Who created God? Who made him? Where did he come from?

Before we even get to those very pertinent questions, I've got a question of my own.

How did god himself come about in the first place?

I haven't seen a logically self consistent answer to this question as far as the omnipotent, omniscient, omni benevolent and omnipresent godhead is concerned.

When the ancients bestowed these qualities on the idea of a godhead, they did so with much abstraction, lacking in logical examination.

When this godhead is examined further, using modern tools, this godhead is found wanting.

The very awesome qualities bestowed upon this godhead as a mark of the infinite capability become the very indicting qualities showing the weakness of a perfect godhead who ends up creting an imperfect world.

Pointing to the embarrassing absurdity of this godhead idea in actuality.

Make that unresolved absurdity in the form of a prevailing contradiction.
 
You tell me.....

Why are you asking something you don't know?

Ki msingi,unaweza ku doubt uwepo wa chochote kwasababu unakijua
Ni ajabu kufanya hivyo kwa usichokijua

Swali la msingi ambalo ungeuliza ni kuhusu kujua Mungu ni nani kisha ndipo baada ya kupewa jibu ndipo ungehoji uwepo wahicho ulichoambiwa bila kusababishwa!
 
And that's the very essence of my asking (even though nowhere did I say I don't know).

Kama unakijua kwa nini ukitilie shaka? Wewe huwa unatilia shaka unavyovijua? Mantiki iko wapi katika swali lako hili?

Ni ajabu kufanya hivyo kwa usichokijua

Ajabu ni ipi?

Swali la msingi ambalo ungeuliza ni kuhusu kujua Mungu ni nani kisha ndipo baada ya kupewa jibu ndipo ungehoji uwepo wahicho ulichoambiwa bila kusababishwa!

Hata nililouliza ni la msingi. Kama unalo na kunijibu, jibu.
 
And that's the very essence of my asking (even though nowhere did I say I don't know).
So,Do you know?
Kama unakijua kwa nini ukitilie shaka? Wewe huwa unatilia shaka unavyovijua? Mantiki iko wapi katika swali lako hili?
Kutokujua jambo au kitu kunakufanya kwanza uulize hicho kitu ni nini,baada ya kujua ni kitu gani kwamaana ya sifa ndipo utahoji mambo ambayo yanakutia mashaka

Kwenye hili hapa wewe unadai hujui Mungu nini [japokuwa ni indirect]kwa kuwa hujuo ni nini inakuwia vigumu kuhoji uwezekano wake wa kuwepo bila mwanzilishi

Mfano,tunajua kuwa binadamu hawezi kuishi bila kunywa maji,akija mtu na kusema kuwa binadamu anaweza kuishi bila kunywa maji itakubidi umhoji kuhusiana na alichokisema kwakuwa unajua binadamu ni nini,usingekuwa unajua binadamu ni nini kutilia mashaka kwako ni bure
Ajabu ni ipi?
Hiyo hapo juu
Hata nililouliza ni la msingi. Kama unalo na kunijibu, jibu.
Sio la msingi na nimeeleza ni kwanini sio la msingi!
 
Nobody with sound mind will reply to that question dummy!

Who cares about gods! !
You and fellow companion Kiranga bin manyege always discuss about god!
Dont you know some people frm Indian worshipped a god called Penis?

So if you want someone with confiscated knowledge to help you never ever ask about god or gods.
We have those everywhere.
Ask Kiranga bin manyege he will tell you.
Some msata tribes use to worship tree gods.

ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Kiranga bin manyege ndio nani ?
 
Last edited by a moderator:
Hizi ni komenti za watu waliokosa majibu, hivyo wanazugazuga tu ili kupotezapoteza muda.
Eiyer badala ya kunijibu ni nini asili ya dhambi, anaanza kuniuliza eti kama naamini Mungu, sasa nikiamini au nisipoamini Mungu, asili ya dhambi inabadilika?, kwamba inabadilika kutegemea na unayemjibu kama anaamini au haamini?!

Nimegundua hamna majibu, nalog off.
Wewe na hao Atheist wenzako mna tabia ya UONGO SANA.
Sijui mnapata faida gani.

Nani kakuuliza habari ya "m"ungu hapa?
Watu wanamjadili "M"ungu! we unapindisha kauli na Kuandika mungu!

Miafika bana ni Mayoyye tu!
 
Last edited by a moderator:
Hizi ni komenti za watu waliokosa majibu, hivyo wanazugazuga tu ili kupotezapoteza muda.
Eiyer badala ya kunijibu ni nini asili ya dhambi, anaanza kuniuliza eti kama naamini Mungu, sasa nikiamini au nisipoamini Mungu, asili ya dhambi inabadilika?, kwamba inabadilika kutegemea na unayemjibu kama anaamini au haamini?!

Nimegundua hamna majibu, nalog off.

Mkuu,siamini kama hujaelewa msingi wa swali langu lakini pia kujibu hilo swali hakuondoi asili ya dhambi

Kama huamini uwepo wa Mungu hakuna dhambi kwako ....

Mambo hayo yanakwenda sanjari kabisa mkuu!
 
Kama mungu kweli anajali free will, mbona hakutuuliza kama tunataka kuzaliwa dunia hii au la? Tuchague wenyewe kwa free will kuzaliwa au kutozaliwa?

Naanza kufyeka vichaka vyako kimoja baada ya kingine.

Def. Choose

verb (used with object), chose; chosen or (Obsolete) chose;choosing.
1. to select from a number of possibilities; pick by preference:
She chose Sunday for her departure.
2. to prefer or decide (to do something):
He chose to run for election.
3. to want; desire.
(especially in children's games) to contend with (an opponent) todecide, as by odd or even, who will do something:
I'll choose you to see who gets to bat first.

Unachaguaje kuzaliwa au kutozaliwa? Kwa kuwa "kuchagua" ni kitendo kinachofuata baada ya process nzima ya kuzaliwa na kukua na then "kuchagua" maana nzima ya kuchagua haijengeki kabla ya kuzaliwa/kuwepo.

1. Ili uone lazima uwe na macho = ili uchague lazima uzaliwe
2. Ukiwa na macho unaweza kuamua kuona au kutoona. = ukishazaliwa unaweza kuchagua

Uamuzi wa kuona au kutoona ni wako pale unapokuwa na macho.

Lazima uzaliwe/uwepo ili uchague. Hivyo umejenga dhana amayo ni logical inconsistency. Kwa sababu tumesema tutatumia logic kupima HII IMEFUTWA RASMI.
 
Hahahaaaaaa ....
Mtu kasambaratishwa ....

CC: Mkuu wa chuo , Walas Ba ....!!
 
Last edited by a moderator:
Teh teh tehe!
Ninachokupendea wewe jamaa, huwa unaleta vikomedy na vijokes ili kulegeza kidogo tension ya mjadala.
Eti nitajiju hahaaahaahaaa!!

Kujidai kutofautisha kati ya mungu na Mungu ni janja tu ya kutake time baada ya kuona swali limetitia, usitake kuzuga hapa.

Na huyo baba paroko wako Eiyer inawezekana hajaelewa swali, mimi nimeuliza asili ya dhambi ni nini?, bila kujali mimi nina dhambi au sina, ninaamini Mungu na mtume wake au siamini.
Wewe log off au usi log off utajiju!
JAHANNAMU lzm waingie watu vilevile.

Na wewe Kama unatumia akili ungetambua kuwa HUWEZI KUANZA KUKOSOA UWEZO WA KITU au MTU au NGUVU fulani BILA kwanza KUKUBALI KUWA KITU HICHO au NGUVU HIO IPO.

Ndio maana mzee wa kupenda makalio makubwa Baba paroko Eiyer akakuuliza Je huyo Mungu unaetaka TUMJADILI Unakubali kuwa YUPO?

Sasa km wewe HUKUBALI HILO ina maana gani KIJADILI UWEZO au UDHAIFU WA MUNGU ambae wewe HUAMINI KABISA KUWA HAYUPO?

Mnapoleta mdahalo km huu muwe MMEJIANDAA! Sio kuja macho juu tu.

Atheist busara zao ni NDOGO MNO MKUU.
 
Last edited by a moderator:
Kama mungu anapenda sana free will, mbona hatuna free will ya kurudi nyuma kwenye muda na kufanya tofauti na tulivyofanya?

Free will inaonekana rahisi sana pale unapoitaja tu kwa kuwa imebeba maneno rahisi kama free & will lakini inaoneka wala huijui vizuri. Nitakueleza baadae baada ya kufuta kwanza logic yako hii hapo juu.

Kama unahisi muda unaenda mbele na yale uliyofanya yameshapita je una mpango gani wa kwa yale ambayo hayajapita?

Kufanya tofauti ukiwa na maana ipi kutenda mema au kutenda maovu zaidi?

Unahisi kama muuaji mwenye kisasi aliyeko jela akipewa uwezo wa kurudi katika muda ambao hajaua atarekebisha zaidi au ataua na wale mashahidi wengine waliosababisha aende jela? HII DHANA YA KUTENDA TOFAUTI INATEGEMEA MORALITY IPI? iwapo sasa una free will na unachofanya ni kumdharau Mungu na kumpinga kwa nguvu zote?
 
Hio ndio Tafsiri ya Hilo jina lake.
Kiranga ni jina la kizaramo Kwa kiswahili ni MANYEGE au kiingereza ni (Sexual aroused) Feeling Horny! Au kupatwa na mfadhaiko wa NYEGE.

Hilo muulize mzee yyt wa kizaramo atakufahamisha hivyo.

Teh! bi chau@work
 
Free will inaonekana rahisi sana pale unapoitaja tu kwa kuwa imebeba maneno rahisi kama free & will lakini inaoneka wala huijui vizuri. Nitakueleza baadae baada ya kufuta kwanza logic yako hii hapo juu.

Kama unahisi muda unaenda mbele na yale uliyofanya yameshapita je una mpango gani wa kwa yale ambayo hayajapita?

Kufanya tofauti ukiwa na maana ipi kutenda mema au kutenda maovu zaidi?

Unahisi kama muuaji mwenye kisasi aliyeko jela akipewa uwezo wa kurudi katika muda ambao hajaua atarekebisha zaidi au ataua na wale mashahidi wengine waliosababisha aende jela? HII DHANA YA KUTENDA TOFAUTI INATEGEMEA MORALITY IPI? iwapo sasa una free will na unachofanya ni kumdharau Mungu na kumpinga kwa nguvu zote?

Hujajibu swali.

Kama mungu anapenda sana free will mbona hakuniuliza kabla sijazaliwa niamue kwamba nizaliwe au nisizaliwe? Angenipa nafasi ya kuamua basi, si anapenda sana free will? Mbona nimejikuta nishazaliwa, nimezaliwa Tanzania, kwa wazazi fulani, mwaka fulani, bila mimi mwenyewe kupanga wala kuruhusu.

Kuna free will hapo?

Kuniuliza kuhusu yale ambayo hayajapita hakujibu swali langu kuhusu yale ambayo hayajapita.

Kama mungu huyu kweli anapenda free will, kwa nini haruhusu watu wawe na uhuru wa kurudi nyuma katika muda na kubadilisha yale waliyoyafanya ambayo hawayafurahii? Na kama watu hatuwezi kurudi nyuma katika muda, au kuchagua tuzaliwe wapi, kwa wazazi gani na muda gani, tuna free will kweli?

Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya ila una free will ya kuchagua mazuri tofauti tu?

Mbona kwa mujibu wenu kaweza kuumba ulimwengu ambao kwa wanadamu muda unaenda mbele tu na haurudi nyuma lakini katupa free will pia?

Mungu huyu anayetoa free will mahala pengine na pengine kutuminyia mbona hana logical consistency?
 
Hujaona hiki ulichojibiwa hapa chini kuhusu hiyo frii wili yako?
Naanza kufyeka vichaka vyako kimoja baada ya kingine.

Def. Choose

verb (used with object), chose; chosen or (Obsolete) chose;choosing.
1. to select from a number of possibilities; pick by preference:
She chose Sunday for her departure.
2. to prefer or decide (to do something):
He chose to run for election.
3. to want; desire.
(especially in children's games) to contend with (an opponent) todecide, as by odd or even, who will do something:
I'll choose you to see who gets to bat first.

Unachaguaje kuzaliwa au kutozaliwa? Kwa kuwa "kuchagua" ni kitendo kinachofuata baada ya process nzima ya kuzaliwa na kukua na then "kuchagua" maana nzima ya kuchagua haijengeki kabla ya kuzaliwa/kuwepo.

1. Ili uone lazima uwe na macho = ili uchague lazima uzaliwe
2. Ukiwa na macho unaweza kuamua kuona au kutoona. = ukishazaliwa unaweza kuchagua

Uamuzi wa kuona au kutoona ni wako pale unapokuwa na macho.

Lazima uzaliwe/uwepo ili uchague. Hivyo umejenga dhana amayo ni logical inconsistency. Kwa sababu tumesema tutatumia logic kupima HII IMEFUTWA RASMI.
 
Hujaona hiki ulichojibiwa hapa chini kuhusu hiyo frii wili yako?

Nimeuliza.

Kama mungu anapenda sana free will, kwa nini hakunipa uchaguzi niamue nizaliwe au nisizaliwe?

Hata kwa viwango vya kibinadamu tu, kabla ya kuanza kazi za kibinadamu kwa watu walioelimika unakubali majukumu na kusaini mkataba wa kazi.

Iweje mungu anayesifika kwa kupenda free will akaniweka tu duniani bila hata kuniuliza kama nataka kuwepo kwenye dunia yake mbovu au sitaki?

Huyu mungu anapenda free will kweli au hizi ni hadithi tu?
 
Swli si.kwamba mimi mwanadamu natenda mabaya halafu.nataka mungu aingikie kati, hasha.

Swali ni, kama mungu anaweza vyote, maana yake aliweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekaniki.

Kwa nini hakuumba ulimwengu huo?

Usiniambie freewill, free will nishaichakaza hapo juu.

Ulimwengu ambao mabaya hayawezekaniki una maana ulimwengu ambao Simba FC haiwezi kumfunga Yanga FC au vice versa maana mashabiki wa timu hiyo watachukia na kushindwa kulala? Au kila mtu ni mfalme duniani na darasani kila mtu ni wa kwanza katika masomo yote? Au una kipimo gani ambacho wewe unayejua zaidi kuliko Mungu unaona ni sawa?

Lazima uanze kufikiria juu ya ulimwengu huo vizuri ili uujue uwezo wa Mungu ulivyo mkuu. Wewe unasikitishwa na kifo na kumlaumu Mungu lakini wala hujui upande wa pili wa kifo ukoje. Ni ubinafsi tu wa kibinadamu kwa kuwa yule mpendwa wako aliyekutoka kakuachia upweke na unamlaumu Mungu kwanini asimrudishe. Kurudi kwa huyu mpendwa wako ni ili hisia zako zitulie kwamba unamuona na unafurahi sana. Hisia hizi za kawaida za kibinadamu maana tuna limits katika kujua mambo mengi. (Kama unajua kifo ni nini na wale waliokufa wako katika hali gani tueleze) Vinginevyo wewe kiumbe mwenye limits kubwa katika kuujua ulimwengu huu uliopo unapata wapi dhana tofauti ya ulimwengu mwingine?

Sioni ulichochakaza ila naona umejichakaza.
 
Mungu aliweza au hakuweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
 
Back
Top Bottom