Mkuu cha kwanza unaonekana kwenye namba haupo vizuri kidogo. Vitu viitwavyo forever,eternal,infinity havina mwisho. Sasa ukiambbiwa kitu kina infinity value hapo hakuna asumption kwamba kinaweza kuwa Na infinity+1!. Infinity Ni infinity,hakuna mwisho. Pili jikite kidogo kwenye elimu ya time and space. Time Na space Ni vitu relative Na Ni sisi Tu haps duniani ndio twavipima Na kuvisoma Kama unavyojua wewe. Ukienda sayari nyingine time take Na space au distance measurement Ni tofauti kabisa Na hizi za kwetu. Kuna sehemu dakika yetu moja huko Ni miaka alfu moja Na miatano,Na Kuna sehemu huko nje ya ulimwengu wetu,dakika Ya huko moja sawa Na miaka elfu tano ya haps duniani. Hivyo ukimuwaza Mungu kwa upeo wako wa masaa 24 ya haps duniani wakati yeye ndie kaumba vyote uvijuavyo Na usivyojua,utachanganyikiwa mkuu!