Which country has best intelligency agency

mkuu hawa MOSSAD NA CIA achana nao kabisa ni hatari sana hawa watu ni noma
 
Hapa hakuna cha CIA wala MOSSAD wote hawa walilitetemeshwa na Iran baada ya drone yao kushushwa,wakati walikuwa wanajinadi ni invisible hata kwa Radar,baadae wanashindwa kujitetea na kusema eti hata hivyo ni public knowledge.Haya achilia hio marekani huyo huyo na mpambe wake Israel walituma Viruses katika mfumo wa syntax kupitia kampuni la siemens nchini germany kwenda Iran kudestroy computer zinazo rutubisha nuclear wakakuta mwarabu ameweka anti-virus hatari hivyo wakashindwa kabisa,basi mi niseme tu tuache ushabiki.
 
Wenzetu wamewekeza zaidi kupata taarifa na kutekeleza sisis kwetu mita za mafuta kwa miaka mitano zimefungwa hazitumiki
 
katika nchi ambazo cia waliiba data ni pamoja na israel,sasa mtasemaje leo ina best inteligent
 
Kwa hiyo kwa mujibu wa kura nyingi humu, naona dili inawaangukia MOSSAD na anafuatia CIA.

Nilisikia Lebanon walikuwa wanamshikilia kama mfungwa Tai ambaye wamemwachia juzi juzi, eti wanamtumhumu kuwa agent wa MOSSAD. Teh! Bila shaka hawa jamaa wa MOSSAD ni balaa sana.
 



Mkuu hivi unajua waliokuwa wanakusanya intelligence kuhusu osama ni ISI??

hivi unajua kuwa ISI walihodi jengo pale ahmedabad kucheck nyendo zote za ile nyumba aliyekuwapo osama??
 
Kuanzia nasa.... nsa.... dod... bado biggest social networks nk vyote hivyo ni source ya cia information. Mossad wenyewe wanaomba data kutoka usa...

Mimi nikiwa boss nikawa nakutuma ukatengeneze gari haimaanishi kuwa wewe ni best. Mossad wanaweza wakawa wazuri katika kitu flani. Lakini best of best intelligence ni CIA acheni utani na langley.
 
Mkuu umemaliza.
Inabidi watu wapewe somo kuhusu mambo Ya pale Langley
 
donlucchese said:
eti wakuu kati ya KGB,CIA,MOSSAD,MI6 NANYINGINEZO Ipi inaongoza kwa mambo ya intelejensia? napenda kuwasilisha
inategemea mission gani
kama kuua bila kuacha nyayo, mossad matawi ya juu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…