Which one is corect between waziri wa pesa au waziri wa fedha?

Which one is corect between waziri wa pesa au waziri wa fedha?

Mkungunero

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2023
Posts
401
Reaction score
569
Je mwigulu nchemba alipaswa kuwa wziri wa pesa au waziri wa fedha? Au utafauti wake ni Nini na kwa nini asiitwe waziri wa pesa.
 
Kiusahihi ilipaswa aitwe Waziri wa Fedha (Minister of Finance) lakini kwa namna alivyonajisi Wizara hiyo ni sahihi kuitwa Waziri wa Pesa (Minister of Money) au Money Dealer
 
Waziri wa pesa au uchumi ndo sahihi
Fedha ni madini,
pesa ni mbadala au kivuli cha fedha(golds)
kwahiyo waziri wa madini ndo angetakiwa aitwe waziri wa fedha
 
Jina halisi ni fedha, ila linabadilika kutokana na mazingira mfano; sadaka, mafao, mkwanja, ada, hundi, pesa, mlungula, kitita, mavumba, shuka la kimasai, bingo na vijana wa hovyo wanaita maokoto n.k
 
Back
Top Bottom