While KQ is at economical Depression ATCL set to receive brand new 2nd B787-8

While KQ is at economical Depression ATCL set to receive brand new 2nd B787-8

Issue si kupata ndege ingekuwa hivyo basi KQ wangekuwa bora zaidi maana wana ndege nyingi kuliko sisi. Issue ni kuendesha airline kwa faida. KQ wanapita kipindi kigumu kwa kuwa shirika linapata hasara ile mbaya. Uzuri kwa upande wao ni kwamba wanachapisha taarifa zao za fedha. He ATCL ina uwazi huo? Hakuna. Ili watu wasihoji masuala ya kifedha, shirika limewekwa katika kile kitengo chini ya ofisi ya Rais. By the time mnastuka shirika litakuwa 6 feet under the ground. Hatuombei hivyo lakini masuala haya yanahitaji transparency
KQ wana ndege 3 tu ndugu yangu au Haulifahamu ili ? tulishajadili sana hili la KQ kumiliki ndege 3 na facts zililetwa humu...swala la uwazi binafsi huwa sipendelei kuligusia sanaaa sababu hakuna taasisi ambayo kila taarifa inatolewa tu kama njugu ...hata hao KQ wena maboya tu serikali sababu KQ inaendeshwa kiubia PPP
 
Tanzania Government Flight Agency sio wanaonunua ndege... Ndege zinanunuliwa toka hela au sources za serikali kuu- central government. Ndio maana watu wanapata shida hapa.. Hata ukiona TRC ni hela ya serikali kuu, inafanya kama mradi wake.. Ukitaka kufanya comparison, fanya kati ya serikali na serikali.... Kwa Kenya, KQ wana autonomy katika kuendesha na kuamua revenue stream zao na wanazo. Lakini kwa kwetu , kuna utaratibu fulani...Tanzania Government Flight Agency, kama msimamizi wa ndege.. Wao wamewakodisha ATCL.... TGFA wanasimamia mali ya central government... Kwa hiyo ATCL, asset zake ni kama routes walizonazo, real estate kama wanazo. Lakini ndege siyo asset zao...
kwan mkuu ATCL ni shirika la umma au sio la UMMA ? kukodishwa kwao ndege kuna sababu ? ikiwemo swala la madeni ya nyuma pia na maswala ya kiuendeshaji ..
 
kwan mkuu ATCL ni shirika la umma au sio la UMMA ? kukodishwa kwao ndege kuna sababu ? ikiwemo swala la madeni ya nyuma pia na maswala ya kiuendeshaji ..
Nafikiri hili swali mtambuka sana , ili kuweza kuelewa hali ya biashara ya kampuni yeyote.. Kama ATCL ingekwenda kwa wakopeshaji, katika hali ya hapo kabla na sasa kuomba mkopo, kama ni benki ya biashara wasingepewa. Kwa vile cash flow yao , hawavutii kukopesheka.. Ndio maana serikali imebeba jukumu hilo na tena kwa maarifa ... Kwamba ATCL ifanye airplane rental kutoka agency ya taifa letu... Baada ya muda, pengine ATCL itafikia hatua ya kutoa oda ya ndege zake... Kama itafanikiwa kufika huko au la ni jambo la muda tu , tutajua.
 
Back
Top Bottom