Whitney Houston vs Celine Dion nani zaidi?

Try it on my own... Ni wimbo unonipa ari na kuamini mwanamke anaweza fanya lolote bila mwanaune..

Sent using Jamii Forums mobile app
Try it on my own ndo iliwasha gari la uteja kwa whitney. All in all Whitney hakuna wa kumfananisha nae ni mwanamuziki bora kupata kutokea ni bahati mbaya tu alidondokea kwa mtoto wa kihuni Boby
 
Kakojoe ulaleee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Celine dions aisee
..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bittersweet
Memories
That is all I'm taking with me
So good-bye
Please don't cry
We both know I'm not what you
You need
And I...
Will always love you.... (Daaah hii verse huwa inanikumbusha mbali sana 😳😳😳)

Lakini Celine huwa sina wa kumlinganishanae.
 
Whitney ana voice ambayo sijaona kama kuna msanii wa kike angeifikia ..kingine nyimbo zake baadhi ni inspirational sana sana kama Greatest love of all

Tusibishane sana, watoto wenzangu najua fika katika muziki wa mbele tunawajua westlife na celine deon ambao kidogo tuliwasikiliza kwa album zao kipindi ambacho whitney hakuwa active sana kutokana na personal life yake....

Chukua wimbo kama i have nothing alafu tafuta live performance zake na pia linganisha na za celine zote..by the way sijui kama kuna cover ya i have nothing karee kuliko OG version

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I didnt know my own strength..
And i crushed down and i trembled ..
But i did not crumble.. i 've got through all these pain

I did not know my own strength....
Surviving my darkest times,
my faith kept me alive..
I got myself back up..
Holding my head up high
I WAS NOT BUILT TO BREAK

I respect Celine lakini Whitney Houston was exceptional and phenomenal..walimuita THE VOICE


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Watu Wanahangaika
Whitney Houston Ni Kitu Acha Kabisa Album Zake Ziko Sawa Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…