THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
huweji kumfafanua Mungu kwa sababu yeye ndie aliyekuumba wewe! you can't define your maker.
Kama huwezi kumfafanua utajuaje kwamba yupo kweli na si hadithi tu?
This is what is called a "non sequitur" type of thinking.
Kama mtu kutokujua maana ya kifo ni kutokujua lolote, basi hakuna binadamu yeyote anayejua lolote.
Which would beg the question.
Umejuaje kwamba kutokujua maana ya kifo ni kutokujua lolote kama hakuna binadamu yeyote anayejua lolote?
Wacha watu wakusome ndio waone uchache wako wa elimu/busara na nguvu za hoja.
Hapo juu unamjibu jMali kuwa kwa kutokuweza kum define MUNGU kwako wewe unasema huwenda ikawa Sio kweli Au Ni HADITHI TU!
Sasa kwa wewe na huyo FREE idea kutokuweza ku define KIFO kunakifanya hicho KIFO KUWA NI HADITHI AU HAKIPO??
Wewe hujui! Na hujui kuwa hujui!
Na siku ukija kufahamu kuwa hujui ndio itakuwa KIFO chako.
Last edited by a moderator: