Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Samia aliposema mambo ya hovyo yalifanyika huko nyuma huenda ndiyo kama hayaHii story imekaa kwa kuhisi hisi.
Btw, kama ni kweli basi, Samia atakuwa anajua kila kitu...sema unamshitua kwamba anachofikiri ni siri kinajulikana.
Nikupongeze kwa kutupa dokezo fikirika.
Hadi Marais wamo.Hii ni kashfa nzito mno, hadi waziri mkuu kaguswa humu
Huyu jamaa ni moja ya wahuni. Kaandika majungu. Yaani ungejua tangu mwanzo wa mradi na serikali ilivyokuwa makini kuhakikisha haiibiwi.Hii story imekaa kwa kuhisi hisi.
Btw, kama ni kweli basi, Samia atakuwa anajua kila kitu...sema unamshitua kwamba anachofikiri ni siri kinajulikana.
Nikupongeze kwa kutupa dokezo fikirika.
PM kangomba huyo.Hii ni kashfa nzito mno, hadi waziri mkuu kaguswa humu
Labda kama hana info, ila asipokuwa makini Mama watamsanganya na kumtengenezwa documents fake, yeye aamini ktk uzalendo na afanye kazi basi.Samia aliposema mambo ya hovyo yalifanyika huko nyuma huenda ndiyo kama haya
Ila mbona barua yake IPO wazi.Mwambie huyo mchambuzi alete ushahidi wa maelezo yake. Mbona Hutaki Unaacha alikuwa anatupa hata na account namba za benki pesa zilipopita, siku hata saa na nani alipokea hizo fedha!? Watu watoe tuhuma kwa ushahidi usiotiliwa shaka. Vinginevyo, huku ni kuchafuana kwa maslahi binafsi.
Hiyo ni kazi ya aliyeandikiwa kwani anamiliki vyombo vyote vya Dola vikiwemo vya uchunguzi. Anachotakiwa Rais ni kuunda task force isiyopepesa macho Wala kuhongeka kuchunguza na kuripoti kwake moja Kwa moja. Ikimpendeza awasimamishe kazi wote walotajwa ili kupisha uchunguzi wa tuhuma hizi!Mwambie huyo mchambuzi alete ushahidi wa maelezo yake. Mbona Hutaki Unaacha alikuwa anatupa hata na account namba za benki pesa zilipopita, siku hata saa na nani alipokea hizo fedha!? Watu watoe tuhuma kwa ushahidi usiotiliwa shaka. Vinginevyo, huku ni kuchafuana kwa maslahi binafsi.
Toka aliposema Magufuli yupo Ikulu (mnataka mumwone kariakoo...)wakati alishang'ata meno,....sina imani naye.Sijawahi wala sitakaa nimfikirie Majaliwa kama mtu mwema kwa hili Taifa na waru wake. Mungu anisamehe ila namuona Majaliwa kama mtu mwenye roho mbaya, mnafiki, mzandiki na mwenye tamaa. Hajawahi kuwa mkweli kwa Taifa. Hata sasa namuona ndie masta mind wa anguko la Mama. Ana jionyesha kwake kama mtu mwema lakini hafai. Muda utaongea. Nani alijua yeye na Jenister ndio wako nyuma ya sakata la sukari? Bado ikija ya mafuta ya kula na mafuta ya gari utamkuta Majaliwa.
Naunga mkono hoja....Hiyo ni kazi ya aliyeandikiwa kwani anamiliki vyombo vyote vya Dola vikiwemo vya uchunguzi. Anachotakiwa Rais ni kuunda task force isiyopepesa macho Wala kuhongeka kuchunguza na kuripoti kwake moja Kwa moja. Ikimpendeza awasimamishe kazi wote walotajwa ili kupisha uchunguzi wa tuhuma hizi!