Hujajibu swali bado.
Hivi kipofu akisema kuwa hakuna jua wewe utakubali? Mthibitishie kipofu kuwa kuna jua.
Haaaaaaa,naona unakimbia hoja,nini maana ya kipofu?what if na mimi ni kipofu,kama kipofu ni upofu wa macho kwa tafsiri yako, basi ulichouliza hakina mashiko,jua linaweza kuthibitishwa bla ya kuhitaji macho,kwani jua ndiye mungu wako?
Poa ucjali mi cku hizi nina muda ndo mana waniona humu napambana na jamaa zako,ila najua tutaenda sawa tuNiko poa Free ideas!
Haka ka mwezi ka sita kamenitite kweli! Nikiingia humu nakuona mtu ananiuliza maswali yasionamiguu ndio nampatia majibu kama hayo!
:focus:
Free ideas unayosema nayakubali
(Afu kuna issue ningependa tuongee! Nakuja PM nikitulia!)
Napata shida kujua upana wa uelewa wako, assumptions ni udaku?
1701 Hawa jamaa niliwauliza jana swali kama hili,kwamba waniambie japo matatizo matatu Tu ambayo dini imehawahi kusovu katika hii dunia.,Nikawauliza kama vile vipaza sauti pale Mecca na Vatican vilitoka kwake,Wakakimbia kimoja hakuna aliyejibu.HOJA ya mungu ni dhaifu sana3. Itategemea yeye anatafsiri vipi jua,kwenye hoja,nilidhani wewe ndo ungenipa jibu,mimi si kipofu,ila nmekupa tafsir ya mungu kwa akili yangu mimi,na huyo ndio mungu ambaye mtu yeyote akiogopa au asipokuwa na jibu la jambo flan basi atamkimbilia kwa haraka kujipa faraja, ila sijawahi kuona ufumbuzi wowote wa tatizo ulioletwa na dini
1701 Hawa jamaa niliwauliza jana swali kama hili,kwamba waniambie japo matatizo matatu Tu ambayo dini imehawahi kusovu katika hii dunia.,Nikawauliza kama vile vipaza sauti pale Mecca na Vatican vilitoka kwake,Wakakimbia kimoja hakuna aliyejibu.HOJA ya mungu ni dhaifu sana
wakija hapa wanakimbia kutoka kwenye hoja,mungu huyu huyu kaifanya marekani iwe vle na somalia hivi,mungu huyu ni ngumu kumeza,kuna binadamu wengine wako perfect kuliko yesu
Hajui Fanya research usishadadie na kushabikia hoja Kama ni mpira uwepo wa mungu....soma theology
Niliwaambia wathibitishe uwepo wa Mungu nje ya Faith wakasepa kimoja,Ama wanambie evidences kwamba yesu alitoka kwa mungu/ama ni mungu, wakakimbia kimoja
Kumbe wewe ni wa militia non theism. I seePoa ucjali mi cku hizi nina muda ndo mana waniona humu napambana na jamaa zako,ila najua tutaenda sawa tu
Kuhusu PM hakuna shida karibu
Acha Uongo wewe, nimekujibu kule kwenye thread yako ya nihilo ex nihilo.Niliwaambia wathibitishe uwepo wa Mungu nje ya Faith wakasepa kimoja,Ama wanambie evidences kwamba yesu alitoka kwa mungu/ama ni mungu, wakakimbia kimoja
Msaidie ndugu yako hapa:Ndo anavoita hivyo,Afu ukimwambia Mungu ni Uoaga ama idea anafura
Kumbe wewe ni wa militia non theism. I see
Msaidie ndugu yako hapa:
Hivi kipofu akisema kuwa hakuna jua wewe utakubali? Mthibitishie kipofu kuwa kuna jua.
Ivi unataka nikuekee video ya yaliomtokea Pharaoh?
Kumbe ata haujui kama mwili wa pharaoh upo mpaka leo kule misri! Ivi unataka niuchukue huo mwili na kukuletea kwenu?
Nenda Misri ukathibitishe! Halafu utauliza huo mwili unaumri gani!
Ujinga wako isiwe sababu kupinga hoja!
You are making the claim, provide the evidence! It is that simple! EVIDENCE!
nadhani kumjua mungu, yupo ama hayupo ni swali gumu nje ya imani. Maana Mungu hutamkwa ktk Imani, uwepo wake sio wa hadharani, ni mpaka uwe na imani Fulani ndio ujue yupo.
Lakini huwa najiuliza maswali marahisi lakini nakosa jibu,
Mfano, Nani alimfundisha mwanadamu kufanya mapenzi? Nani alivumbua Uke unaleta rahaa ukiingia na kutoa uume?
Nani alikuwa mwanadamu wa kwanza kushika mimba, walijuaje kuwa alikuwa ni mtoto tumboni? Walifundishwa na nanani kuwa mtoto hutokea alipoingia?
Tuyajibu haya marahisi Kisha tusonge mbele ktk kufahamu uwepo wa mungu.