Who created God? Who made him? Where did he come from?

Who created God? Who made him? Where did he come from?

Mkuu cha kwanza unaonekana kwenye namba haupo vizuri kidogo. Vitu viitwavyo forever,eternal,infinity havina mwisho. Sasa ukiambbiwa kitu kina infinity value hapo hakuna asumption kwamba kinaweza kuwa Na infinity+1!. Infinity Ni infinity,hakuna mwisho. Pili jikite kidogo kwenye elimu ya time and space. Time Na space Ni vitu relative Na Ni sisi Tu haps duniani ndio twavipima Na kuvisoma Kama unavyojua wewe. Ukienda sayari nyingine time take Na space au distance measurement Ni tofauti kabisa Na hizi za kwetu. Kuna sehemu dakika yetu moja huko Ni miaka alfu moja Na miatano,Na Kuna sehemu huko nje ya ulimwengu wetu,dakika Ya huko moja sawa Na miaka elfu tano ya haps duniani. Hivyo ukimuwaza Mungu kwa upeo wako wa masaa 24 ya haps duniani wakati yeye ndie kaumba vyote uvijuavyo Na usivyojua,utachanganyikiwa mkuu!
 
Niliposoma thread ya muda na matukio Monstgla ameelezea vzr kuhusiana nq muda na matikio nna uhakika muanzisha uzi hajaipitiada ile vyema
 
Last edited by a moderator:
Mkuu,sijaelewa lengo lako,je ni kutaka kusema mungu hayupo?
Mungu athibitishwi kwa mathematics na science nyingnezo,nenda mahali pako pa kuabudu na hakika utamuona na kupata majibu ya maswali yako,naamin km wewe n¨¬ under 80yrz lazma utakuwa uliwah kujihusisha na imani hata kifamilia
 
Well, kaa Mungu anajua yatakayojiri kesho basi binadamu hana free will, yani huwezi kuchagua na kuamua nini la kufanya kumfurahisha Mungu au kutenda dhambi au kusali kuepushwa na ajali. Imeshapangwa hivyo. Which means, kama huna free will, then huna dhambi yeyote maishani, ulichofanya kibaya, ama chema, hujaamua wewe kwa ridhaa yako. Which means hakuna dhambi na adhabu and hell and heaven! Yote yanakuwa ni hadithi za abunuasi.
Unachanganya kujua na kupanga,unapojua kesho mvua itanyesha haina maana umepanga inyeshe

Mungu anaposema anajua haina maana amepanga,anapojua kesho utaiba hajapanga wewe uibe!
 
Kwa kweli there is no way useme kwamba Mungu alikuwepo tu since forever.., yaani alitokea tangu milele yote.., its impossible. ngoja nikwambie kwanini. 1.) assuming Mungu ali-exist since forever, na tunaipa forever a value T. Sasa niambie at time (T-1 second) alikuwepo..??! 2.) Na at time (T-1 second) palikuwa na nani.., je ndie aliyefanya uumbaji..?! na je yeye huyo aliekuwepo at time (T-1 Second) kaumbwa na nani na katokea wapi na kwa sababu gani na kwa faida gani na ya nani..??! na ili iweje..??! 3.) Na tukisema Mungu atakuwepo up to forever, na tukaipa hiyo forever a value F, je at time (F + 1 second atakuwa wapi)..??!
Jifunze kwanza Mungu ni nini ili ujue namna ya kuuliza maswali sahihi!
 
Kwa kweli there is no way useme kwamba Mungu alikuwepo tu since forever.., yaani alitokea tangu milele yote.., its impossible. ngoja nikwambie kwanini.

1.) assuming Mungu ali-exist since forever, na tunaipa forever a value T. Sasa niambie at time (T-1 second) alikuwepo..??!

2.) Na at time (T-1 second) palikuwa na nani.., je ndie aliyefanya uumbaji..?! na je yeye huyo aliekuwepo at time (T-1 Second) kaumbwa na nani na katokea wapi na kwa sababu gani na kwa faida gani na ya nani..??! na ili iweje..??!

3.) Na tukisema Mungu atakuwepo up to forever, na tukaipa hiyo forever a value F, je at time (F + 1 second atakuwa wapi)..??!

Sina mashaka wewe ni matokeo ya big result now.
 
Ndg kumbuka pale ulipoishia kufikiri ww ndipo Mungu alipoanzia, uwezo wako ni mdogo sn. Mfano linganisha uwezo wako wa kufikiri na mdudu km sisimizi, hapo utapata jibu la maswali yako
 
Unachanganya kujua na kupanga,unapojua kesho mvua itanyesha haina maana umepanga inyeshe

Mungu anaposema anajua haina maana amepanga,anapojua kesho utaiba hajapanga wewe uibe!

Unachanganya ujuzi wa kibinadamu wenue mipaka na huo unaodaiwa kuwa ujuzi wa mungu awezaye yote usio na mwisho.

Binadamu anaposema "kesho mvua itanyesha" ana forecast, hana uhakika wa 100%.

Huyo mungu wenu mnayedai yupo, kwa mujibu wa habari za yeye kujua yote na kuweza yote, akisema "kesho.mvua itanyesha" sio.kwamba anaforecast, hilo ni hakika kwa 100% at that point, na.kwa kuwa yeye ana.uwezo wote, ukiwamo.uwezo.wa kubadili hilo, na kwa kuwa yeye ndiye mnasema kwamba.ndiye.muongozi wa vyote (jua, mawingu, upepo etc) na hakuna unywele unaotikisika bila yeye kujua na kutaka, mungu huyu akiaema amejua kesho mvua itanyesha ni sawa na akisema amepanga kesho mvua itanyesha.

Ukisema vingine umemshusha vyeo vyake vya ujuzi wa yote na uwezo wa yote.
 
Ndg kumbuka pale ulipoishia kufikiri ww ndipo Mungu alipoanzia, uwezo wako ni mdogo sn. Mfano linganisha uwezo wako wa kufikiri na mdudu km sisimizi, hapo utapata jibu la maswali yako

Unajuaje kwamba mungu yupo na si stories tu?
 
Unajuaje km mimi tunaejibazana hapa nipo na sio maandishi tu yanatokea?
 
Unajuaje km mimi tunaejibazana hapa nipo na sio maandishi tu yanatokea?

Nani kakwambia kwamba najua upo?

Sijui kwamba upo.

Inawezekana kinachoandika hapa ni program ya computer tu.

Hujanijibu swali langu.

Unajuaje kwamba mungu yupo na si stories tu?
 
Kaumba binadamu wote...

Kwakuwa wewe binadamu umeumbwa naye....

Mungu ndiye muumba Wa binadamu na wanyama

Unajuaje kwamba kaumba binadamu wote na hizo si stories tu?

Hujatoa sababu, umeleta a fiat statement tu.

Tuonyeshe ni kitu gani kinakupa ujuzi kwamba mungu kaumba viumbe wote.

Usiseme tu "mungu kaumba viumbe wote".
 
Hamna mkuu huyu bibi kizee ana rangi ya kimakonde kabisa labda kama siku hizi anatumia mkorogo
Ni mTz asilia sema amekuwa brainwashed na udini

Alaah kumbe, naona leo hajaingia kabisa humu, ila yupo mme wake Kahtaan anamjibia maswali yake, ila jamaa ana jazba ni bala a. Pia ana kipimo cha kupimia watu kujua km ni mashoga au wasagaji. Nina la hicho kipimo anajua yy
 
Nani kakwambia kwamba najua upo?

Sijui kwamba upo.

Inawezekana kinachoandika hapa ni program ya computer tu.

Hujanijibu swali langu.

Unajuaje kwamba mungu yupo na si stories tu?

Mimi Mungu wangu yupo ila kukuthibitishia km Mungu wako yupo itakuwa ni ngumu maana cjui unamuabudu Mungu yupi!
 
Unajuaje kwamba kaumba binadamu wote na hizo si stories tu?

Hujatoa sababu, umeleta a fiat statement tu.

Tuonyeshe ni kitu gani kinakupa ujuzi kwamba mungu kaumba viumbe wote.

Usiseme tu "mungu kaumba viumbe wote".

kwa nini hajaumba mungu ??
kwa nini mungu hayupo ???
 
Back
Top Bottom