Kiusahihi ilipaswa aitwe Waziri wa Fedha (Minister of Finance) lakini kwa namna alivyonajisi Wizara hiyo ni sahihi kuitwa Waziri wa Pesa (Minister of Money) au Money Dealer
Kiusahihi ilipaswa aitwe Waziri wa Fedha (Minister of Finance) lakini kwa namna alivyonajisi Wizara hiyo ni sahihi kuitwa Waziri wa Pesa (Minister of Money) au Money Dealer
Waziri wa pesa au uchumi ndo sahihi
Fedha ni madini,
pesa ni mbadala au kivuli cha fedha(golds)
kwahiyo waziri wa madini ndo angetakiwa aitwe waziri wa fedha
Jina halisi ni fedha, ila linabadilika kutokana na mazingira mfano; sadaka, mafao, mkwanja, ada, hundi, pesa, mlungula, kitita, mavumba, shuka la kimasai, bingo na vijana wa hovyo wanaita maokoto n.k