Whistleblower: Kashfa nzito suala la sukari, wamo vigogo wazito

Whistleblower: Kashfa nzito suala la sukari, wamo vigogo wazito

Kama wanaamini siku ya mwisho na iwe hivyo

Ila kama wote wamo katika ufisadi huu tutajua mbele

Umewataja mpaka waliotangulia (wafu) sasa je unafikiri Mama hajui haya?

Hapo kuna Seif, Mama na PM wote waislam na Ramadhan imebaki miezi kadhaa
Tutaona kama hii sukari itashuka au ndio wataendeleza kutengeneza hela za HARAM huku wakiwa wamefunga mwezi mtukufu

Subhanaa Allah eee Mwenyezi Mungu tupe Imani Thabit

Tamaa mbele mauti nyuma mlikumbuke hili kuwa hela ni mapambo tu

Kama tuhuma ni za kweli basi mbele ya Mungu hata mama haponi
 
Nimesoma kwa umakini mkubwa..between the line.

**Rais unaempelekea issue/kesi hii unafikiri hajui hayo yote?
Kesi ya nyani unapeleka kwa ngedere!

**Maoni yangu: tunasumbuka na hizi syndicates za CCM ambazo zinatofautiana tu kwenye maslahi,yaani ugomvi wa kimaslahi binafsi ndani ya CCM ndio unaopelekea tofauti za kifikra na hoja kinzani(Polepole&co.),Samia won't solve anything,she'll only make the matter worse by creating another deadly cartel!

**Solution: Kuondoa hali hii ya kupokezana uraji wa kifisadi na kelele za kimakundi ya kugombea uraji wa kimaslahi binafsi ni kuleta yafuatayo:

*Katiba mpya yenye mfumo mpya kabisa,eg.tume huru.

*Kuanzisha kampeni mpya yenye kuhusisha wadau wote bila kujali vyama ili kuwaondoa viongozi maslahi wote au CCM kwa ujumla,tuanze upya.

Enough is enough!
 
Nimesoma kwa umakini mkubwa..between the line.

**Rais unaempelekea issue/kesi hii unafikiri hajui hayo yote?
Kesi ya nyani unapeleka kwa ngedere!

**Maoni yangu: tunasumbuka na hizi syndicates za CCM ambazo zinatofautiana tu kwenye maslahi,yaani ugomvi wa kimaslahi binafsi ndani ya CCM ndio unaopelekea tofauti za kifikra na hoja kinzani(Polepole&co.),Samia won't solve anything,she'll only make the matter worse by creating another deadly cartel!

**Solution: Kuondoa hali hii ya kupokezana uraji wa kifisadi na kelele za kimakundi ya kugombea uraji wa kimaslahi binafsi ni kuleta yafuatayo:
*Katiba mpya yenye mfumo mpya kabisa,eg.tume huru.
*Kuanzisha kampeni mpya yenye kuhusisha wadau wote bila kujali vyama ili kuwaondoa viongozi maslahi wote au CCM kwa ujumla, tuanze upya.

Enough is enough!
 
Hii story imekaa kwa kuhisi hisi.
Btw, kama ni kweli basi, Samia atakuwa anajua kila kitu...sema unamshitua kwamba anachofikiri ni siri kinajulikana.

Nikupongeze kwa kutupa dokezo fikirika.
 
Siku CCM ikitoka madarakani, hii nchi maisha yatakuwa mazuri sana,maana michezo wanayoicheza ya kuhujumu nchi na kuwatesa wananchi itapungua ama kuisha ,
Wamekazana kuwafukuza wanao kula ganji 50,000 ,200,000, wakati wao wanapiga billions bila woga?
Walaaniwe kabisa
 
Wewe jamaa ni liongo na linafiki. Yaani ktk kujiita mnyetishaji ni muongo kabisa. Huo mradi kwanza ulikwama kwa sababu kuna watu walileta feasibility study ya kubumba na ya kifisadi serikali ikaamua kufumua na kufanya upya. Na hiyo ndiyo sababu ya prof kuondolewa kwa sababu alitoa kazi ya kuandaa plan kishikaji na hao ma prof wa udsm walijifungia ndani na kuandika andiko.

So ujue serikali ya Dkt Magufuli ilikuwa makini sana. Acha kupotosha. Huu ujinga wako ni wakitoto sana, kila ulichoandika ni cha kutunga na ni uongo. Nimepuka tu hint kidogo ya kilichoanza mi najua mpaka mwisho wewe muhuni muhuni usipotoshe. Mnataka Mama kumjaza uongo ili afanye kama kwenye mkataba wa meli, wahuni nyie.
 
Hii story imekaa kwa kuhisi hisi.
Btw, kama ni kweli basi, Samia atakuwa anajua kila kitu...sema unamshitua kwamba anachofikiri ni siri kinajulikana.

Nikupongeze kwa kutupa dokezo fikirika.
Huyu jamaa ni moja ya wahuni. Kaandika majungu. Yaani ungejua tangu mwanzo wa mradi na serikali ilivyokuwa makini kuhakikisha haiibiwi.
 
Mwambie huyo mchambuzi alete ushahidi wa maelezo yake. Mbona Hutaki Unaacha alikuwa anatupa hata na account namba za benki pesa zilipopita, siku hata saa na nani alipokea hizo fedha!? Watu watoe tuhuma kwa ushahidi usiotiliwa shaka. Vinginevyo, huku ni kuchafuana kwa maslahi binafsi.
Ila mbona barua yake IPO wazi.
Kiwanda Cha nssf kimezalisha sukari kiasi gani?
 
Mwambie huyo mchambuzi alete ushahidi wa maelezo yake. Mbona Hutaki Unaacha alikuwa anatupa hata na account namba za benki pesa zilipopita, siku hata saa na nani alipokea hizo fedha!? Watu watoe tuhuma kwa ushahidi usiotiliwa shaka. Vinginevyo, huku ni kuchafuana kwa maslahi binafsi.
Hiyo ni kazi ya aliyeandikiwa kwani anamiliki vyombo vyote vya Dola vikiwemo vya uchunguzi. Anachotakiwa Rais ni kuunda task force isiyopepesa macho Wala kuhongeka kuchunguza na kuripoti kwake moja Kwa moja. Ikimpendeza awasimamishe kazi wote walotajwa ili kupisha uchunguzi wa tuhuma hizi!
 
Bahati mbaya ndg whistleblower mataga kwa ujumla hawawezi kuzibiana riziki na kesi hii unaipeleka kwa kiongozi wa chama na hao wote ni wana ccm. Yataingelewa ndani yataisha kimya kimya. Scratch my back i will scratch yours.

Huyu Superdoll unaye mtuhumu nadhani hujui amesaidia watu wangapi kwa kuwashikia vimitaji vyao nao wapate chochote kitu. I think you are accussing very powerful folks on this land.
 
Eeeh! Una kaushahidi lakini?

Screenshot_20211212-111356_Gallery.jpg
 
Sijawahi wala sitakaa nimfikirie Majaliwa kama mtu mwema kwa hili Taifa na waru wake. Mungu anisamehe ila namuona Majaliwa kama mtu mwenye roho mbaya, mnafiki, mzandiki na mwenye tamaa. Hajawahi kuwa mkweli kwa Taifa. Hata sasa namuona ndie masta mind wa anguko la Mama. Ana jionyesha kwake kama mtu mwema lakini hafai. Muda utaongea. Nani alijua yeye na Jenister ndio wako nyuma ya sakata la sukari? Bado ikija ya mafuta ya kula na mafuta ya gari utamkuta Majaliwa.
Toka aliposema Magufuli yupo Ikulu (mnataka mumwone kariakoo...)wakati alishang'ata meno,....sina imani naye.

Mama amwoneshe mlango wa kutokea.
 
Hiyo ni kazi ya aliyeandikiwa kwani anamiliki vyombo vyote vya Dola vikiwemo vya uchunguzi. Anachotakiwa Rais ni kuunda task force isiyopepesa macho Wala kuhongeka kuchunguza na kuripoti kwake moja Kwa moja. Ikimpendeza awasimamishe kazi wote walotajwa ili kupisha uchunguzi wa tuhuma hizi!
Naunga mkono hoja....
 
Nimesoma kwa makini sana...between the line.

*Unafikiri kuwa Rais Samia hajui hayo uliyoandika?

Kesi ya nyani unapeleka kwa ngedere!

You'll only make the matter worse coz she's probably creating another deadly cartel,wanapishana tu kwa zamu na hawana tofauti..ndio maana wana msemo wao kuwa hii ni zamu yetu kutesa.

*Samia anayajua hayo yote lakini nakuhakikishia hawezi kuyagusa,anajua ni syndicate kubwa na ni wenzake. Ndani ya CCM kuna deadly cartels nyingi na uwa zinatofautiana kimaslahi binafsi tu. Tofauti hizo uzaa hoja kinzani(Polepole&co.)

*Suluhisho:
Dawa ya hao warafi wanaogombea chakula cha wizi mpaka kelele zinasikika uku nje ni km ifuatavyo:

Kuwe na katiba mpya yenye mifumo mipya kabisa eg.tume huru ya uchaguzi.

Kuungana watz wote bila kujali vyama,makabila na dini ili tuwafurushe hao viongozi maslahi na hasa CCM kama tulivyomfurusha mkoloni.

Now or never,enough is enough!
 
Back
Top Bottom