The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Watanzania mpigwe tuu maana wengi wenu mambumbumbu .unamtetea magufuli unajua mali zake? Au tukuwekee hapa?Umeandika kwa urefu ila umeharibu tu pale ulipomtaja :MAGUFULI' hapo umedhihirisha uongo wako ma conspiracy theory zako.Hakuna asiyefahamu kwamba Magufuli alikuwa mzalendo wa kweli asiyeyumbishwa na mafisadi.Haya bhn kwa hiyo hizo Trilion alizopiga alipeleka wapi? Mbona maisha yake ya kawaida tu
Usilazimishe.Maisha ya mtu yanajulikana hata kwa historia yake.Mafisadi wanajulikana.Sio MagufuliWatanzania mpigwe tuu maana wengi wenu mambumbumbu .unamtetea magufuli unajua mali zake? Au tukuwekee hapa?
Na kujengwa na wenye moyoNchi huliwa na wenye meno
Mbona unatetea hoja bila ushahidi ,nimepitia comments zako zote hazina mashiko zaidi ni kupinga bila hojaHuyu jamaa katunga uongo na ni mnafiki kabisa. Mh. Majaliwa ni muadilifu sana na Mama Samia ni muadilifu sana. Mleta habari lengo lake ni kuichafua serikali ya Mama Samia. Akikubali tu watabadili gia, mtoto akikunyea mkononu unajisafisha hukati mkono, ila watasema Mama nayeye alikuwa sehemu ya uovu hivyo hafai na yeye ni mwizi. Yaani Mama ajue genge analohusika nalo la Msoga ni hatari sana tena sana. Arejee Salim Ahmad Salim walivyomtungia mpaka kitabu na wakamuita mhizbu na walienda zenj kuzindua kitabu cha kumdhalilisha. Mama achana na akina Makamba na Nape ni wahuni. Mipango yao ni noma, juzi kati hapa wamemnyamazisha msukuma kwa kumpatia PhD fake, sasa msukuma hawezi kujipambanua tena maana kila akiropoka watasema PhD fake. Hahahah
Hutuba ya Mkenda tu haitoshi kujibu tuhuma hizo nzito sanaFuatilieni hotuba ya Prof. Mkenda. Kilichopo ni capacity ya viwanda ni ndogo.
Yule jamaa alihonga Nyumba ya serikali. Hakuwa msafi yuleUsilazimishe.Maisha ya mtu yanajulikana hata kwa historia yake.Mafisadi wanajulikana.Sio Magufuli
aliposema kuzuia kugiza sukari nje ni nonsense hamkumwelewa?......Hii ni kashfa nzito mno, hadi waziri mkuu kaguswa humu
Soon Mama atampiga chini.Majaliwa msanii
Atakuwa anatafuta hela za kugombea urais mbeleni
Kama ni uchafu wake basi ni tone la maji kwenye bahari na watanzania walimhitaji hivyo hivyo hata angekuwa fisadi mkubwa poa tuYule jamaa alihonga Nyumba ya serikali. Hakuwa msafi yule
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] pole sanaUsilazimishe.Maisha ya mtu yanajulikana hata kwa historia yake.Mafisadi wanajulikana.Sio Magufuli
Kipimo anatakiwa kuwa Lisu?Kwahiyo kipimo chako ni Nape ma Zitto??
we kweli hamnazo
Unajua maana ya whistleblower au umekuja JF 2017..?Hata sielewi mwandishi anapata wapi ufahamu na uhakika wa kujuwa kwamba anayemwandikia ni tofauti na hao anaoandika juu yao!
Mwandishi anajuaje kwamba anayemwandikia siyo sehemu ya mpango mzima anaounanga?
Kama Magufuli, na hasa Mkapa kawahusisha kwenye mipango hiyo, ni kipi hasa kinachomtofautisha Samia kiasi kwamba mwandishi aamini kuwa yeye yupo tofauti?
Majaliwa, Jenister, na wengine wafanye anayoyasema mwandishi, huyo anayemwandikia asiwe hata na chembe ya taarifa yoyote juu yao?
Wakati sukari ya Uganda imekataliwa Kenya mara kadhaa kwa kujuwa kwamba ni sukari inayotoka nje ya nchi hiyo, Samia yeye bila shaka yoyote kaikubali..., na hana shaka nayo na wala hana haja ya kusisitiza uzalishaji wa ndani ya nchi! Hapo kuna matumaini kweli?
Nenda naye taaaaratibu ataelewa tuUnajua maana ya whistleblower au umekuja JF 2017..?