Whistleblower: Kashfa nzito suala la sukari, wamo vigogo wazito

Whistleblower: Kashfa nzito suala la sukari, wamo vigogo wazito

Nimesoma mpaka mwisho, lakini

1. Is this true...?

2. Rais Samia Suluhu ameipata hii?

3. Mbona Hata yeye [Rais Samoa] ana tuhumà za kuihujumu Tanganyika kwa kukopa trillion 1 na kuipeleka yote Zanzibar kwao kinyume cha utaratibu au sheria ya muungano..?

3. Kama mambo haya yako hivi, then, who to trust?
 
Umeandika kwa urefu ila umeharibu tu pale ulipomtaja :MAGUFULI' hapo umedhihirisha uongo wako ma conspiracy theory zako.Hakuna asiyefahamu kwamba Magufuli alikuwa mzalendo wa kweli asiyeyumbishwa na mafisadi.Haya bhn kwa hiyo hizo Trilion alizopiga alipeleka wapi? Mbona maisha yake ya kawaida tu
Watanzania mpigwe tuu maana wengi wenu mambumbumbu .unamtetea magufuli unajua mali zake? Au tukuwekee hapa?
 
Watanzania mpigwe tuu maana wengi wenu mambumbumbu .unamtetea magufuli unajua mali zake? Au tukuwekee hapa?
Usilazimishe.Maisha ya mtu yanajulikana hata kwa historia yake.Mafisadi wanajulikana.Sio Magufuli
 
Taarifa muhimu Sana hii Kwa taifa tafadhali mama usipuuze majaliwa amekuwa akitajwa tajwa Sana kwenye upigaji
 
Nimemic sana gazeti la mwanahalisi. Ndio gazeti langu la Karne tokea gazeti Hilo lipigwe vita sijawahi ona gazeti lililokuwa na uwezo wa kuanika udhaifu wa serekali. Bandiko lako nimelisoma mara mbili mbili, haya ndio Mambo ya kujadili hp Jf sema tu bahati mbaya wanafunzi sasahivi wapo likizo
 
Huyu jamaa katunga uongo na ni mnafiki kabisa. Mh. Majaliwa ni muadilifu sana na Mama Samia ni muadilifu sana. Mleta habari lengo lake ni kuichafua serikali ya Mama Samia. Akikubali tu watabadili gia, mtoto akikunyea mkononu unajisafisha hukati mkono, ila watasema Mama nayeye alikuwa sehemu ya uovu hivyo hafai na yeye ni mwizi. Yaani Mama ajue genge analohusika nalo la Msoga ni hatari sana tena sana. Arejee Salim Ahmad Salim walivyomtungia mpaka kitabu na wakamuita mhizbu na walienda zenj kuzindua kitabu cha kumdhalilisha. Mama achana na akina Makamba na Nape ni wahuni. Mipango yao ni noma, juzi kati hapa wamemnyamazisha msukuma kwa kumpatia PhD fake, sasa msukuma hawezi kujipambanua tena maana kila akiropoka watasema PhD fake. Hahahah
Mbona unatetea hoja bila ushahidi ,nimepitia comments zako zote hazina mashiko zaidi ni kupinga bila hoja
 
Afu niko na wanangu hapa hatuna hata mia walau tukagonge Balimi huku Nyakato Mwanza...

Kumbe jamaa kagonga 4.6b duh!
 
Hata sielewi mwandishi anapata wapi ufahamu na uhakika wa kujuwa kwamba anayemwandikia ni tofauti na hao anaoandika juu yao!

Mwandishi anajuaje kwamba anayemwandikia siyo sehemu ya mpango mzima anaounanga?

Kama Magufuli, na hasa Mkapa kawahusisha kwenye mipango hiyo, ni kipi hasa kinachomtofautisha Samia kiasi kwamba mwandishi aamini kuwa yeye yupo tofauti?

Majaliwa, Jenister, na wengine wafanye anayoyasema mwandishi, huyo anayemwandikia asiwe hata na chembe ya taarifa yoyote juu yao?

Wakati sukari ya Uganda imekataliwa Kenya mara kadhaa kwa kujuwa kwamba ni sukari inayotoka nje ya nchi hiyo, Samia yeye bila shaka yoyote kaikubali..., na hana shaka nayo na wala hana haja ya kusisitiza uzalishaji wa ndani ya nchi! Hapo kuna matumaini kweli?
Unajua maana ya whistleblower au umekuja JF 2017..?
 
Back
Top Bottom