Who am I / Mimi ni nani?

Who am I / Mimi ni nani?

Etugrul Bey

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
6,514
Reaction score
15,247
Tahadhari! Mwandishi wa Uzi huu amejikuta anajiuliza yeye Ni Nani baada ya subconscious mind kuleta kumbukumbu kadhaa katika Maisha yake, kwahiyo anawaza Kwa sauti kubwa!!!

Nikiwa shule ya msingi nadhan Darasa la tano au la sita, wanafunzi wenzangu waliniambia huwa wanamuona Baba yangu kwa binti mmoja hivi, ingawa mpaka sasa hivi ninavyoandika ni mama yangu mdogo kwa maana aliolewa mke wa pili na Baba. Kwa umri ule ingetarajiwa ningeenda straight kumwambia mama au mtu mwingine yoyote Yule lakini sikufanya hivyo kabisa na hii Siri ndio naitoa Leo

Najikuta najiuliza WHO AM I

Kuna kipindi miaka ya 2003/4 nilienda na girlfriend wangu club, akaniaga anaenda washroom, akachukua Mda kidogo kurudi nikasema ngoja nitembee kidogo pale ukumbini,dah nikamuona ameshikwa makalio na mwamba kama wanakiss hivi. Nikapita kimya hakuniona, sikumuuliza chochote na tuliendelea Kula gudtime, nilikuja kumwambia siku nyingine kabisa, akabaki anajikanyaga Tu.

Najiuliza WHO AM I

Kuna kipindi nilikuwa na kirukuu / suzuk carry, nikampa jamaa mmoja aniletee hesabu,kumbe nae anatoa deiwaka bwana, aliyepewa deiwaka akapata ajali na alikuwa hajui gari vizur, nikaingia gharama na hasara Kwa matengenezo, huwezi amini jamaa hakuwahi kuomba msamaha hata kidogo, hakuonyesha kusikitika hata Kwa kinafiki, ni jamaa kutoka ilikodondoka Ile ndege hivi majuzi, nikajua huenda ni hulka zao, sikusema chochote wala kulalamika Kwa yeye kutoomba msamaha.

Najiuliza WHO AM I

Unaweza kunitukana au kunitamkia maneno ya hovyo hovyo nikakuangalia Tu na kujifanya kama hakuna kitu kilichotokea, na siweki kinyongo Rohoni

Najiuliza WHO AM I

Nahisi hata kama siku ikija kutokea Nikamfumania mama watoto wangu ingawa sipendi wala kufikiria kuja kutokea, sitarusha ngumi au kuleta fujo kwa yeyote yule isipokuwa kumpa talaka Tu Kwa roho Safi.

Najiuliza WHO AM I

Natambua kuna baadhi ya watu baada ya kusoma Uzi huu watakuja na comment za kejeli na matusi na Maneno ya ovyo ovyo lakini sitawajibu chochote kile na wala sitakwazika.

Najiuliza WHO AM I

Kutoka kwangu ETUGRUL BEY

Ni hayo Tu!
 
Najua unataka niseme "You are the choosen one" ila me nasema "You are the choo" haiwezekani unyewe kiasi hicho alafu uendelee kutulia tu😁😁😁😁 (Joke)

Una kitu mkuu, Una busara.
 
Najua unataka niseme "You are the choosen one" ila me nasema "You are the choo" haiwezekani unyewe kiasi hicho alafu uendelee kutulia tu😁😁😁😁 (Joke)

Una kitu mkuu, Una busara.
Shukrani mkuu
 
Pole mkuu ...na hiyo ndo sifa ya sisi kuwa na vichwa viwili yaan kutokuyumbishwa na hawa wenzetu
Kweli mkuu upo sahihi kabisa.

Sisi ndio watoa maamuzi kwahiyo tunaweza amua kuleta chuma kingine Mda wowote ule
 
Tahadhari! Mwandishi wa Uzi huu amejikuta anajiuliza yeye Ni Nani baada ya subconscious mind kuleta kumbukumbu kadhaa katika Maisha yake, kwahiyo anawaza Kwa sauti kubwa!!!

Nikiwa shule ya msingi nadhan Darasa la tano au la sita, wanafunzi wenzangu waliniambia huwa wanamuona Baba yangu kwa binti mmoja hivi,ingawa mpaka sasa hivi ninavyoandika ni mama yangu mdogo kwa maana aliolewa mke wa pili na Baba. Kwa umri ule ingetarajiwa ningeenda straight kumwambia mama au mtu mwingine yoyote Yule lakini sikufanya hivyo kabisa na hii Siri ndio naitoa Leo

Najikuta najiuliza WHO AM I

Kuna kipindi miaka ya 2003/4 nilienda na girlfriend wangu club,akaniaga anaenda washroom, akachukua Mda kidogo kurudi nikasema ngoja nitembee kidogo pale ukumbini,dah nikamuona ameshikwa makalio na mwamba kama wanakiss hivi. Nikapita kimya hakuniona,sikumuuliza chochote na tuliendelea Kula gudtime,nilikuja kumwambia siku nyingine kabisa,akabaki anajikanyaga Tu.

Najiuliza WHO AM I

Kuna kipindi nilikuwa na kirukuu / suzuk carry,nikampa jamaa mmoja aniletee hesabu,kumbe nae anatoa deiwaka bwana,aliyepewa deiwaka akapata ajali na alikuwa hajui gari vizur,nikaingia gharama na hasara Kwa matengenezo,huwezi amini jamaa hakuwahi kuomba msamaha hata kidogo,hakuonyesha kusikitika hata Kwa kinafiki,ni jamaa kutoka ilikodondoka Ile ndege hivi majuzi,nikajua huenda ni hulka zao,sikusema chochote wala kulalamika Kwa yeye kutoomba msamaha.

Najiuliza WHO AM I

Unaweza kunitukana au kunitamkia maneno ya hovyo hovyo nikakuangalia Tu na kujifanya kama hakuna kitu kilichotokea, na siweki kinyongo Rohoni

Najiuliza WHO AM I

Nahisi hata kama siku ikija kutokea Nikamfumania mama watoto wangu ingawa sipendi wala kufikiria kuja kutokea,sitarusha ngumi au kuleta fujo kwa yeyote yule isipokuwa kumpa talaka Tu Kwa roho Safi.

Najiuliza WHO AM I

Natambua kuna baadhi ya watu baada ya kusoma Uzi huu watakuja na comment za kejeli na matusi na Maneno ya ovyo ovyo lakini sitawajibu chochote kile na wala sitakwazika.

Najiuliza WHO AM I

Kutoka kwangu ETUGRUL BEY

Ni hayo Tu!
Wewe ni humble man, nimetamani sana falsafa yako na kwa kiasi fulani niko kama wewe, binafsi huwa natamani kupoteza mimi kuliko apoteze mwingine.

Ila jitahidi sana usije ukatengeneza mazingira ya kumfumania mwenzi wako, hata kama mazingira yanaruhusu kwa asilimia 100 usiende kufumania. Labda ibidi kusiko wezekana.
 
Who am I
Natafuta usingizi sipati...
Usingizi unakuja unakata😔
Hahahah umetisha Sana kipenz na pole Kwa usingizi kukuzingua.

Halafu ❤️ kuna watu wanaona nafaidi Sana Mimi kukuita kipenz,my love,❤️

Kwasababu

Naona kuna baadhi Yao now wanaanza kukuita My sweatheart, mrembo,mpenz ila Mimi nawazoom Tu

WHO AM I
 
Hahahah umetisha Sana kipenz na pole Kwa usingizi kukuzingua.

Halafu ❤️ kuna watu wanaona nafaidi Sana Mimi kukuita kipenz,my love,❤️

Kwasababu

Naona kuna baadhi Yao now wanaanza kukuita My sweatheart, mrembo,mpenz ila Mimi nawazoom Tu

WHO AM I
😂😂😂wanapungua taratibu mbona....yaan taratibuuu mwisho utaona kimya ❤
 
Back
Top Bottom