Ha ha ha ha ha, unachekesha sana bwana Free ideas kwa vitu unavyoandika. Eti umesema tumekaririshwa?, ngoja nikupe fungu hili kwanza ili ujue kuwa hayo yote uliyoyaandika yalitabiriwa Lakini wewe, Ee Danieli, yafunge maneno haya, ukakitie muhuri kitabu, hata wakati wa mwisho; wengi wataenda mbio huko na huko, na maarifa yataongezeka.Unaonesha jinsi ulivokariri bila kushughulisha ubongo,ngoja nikupe somo ndugu.
Ukihukumu na kuthibitisha uwepo wa MUNGU katika hizo fikra kwamba kitu flani kisingewezekana bila nguvu flani utakuwa uko total wrong!.
Sio lazima nijue kwa nn nipo hapa,na hasante ta nikijua kwamba ni kwa sababu gani haitanisaidia kwa maana SIMUONI,HANA MAWASILINO NA MIMI TOFAUTI NA MAPOKEO YANAYOELEKEA KUPITWA NA WAKATI.
Wakati watu hawajafumbuka na sayansi haijakuwa,tulidhani kabisa vitu kama Tsunamis,catrina,na volcanic eruptions ama uhaba wa mvua,ni ADHABU kutoka kwa MUNGU,lakini leo hii vitu hivi tunajua asili yake na kwa nn vinatokea na hatA vipimo vya kutabiri tunavyo pia.
Miaka hiyo Taifa moja lilikuwa linaua watu kwa kisingizio kwamba limeagizwa na MUNGU.(kumbuka safar ya waizrael kurudi kwako).Waliagizwa kuua kila kiumbe hai chochote njiani.
Kwa mtu mwenye uelewa wa haya mambo,utagundua kwamba ZILIKUWA ENZI ZA UJI..NGA.,hakuna aliyehoji.Jiulize mbona huyo mungu wao hawapi maagizo tena miaka hii?.
Ukiwa unatafakar mambo haya hutakiwi kuwa n jazba.
Haya bwana Free ideas, hayo maarifa yaliyoongezeka , kwa nini Biblia itukaririshe tokea zama za Danieli kuwa maarifa ipo siku yataongezeka, yaani ni kusema Danieli aliona hayo miaka mingi sana iliyopita, na katika zama zetu yanatokea.
sasa hata kugundua hayo yote, ni sawa na kusema yametokea kwa bahati mbaya tu, au unadhani watu wa leo tuna akili kuliko wa enzi hizo?.
Ngoja nikwambie kitu, kale kakitabu kenu ka satanic bible bila shaka kanawapumbaza, maana huko si ndio mnaambiana kuwa, kapo maalumu kwa free thinkers​. Utakuja kushituka kwamba, shetani amekupoteza, shituka wakati kukiwa bado ni mapema. Kama hujakasoma, kapitie japo kwa kifupi, ndipo utajua kuwa pumba zote mnazobisha juu ya uwepo wa Mungu, zimeandikwa humo.