Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
By the way,Who is God?
Before we even get to those very pertinent questions, I've got a question of my own.
How did god himself come about in the first place?
You tell me.....
Why are you asking something you don't know?
Ki msingi,unaweza ku doubt uwepo wa chochote kwasababu unakijua
Ni ajabu kufanya hivyo kwa usichokijua
Swali la msingi ambalo ungeuliza ni kuhusu kujua Mungu ni nani kisha ndipo baada ya kupewa jibu ndipo ungehoji uwepo wahicho ulichoambiwa bila kusababishwa!
So,Do you know?And that's the very essence of my asking (even though nowhere did I say I don't know).
Kutokujua jambo au kitu kunakufanya kwanza uulize hicho kitu ni nini,baada ya kujua ni kitu gani kwamaana ya sifa ndipo utahoji mambo ambayo yanakutia mashakaKama unakijua kwa nini ukitilie shaka? Wewe huwa unatilia shaka unavyovijua? Mantiki iko wapi katika swali lako hili?
Hiyo hapo juuAjabu ni ipi?
Sio la msingi na nimeeleza ni kwanini sio la msingi!Hata nililouliza ni la msingi. Kama unalo na kunijibu, jibu.
So,Do you know?
Kwenye hili hapa wewe unadai hujui Mungu nini [japokuwa ni indirect]kwa kuwa hujuo ni nini inakuwia vigumu kuhoji uwezekano wake wa kuwepo bila mwanzilishi
Nobody with sound mind will reply to that question dummy!
Who cares about gods! !
You and fellow companion Kiranga bin manyege always discuss about god!
Dont you know some people frm Indian worshipped a god called Penis?
So if you want someone with confiscated knowledge to help you never ever ask about god or gods.
We have those everywhere.
Ask Kiranga bin manyege he will tell you.
Some msata tribes use to worship tree gods.
Wewe na hao Atheist wenzako mna tabia ya UONGO SANA.
Sijui mnapata faida gani.
Nani kakuuliza habari ya "m"ungu hapa?
Watu wanamjadili "M"ungu! we unapindisha kauli na Kuandika mungu!
Miafika bana ni Mayoyye tu!
Rudi kwenye post yangu ya kwanza niliyoku quoteDo I know what?
Angalia kuna mahali nimeweka mabano kwenye ulichoki quote!Wapi nimedai sijui mungu ni nini?
Hizi ni komenti za watu waliokosa majibu, hivyo wanazugazuga tu ili kupotezapoteza muda.
Eiyer badala ya kunijibu ni nini asili ya dhambi, anaanza kuniuliza eti kama naamini Mungu, sasa nikiamini au nisipoamini Mungu, asili ya dhambi inabadilika?, kwamba inabadilika kutegemea na unayemjibu kama anaamini au haamini?!
Nimegundua hamna majibu, nalog off.
Kama mungu kweli anajali free will, mbona hakutuuliza kama tunataka kuzaliwa dunia hii au la? Tuchague wenyewe kwa free will kuzaliwa au kutozaliwa?
Naanza kufyeka vichaka vyako kimoja baada ya kingine.
Def. Choose
verb (used with object), chose; chosen or (Obsolete) chose;choosing.
1. to select from a number of possibilities; pick by preference:
She chose Sunday for her departure.
2. to prefer or decide (to do something):
He chose to run for election.
3. to want; desire.
(especially in children's games) to contend with (an opponent) todecide, as by odd or even, who will do something:
I'll choose you to see who gets to bat first.
Unachaguaje kuzaliwa au kutozaliwa? Kwa kuwa "kuchagua" ni kitendo kinachofuata baada ya process nzima ya kuzaliwa na kukua na then "kuchagua" maana nzima ya kuchagua haijengeki kabla ya kuzaliwa/kuwepo.
1. Ili uone lazima uwe na macho = ili uchague lazima uzaliwe
2. Ukiwa na macho unaweza kuamua kuona au kutoona. = ukishazaliwa unaweza kuchagua
Uamuzi wa kuona au kutoona ni wako pale unapokuwa na macho.
Lazima uzaliwe/uwepo ili uchague. Hivyo umejenga dhana amayo ni logical inconsistency. Kwa sababu tumesema tutatumia logic kupima HII IMEFUTWA RASMI.
Wewe log off au usi log off utajiju!
JAHANNAMU lzm waingie watu vilevile.
Na wewe Kama unatumia akili ungetambua kuwa HUWEZI KUANZA KUKOSOA UWEZO WA KITU au MTU au NGUVU fulani BILA kwanza KUKUBALI KUWA KITU HICHO au NGUVU HIO IPO.
Ndio maana mzee wa kupenda makalio makubwa Baba paroko Eiyer akakuuliza Je huyo Mungu unaetaka TUMJADILI Unakubali kuwa YUPO?
Sasa km wewe HUKUBALI HILO ina maana gani KIJADILI UWEZO au UDHAIFU WA MUNGU ambae wewe HUAMINI KABISA KUWA HAYUPO?
Mnapoleta mdahalo km huu muwe MMEJIANDAA! Sio kuja macho juu tu.
Atheist busara zao ni NDOGO MNO MKUU.
Kama mungu anapenda sana free will, mbona hatuna free will ya kurudi nyuma kwenye muda na kufanya tofauti na tulivyofanya?
Free will inaonekana rahisi sana pale unapoitaja tu kwa kuwa imebeba maneno rahisi kama free & will lakini inaoneka wala huijui vizuri. Nitakueleza baadae baada ya kufuta kwanza logic yako hii hapo juu.
Kama unahisi muda unaenda mbele na yale uliyofanya yameshapita je una mpango gani wa kwa yale ambayo hayajapita?
Kufanya tofauti ukiwa na maana ipi kutenda mema au kutenda maovu zaidi?
Unahisi kama muuaji mwenye kisasi aliyeko jela akipewa uwezo wa kurudi katika muda ambao hajaua atarekebisha zaidi au ataua na wale mashahidi wengine waliosababisha aende jela? HII DHANA YA KUTENDA TOFAUTI INATEGEMEA MORALITY IPI? iwapo sasa una free will na unachofanya ni kumdharau Mungu na kumpinga kwa nguvu zote?
Hujaona hiki ulichojibiwa hapa chini kuhusu hiyo frii wili yako?Hujajibu swali.
Kama mungu anapenda sana free will mbona hakuniuliza kabla sijazaliwa niamue kwamba nizaliwe au nisizaliwe? Angenipa nafasi ya kuamua basi, si anapenda sana free will? Mbona nimejikuta nishazaliwa, nimezaliwa Tanzania, kwa wazazi fulani, mwaka fulani, bila mimi mwenyewe kupanga wala kuruhusu.
Kuna free will hapo?
Kuniuliza kuhusu yale ambayo hayajapita hakujibu swali langu kuhusu yale ambayo hayajapita.
Kama mungu huyu kweli anapenda free will, kwa nini haruhusu watu wawe na uhuru wa kurudi nyuma katika muda na kubadilisha yale waliyoyafanya ambayo hawayafurahii? Na kama watu hatuwezi kurudi nyuma katika muda, au kuchagua tuzaliwe wapi, kwa wazazi gani na muda gani, tuna free will kweli?
Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya ila una free will ya kuchagua mazuri tofauti tu?
Mbona kwa mujibu wenu kaweza kuumba ulimwengu ambao kwa wanadamu muda unaenda mbele tu na haurudi nyuma lakini katupa free will pia?
Mungu huyu anayetoa free will mahala pengine na pengine kutuminyia mbona hana logical consistency?
Naanza kufyeka vichaka vyako kimoja baada ya kingine.
Def. Choose
verb (used with object), chose; chosen or (Obsolete) chose;choosing.
1. to select from a number of possibilities; pick by preference:
She chose Sunday for her departure.
2. to prefer or decide (to do something):
He chose to run for election.
3. to want; desire.
(especially in children's games) to contend with (an opponent) todecide, as by odd or even, who will do something:
I'll choose you to see who gets to bat first.
Unachaguaje kuzaliwa au kutozaliwa? Kwa kuwa "kuchagua" ni kitendo kinachofuata baada ya process nzima ya kuzaliwa na kukua na then "kuchagua" maana nzima ya kuchagua haijengeki kabla ya kuzaliwa/kuwepo.
1. Ili uone lazima uwe na macho = ili uchague lazima uzaliwe
2. Ukiwa na macho unaweza kuamua kuona au kutoona. = ukishazaliwa unaweza kuchagua
Uamuzi wa kuona au kutoona ni wako pale unapokuwa na macho.
Lazima uzaliwe/uwepo ili uchague. Hivyo umejenga dhana amayo ni logical inconsistency. Kwa sababu tumesema tutatumia logic kupima HII IMEFUTWA RASMI.
Hujaona hiki ulichojibiwa hapa chini kuhusu hiyo frii wili yako?
Swli si.kwamba mimi mwanadamu natenda mabaya halafu.nataka mungu aingikie kati, hasha.
Swali ni, kama mungu anaweza vyote, maana yake aliweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekaniki.
Kwa nini hakuumba ulimwengu huo?
Usiniambie freewill, free will nishaichakaza hapo juu.
Ulimwengu ambao mabaya hayawezekaniki una maana ulimwengu ambao Simba FC haiwezi kumfunga Yanga FC au vice versa maana mashabiki wa timu hiyo watachukia na kushindwa kulala? Au kila mtu ni mfalme duniani na darasani kila mtu ni wa kwanza katika masomo yote? Au una kipimo gani ambacho wewe unayejua zaidi kuliko Mungu unaona ni sawa?
Lazima uanze kufikiria juu ya ulimwengu huo vizuri ili uujue uwezo wa Mungu ulivyo mkuu. Wewe unasikitishwa na kifo na kumlaumu Mungu lakini wala hujui upande wa pili wa kifo ukoje. Ni ubinafsi tu wa kibinadamu kwa kuwa yule mpendwa wako aliyekutoka kakuachia upweke na unamlaumu Mungu kwanini asimrudishe. Kurudi kwa huyu mpendwa wako ni ili hisia zako zitulie kwamba unamuona na unafurahi sana. Hisia hizi za kawaida za kibinadamu maana tuna limits katika kujua mambo mengi. (Kama unajua kifo ni nini na wale waliokufa wako katika hali gani tueleze) Vinginevyo wewe kiumbe mwenye limits kubwa katika kuujua ulimwengu huu uliopo unapata wapi dhana tofauti ya ulimwengu mwingine?
Sioni ulichochakaza ila naona umejichakaza.