While KQ is at economical Depression ATCL set to receive brand new 2nd B787-8

KQ wana ndege 3 tu ndugu yangu au Haulifahamu ili ? tulishajadili sana hili la KQ kumiliki ndege 3 na facts zililetwa humu...swala la uwazi binafsi huwa sipendelei kuligusia sanaaa sababu hakuna taasisi ambayo kila taarifa inatolewa tu kama njugu ...hata hao KQ wena maboya tu serikali sababu KQ inaendeshwa kiubia PPP
 
kwan mkuu ATCL ni shirika la umma au sio la UMMA ? kukodishwa kwao ndege kuna sababu ? ikiwemo swala la madeni ya nyuma pia na maswala ya kiuendeshaji ..
 
kwan mkuu ATCL ni shirika la umma au sio la UMMA ? kukodishwa kwao ndege kuna sababu ? ikiwemo swala la madeni ya nyuma pia na maswala ya kiuendeshaji ..
Nafikiri hili swali mtambuka sana , ili kuweza kuelewa hali ya biashara ya kampuni yeyote.. Kama ATCL ingekwenda kwa wakopeshaji, katika hali ya hapo kabla na sasa kuomba mkopo, kama ni benki ya biashara wasingepewa. Kwa vile cash flow yao , hawavutii kukopesheka.. Ndio maana serikali imebeba jukumu hilo na tena kwa maarifa ... Kwamba ATCL ifanye airplane rental kutoka agency ya taifa letu... Baada ya muda, pengine ATCL itafikia hatua ya kutoa oda ya ndege zake... Kama itafanikiwa kufika huko au la ni jambo la muda tu , tutajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…