Whistleblower: Kashfa nzito suala la sukari, wamo vigogo wazito

Whistleblower: Kashfa nzito suala la sukari, wamo vigogo wazito

Wewe jamaa ni liongo na linafiki. Yaani ktk kujiita mnyetishaji ni muongo kabisa. Huo mradi kwanza ulikwama kwa sababu kuna watu walileta feasibility study ya kubumba na ya kifisadi serikali ikaamua kufumua na kufanya upya. Na hiyo ndiyo sababu ya prof kuondolewa kwa sababu alitoa kazi ya kuandaa plan kishikaji na hao ma prof wa udsm walijifungia ndani na kuandika andiko. So ujue serikali ya Dkt Magufuli ilikuwa makini sana. Acha kupotosha. Huu ujinga wako ni wakitoto sana, kila ulichoandika ni cha kutunga na ni uongo. Nimepuka tu hint kidogo ya kilichoanza mi najua mpaka mwisho wewe muhuni muhuni usipotoshe. Mnataka Mama kumjaza uongo ili afanye kama kwenye mkataba wa meli, wahuni nyie.
Kama kweli unaijua huu mchezo tuandikie hapa tusome pamoja na kuubaini uongo uliousema. Kukaa na ukweli uliosema unao haukusaidii na badala yake wewe utaonekana Kama mmoja wa walotajwa humu! Andika hapa huo ukweli.
 
Mwambie huyo mchambuzi alete ushahidi wa maelezo yake. Mbona Hutaki Unaacha alikuwa anatupa hata na account namba za benki pesa zilipopita, siku hata saa na nani alipokea hizo fedha!? Watu watoe tuhuma kwa ushahidi usiotiliwa shaka. Vinginevyo, huku ni kuchafuana kwa maslahi binafsi.
Mzee unataka utafuniwe Kila kitu? umepewa info jiongeze tu kwani hata akileta evidence
kuna lipi litafanyika maana mengi tu yaliletwa na ushahidi na hakuna kilichoendelea
 
Mlipumzika kuhusu majaliwa naona mmeanza tena.

Nadhani kuna sehemu amewabana.
Nyie ndo mlikuwa mnapewa vibali na kuingiza sukari mbovu hapa nchini.
 
Huyu jamaa ni moja ya wahuni. Kaandika majungu. Yaani ungejua tangu mwanzo wa mradi na serikali ilivyokuwa makini kuhakikisha haiibiwi na kuna watu wa system walikuwa wanasimamia wala asingeleta huu ujinga wa uongo wake.
Ile mradi wa ujenzi wa meli hao watu wa system walikuwa honey moon? Mbona bi mkubwa kaushtukia na kuyasema madudu ya serikali iliyopita? Yale maswali ya SoMo la history ya compare and contrast uliweza kuyajibu kweli? Utakuwa mmoja wa wahusika wa uhuni huo!
 
Miaka yote sikuwahi kuw ana imani na Jenister Muhagama nilijua tu kuna kitu. Wakati wa Magufuli alikuwa anampenda sana kuliko hata Mama janet. Ilinitia mashaka sana.

Kuhusu Majariwa nilishamtoa kwenye list ya viongozi kitambo sana.
 
Mada zingine weka upumbavu wako mfukoni mwako,hii mada it got nothing to do with politics ,ni issue inayoongolea kuhusu watanzania wote regardless itikadi zao,welldone my whistleblower maana mpo wachache sana,kama ni kweli uliyoyaandika hapa Imani yako itakujibu,umenikimbusha uandishi wa gazeti la Rai(sio la sasa)na gazeti la mfanyakazi;shame on us kwa kuyafanya maisha ya mtanzania wa kawaida kuwa hovyo kabisa.
Majizi utayajua tu. Hao ndio wanufaika wa ccm mafisadi achana nao.
 
... halafu wanatuletea stori za legacy sijui hero! Kumbe mtesi wa wananchi! Kama ni kweli na alaaniwe! CCM imefika mahali kila adhaniwaye ni msafi kumbe ananuka kuliko mwenzie! Chama kimefika hatua kinatumia vyombo vya dola (bunge, jeshi, mahakama, ofisi za serikali - DPP, DCI, Polisi, etc.) kujihalalishia uchafu wao; ni hatari sana.
Kwa hiyo na ww umekubali kuingia box mzima mzima......
bila kufanya analysis bila kusikiliza upande wa pili!!??
 
Labda kama hana info, ila asipokuwa makini Mama watamsanganya na kumtengenezwa documents fake, yeye aamini ktk uzalendo na afanye kazi na system basi.
Dogo unayumba mithili ya antenna za kigamboni! Hebu soma comments zako za nyuma ulinganishe na hii! Huelewi kilichoandikwa na hujamwelewa mleta hoja unaparua Kama nyau mwizi! Hilo bandiko halihitaji ukada Bali uzalendo kwani hakuna asiyeguswa na ongezeko la bei ya sukari! Kuwa makini.
 
Kazi sana, tukiweka sheria ya kunyongwa/kupigwa risasi kwa ukweli ukibainika juu ya mtenda makosa, basi ndani ya miaka mitatu Taifa litaanza kuigwa na kufuata maadili na sio kuimba na kuhubiri amani
Hao wahuni watatumia sheria hizo kunyonga wasema ukweli kama hawa. It will be viceversa
 
Kwa hiyo na ww umekubali kuingia box mzima mzima......
bila kufanya analysis bila kusikiliza upande wa pili!!??
Magufuli alikua jizi. Ni wajinga tu walikuwa hawaelewe. This was expected. Mtu anayepemda usiri kwa mambo ya umma ni mtu hatari.

Hapa Jf tulikoswa koswa kufungwa hakuwa anataka mambo kama haya.
 
Magufuli alikua jizi. Ni wajinga tu walikuwa hawaelewe. This was expected. Mtu anayepemda usiri kwa mambo ya umma ni mtu hatari.

Hapa Jf tulikoswa koswa kufungwa hakuwa anataka mambo kama haya.
At least kazi zake za kupendeza tumeziona
 
Back
Top Bottom