Who created God? Who made him? Where did he come from?

Ha ha ha ha ha, unachekesha sana bwana Free ideas kwa vitu unavyoandika. Eti umesema tumekaririshwa?, ngoja nikupe fungu hili kwanza ili ujue kuwa hayo yote uliyoyaandika yalitabiriwa Lakini wewe, Ee Danieli, yafunge maneno haya, ukakitie muhuri kitabu, hata wakati wa mwisho; wengi wataenda mbio huko na huko, na maarifa yataongezeka.
Haya bwana Free ideas, hayo maarifa yaliyoongezeka , kwa nini Biblia itukaririshe tokea zama za Danieli kuwa maarifa ipo siku yataongezeka, yaani ni kusema Danieli aliona hayo miaka mingi sana iliyopita, na katika zama zetu yanatokea.
sasa hata kugundua hayo yote, ni sawa na kusema yametokea kwa bahati mbaya tu, au unadhani watu wa leo tuna akili kuliko wa enzi hizo?.
Ngoja nikwambie kitu, kale kakitabu kenu ka satanic bible bila shaka kanawapumbaza, maana huko si ndio mnaambiana kuwa, kapo maalumu kwa free thinkers​. Utakuja kushituka kwamba, shetani amekupoteza, shituka wakati kukiwa bado ni mapema. Kama hujakasoma, kapitie japo kwa kifupi, ndipo utajua kuwa pumba zote mnazobisha juu ya uwepo wa Mungu, zimeandikwa humo.
 

Kuhusu kutabiliwa sio sababu sana,kwan mangapi yametabiriwa na watu wa kawaida na yakatokea?,Unasemaje kuhusu utabir mwingi unaohusu mambo yasiyo ya kidini ama kiimani?,je nao tiwaite manabii ama mitume?,

Idd amini alivotabir kwamba ipo SIKU MAREKANI ITAONGOZWA NA MTU MWEUSI,je ni nabii? IWEJE USHANGAE KUSEMWA KWAMBA MAARIFA YATAONGEZEKA?

yaani simple like that you conclude his existence ?
Niliwauliza swali kwamba,mbona hatushuhudii tena maono na maagizo kama zamani!?,eleweni KWAMBA ILIKUWA RAHISI SANA ""Enzi ZILE ZA UJ..I.NG.A,""kuuwambia watu kwamba NIMEAMBIWA /NIMEAGIZWA NA MUNGU.,kuliko sasa.,Je izrael wamesitisha mkataba na mungu?,Lini ilikuwa mwisho kupokea maagizo?,Mbona hakuna kuua watu tena kwa kusema maagizo ya mungu?
 

sitaki na sitaishi kwa uoga na hofu
 
Last edited by a moderator:
Try to define the WORD LIFE,and tell me if the NAME GOD,appear in your definition !,

Ilo neno lina maana nyingi sana , na kila mtu anaweza kuelezea anavyofahamu ama amuhusishe au asimuhusishe Mungu na ikaleta maana ya maisha.
 
aliumbwa adam na hawa basi sisi ni kizazi cha uumbaji ule yani tunazaliana hatuu
mbi we are DUPLICATING

..........kama ni duplicating hakuna ambaye angezaliwa na kasoro, ndio maana nilikuuliza 'unaijua process ya kuzaliwa (kutunga mimba mpaka mtoto kuzaliwa)

'Mwenyezi Mungu huanzisha uumbaji, tena akaurudisha mara ya pili, na kisha mtarejeshwa kwake.
Qur'an:30:11

'Na Yeye (Mwenyezi Mungu) ndiye anaye anzisha uumbaji, kisha ataurudisha mara nyingine (kufa na kufufuliwa siku ya hukumu). Na jambo hili ni jepesi zaidi kwake. Naye (Mwenyezi Mungu) ndiye mwenye mfano bora katika mbingu na ardhi. Na Yeye ndiye Mwenye Nguvu, Mwenye Hekima.
Qur'an: 30:27

Mwenyezi Mungu ndiye aliye kuumbeni, kisha akakuruzukunu,kisha anakufisheni, na kisha anakufufueni. Je ! Yupo yeyote katika hao mnao washirikisha na Mwenyezi Mungu afanyae lolote katika hayo ? Yeye ametakasika (Mwenyezi Mungu) na ametukuka na hayo mnayo mshirikisha nayo.
Qur'an: 30:39

Basi uelekeze uso wako kwenye Dini iliyo nyooka (Uislaam) kabla ya kufika siku hiyo isiyozuilika (Kiama !) inayo toka kwa Mwenyezi Mungu. Siku hiyo watu watatengana (Makafiri na wachamungu)
Qur'an:30:43

Mwenyezi mungu ndiye aliye kuumbeni kutokana na udhaifu (mtoto mchanga) kisha akajalia nguvu baada ya unyonge (kukua na kujitegemea) kisha akajaalia baada ya nguvu, unyonge tena (uzee/kuzeeka) na ukongwe. (Yeye Mwenyezi Mungu) Anaumba atakavyo. Naye Ndiye Mjuzi Mwenye Uweza.
Qur'an:30:54.
Qur'an:30:
 
aliumbwa adam na hawa basi sisi ni kizazi cha uumbaji ule yani tunazaliana hatuu
mbi we are DUPLICATING

Huu ndo uumbaji (process) na ambao hauna kasoro, proven scientifically !

' Na kwa yakini (huu ni uhakika !) tumemuumba mtu kwa asili ya udongo.

Kisha tukamjaalia awe tone la mbegu ya uzazi(manii) katika kalio madhubuti (mfuko wa uzazi)

Kisha tukaumba tone (la manii) kuwa damu iliyoganda, na tukaiumba damu iliyoganda kuwa pande la nyama (kama lililotafunwa !), kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivisha nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwingine (kutoka kwa Adam na Hawa). Basi ametuka Mwenyezi Mungu, Mbora wa waumbaji.
Qur'an:23:12-14
 

unaokoa watu wewe ni nani? u mesiah or prophet. ww umeokolewa na nan ili utuokoe sisi
 

kwaiyo kwenye yote yaliyopo na yaliyopta hyo tu ndo miujiza ya mungu. je vngne ambavyo vpo na hatuna uwezo navyo ni miujiza ya nani?
 
kazi ipo ngependa kungeanzishwa uzi mwingne kujadili uungu wa yesu maana naona mawazo ya wanafunzi wa kanisa yanabishana na mafunzo yao

na pia pangeanzishwa uzi wa ushetani wa allah. acha mtu aamin anachoamin
 
Kuna mswali mengine hutakiwi hata kujiuliza wala kupost ikiwa unaamini ktk mungu lasivyo vinginevyo
 
na pia pangeanzishwa uzi wa ushetani wa allah. acha mtu aamin anachoamin

dah umefika mbali mno ndugu mie nilitaka upate kusikia mwawazo ya wakristo wenzako ili uwe na imani yene uhakika na iliyo thabit usiamini ukiwa bado una maswali ndio sababu ndani yenu hao atheitics huzuka pindi wanapoamua kujiuliza maswali na kukosa majibu ya maswali hayo rejea historia ya europe na kuzuka kwa makundi yanayo pinga dini mpaka leo dini(ukatoliki) hauna say mbele ya serikali
 
na pia pangeanzishwa uzi wa ushetani wa allah. acha mtu aamin anachoamin

dah umefika mbali mno ndugu mie nilitaka upate kusikia mwawazo ya wakristo wenzako ili uwe na imani yene uhakika na iliyo thabit usiamini ukiwa bado una maswali ndio sababu ndani yenu hao atheitics huzuka pindi wanapoamua kujiuliza maswali na kukosa majibu ya maswali hayo
 
kwanin wakati tumeambiwa tutafute elimu popote hata ikibid mpaka chna

Lkn ktk issue ya Mungu ni kuvuka mipaka mkuu ni kumkufuru haituhitaji sisi kumjadili unachotaka kujua ni kuwa yeye mwanzo na mwisho. Si zaidi ya hapo labda ugeukie sayansi na hitimisho lao lakuwa hakuna Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…