi sijakusoma sawasawa hapo! Kwani Intelligence agency ni nini, na hayo mashirika ya kina KGB, CIA, MOSSAD na MI6 ni nini. Au na wewe hujanisoma?

Leo: Aah. Basi. Nimekupata...penye red!!!!
 


wapi ulipopotelea mkuu
 

kwa haya maelezo wengi wamepata somo na atayepinga hana uelewa wa haya mambo.
 
 
There goes Mr America.You won its true CIA and i think they are invincible when it comes to national security.Hivi how are they interconnected with secret service? Manaake kimovie-movie huwa sielewi kabisa.
 
CIA mwanzo mwisho.

Hao Mossad walikuwa wapi wakati Hitler anawakaanga Wayahudi kwenye mavinu ya gesi huko Ujerumani?

Mossad ilikua haijaanzishwa wakati wa hitler baada ya kugather katika nchi yao yaan israel ndo wakaanzisha mossad kwa nia ya kuwasaka wote waliohusika na holocust na maadui wengine wa ndan na popote duniani.
 

Nimependa ulivyobrief with strong points. Ukizielezea operation zilizokua achived na mossad. Kuna latest operation inaitwa "operation orchad"...inadhihiridha how these guys are inteligent.
 
mimi sijabisha hilo
but why USA hawawezi kuiacha Israel??
what so special kwa Israel hadi USA iwabebe come rain come sun?

kuna kitu ambacho hakiko wazi

hii influence ya Israel ina siri may be
Mkuu The Boss, yes kuna kitu ambacho hakiko wazi nacho ni, nearly all the best brains za Americans ni Blue eyes!.

Pasco
 
eti wakuu kati ya KGB,CIA,MOSSAD,MI6 NANYINGINEZO Ipi inaongoza kwa mambo ya intelejensia? napenda kuwasilisha

Rekebisha hicho kichwa cha habari cha hii mada.
Lugha za watu hizi.
Au ungetumia kiswahili tu.
 
Top Ten Best Intelligence Agency in The world 2015
1. Inter-Service Intelligence, (ISI) Pakistan
2. Central Intelligence Agency, (CIA) United States
3. Secret Intelligence Service, (MI6) United Kingdom
4. Federal Security Services, (FSB) Russia-
the main successor agency to the USSR’s Committee of State Security (KGB).
5. Bundesnachrichtendienst, (BND) Germany
6. Research and Analysis Wing (RAW), India
7. Direction Generale De La Securite Exterieure (DGSE), France
8. Australian Secret Intelligence Service (ASIS), Australia
9. Ministry of State Security (MSS), China
10. The Institute For Intelligence and Special Operation (MOSAD), Israel


sijaona vigezo walivyotumia

source: Top 10 Best Intelligence Agencies in The World 2015
http://www.shughal.com/top-10-fiercest-intelligence-agencies-world-2015/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…