KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Itanilazimu na mimi nikasome.Nimerudia kusoma mara ya tatu sasa....
Maandishi ya namna hii huwa yananipa shida sana kuyasoma kwa utulivu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itanilazimu na mimi nikasome.Nimerudia kusoma mara ya tatu sasa....
Utakapoandika hayo mengine ukumbuke pia kuwa unayemwandikia ni Mwana CCM...anayajua nje ndani ila sijasema anaweza kuwa pia sehemu yakeWakati mwingine nitakuandikia kuhusu Mbowe, ndege, mafuta ya kula, dizeli, petroli, mafuta ya taa, bwawa la Mwalimu Nyerere, na kadhalika. Nakuombea kheri nyingi uweze kuitoa nchi yetu katika makucha haya.
Leta kwanza ushahidi wa hiyo documents; I don’t subscribe to hearsay.
Nasubiri huo ushahidi kwanza.. f2rk naomba umsaidie huyu bwana kupata dokoment ya TANROADS kuhusika na manunuzi ya mitambo ya kiwanda cha sukari.
..mimi sina tabia ya kusema kuna kitu fulani, kwa mfano, dokoment, wakati hakuna.
..sasa ktk hili nimekuelekeza kwa mchangiaji mwenye malengo kama wako ili akuthibitishie nilichokisema.
Document ipo katika moja ya comment za uzi huuu.. f2rk naomba umsaidie huyu bwana kupata dokoment ya TANROADS kuhusika na manunuzi ya mitambo ya kiwanda cha sukari.
..mimi sina tabia ya kusema kuna kitu fulani, kwa mfano, dokoment, wakati hakuna.
..sasa ktk hili nimekuelekeza kwa mchangiaji mwenye malengo kama wako ili akuthibitishie nilichokisema.
Aangalie comment namba 199 kuna picha za mkatabaNasubiri huo ushahidi kwanza
Nasubiri huo ushahidi kwanza
I like to get behind events ilikujua how it evolved, leta ushahidi kwanza...unachobisha ni nini?
..je, huamini kwamba Tanroads ndio walionunua mitambo kwa ajili ya kiwanda cha sukari cha mkulazi?
Pitia tena huo mkataba hakuna mahala Tanroads wameagiza mashine. Its a construction contract ya kujenga kiwanda. Cha nani kwa sababu Tanroads awawezi miliki kiwanda cha sukari... f2rk naomba umsaidie huyu bwana kupata dokoment ya TANROADS kuhusika na manunuzi ya mitambo ya kiwanda cha sukari.
..mimi sina tabia ya kusema kuna kitu fulani, kwa mfano, dokoment, wakati hakuna.
..sasa ktk hili nimekuelekeza kwa mchangiaji mwenye malengo kama wako ili akuthibitishie nilichokisema.
HahhahahahahPitia tena huo mkataba hakuna mahala Tanroads wameagiza mashine. It construction contract ya kujenga kiwanda. Cha nani kwa sababu Tanroads awawezi miliki kiwanda cha sukari.
Maelezo zaidi yanahitajika Tanroads wanahusika na maswala ya ujenzi so maajabu kushiriki katika hatua hizo.
Sema Majaliwa ni mkurupukaji sana.sijui ni kwa sababu gani.yaani naweza kuamini kwamba hizi tuhuma zinamhusu.maana toka ameanza kuunda tume hakuna iliyowahi kuleta mrejesho.Ananyamazishaga watu kwa kuwambia anaunda tume ichunguzeSijawahi wala sitakaa nimfikirie Majaliwa kama mtu mwema kwa hili Taifa na watu wake. Mungu anisamehe ila namuona Majaliwa kama mtu mwenye roho mbaya, mnafiki, mzandiki na mwenye tamaa. Hajawahi kuwa mkweli kwa Taifa. Hata sasa namuona ndie masta mind wa anguko la Mama. Ana jionyesha kwake kama mtu mwema lakini hafai. Muda utaongea. Nani alijua yeye na Jenister ndio wako nyuma ya sakata la sukari? Bado ikija ya mafuta ya kula na mafuta ya gari utamkuta Majaliwa.
Tulimpigia Mama kelele aanze na safu yake akaona watu wana mfundisha kazi. Akabeba uchafu wa mwenda kuzimu. Sasa wazimu una mkuta. Amebaki kusema hato kubali wakati amesha kubali. Hata madudu yaliyopo bandarini ukifuatilia mkono wa Majaliwa upo. Makesi ya hovyo mahakamani Majaliwa yupo.. Say all evils lazima yupo..
Yeye alisema. "Nonsense". "Haileti mantiki"..., leo unamwandikia barua!BARUA KWA RAIS SAMIA SULUHU KUHUSU UFISADI KWENYE SUKARI
Ulitegemea mtu kama jiwe angeweza kuwa Rais huko ccmHawezi na hatakuwa. Yeye na Magufuli walikuwa majizi.
Upinzani ulikuwa mkali sana kipindi kile. Wakaamua kupitisha kichaaUlitegemea mtu kama jiwe angeweza kuwa Rais huko ccm
wakibanwa na wapinzani wao wanapitisha mtu yoyote tu
Ngoja tuoneYeye alisema. "Nonsense". "Haileti mantiki"..., leo unamwandikia barua!
Nimekusoma mkuu, kwa hisani ya mkuu 'Missile'.
Kwanza niseme, itakuwa ni upumbavu wa hali ya juu sana ku'dismiss' yote uliyoandika hapa; pamoja na kwamba kuna konakona nyingi zinazotatiza kuzielewa.
Andiko lako linakuwa na nguvu zaidi kwa sababu umetaja majina bayana kabisa, ni jukumu la hao waliotajwa sasa waeleze wasivyohusika kwenye mipango hiyo
Hii ni njia nzuri sana ya kumsaidia rais, akiwa na dhamira ya kweli ya kulitatuwa tatizo, kwa sababu yeye sasa anao wajibu wa kutumia vyombo alivyonavyo kuupata ukweli. Lakini hapa napata shida kidogo kuamini kwamba huyu ni rais anayeweza kutatua tatizo kama hilo, kama sivyo na yeye kujiunga huko afaidike.
Umetimiza nafasi yako, ngoja tusubiri yatakayofuata, hata kama binafsi sitegemei makubwa juu ya hili.