WHO inatakiwa izijibu hoja za Rais Magufuli kwa umakini mkubwa. Tropical diseases kama TB, Malaria kwanini hazina chanjo na zinaua sana?

Kwanini usione China ndiyo walio tengeneza na kushindwa kukidhibiti kirusi maabara maana kwajinsi walivyo Pambana ni kama alikijua vizuri na mgunduzi wa kwanza wa kirusi walimnyamazisha kwa kumfunga na kisha alikufa kwa Corona baadaye kwa madai ya
Mkuu China hawezi kukwepa lawama,hasafishiki kwa hilo.Anachojua zaidi China ni kutulisha mchele wa plastic na kuunda vitu fake.
 
Tuondolee upumbavu wako. Umezaliwa umechoma chanjo kibao, watoto wako wamechoma chanjo. Kama kutuuwa wazungu wangeshatuliza, tuache ufiki wa enzi za ujima
Naona wewe umepania ku-derail mada, kinacho zungumziwa hapa ni chanjo ya COVID-19 ugonjwa ambao WHO imeutangaza ugonjwa huo kwamba hivi sasa umekwisha kuwa pandemic - hii maanake nini? Wanadamu wote Duniani watalazimika kudungwa chanjo watake wasitake, hapo ndipo kwenye mgogoro - zoezi hili kama Big Pharma Companies zikielekezwa na baadhi ya mabillionea kupenyeza ajenda zao za siri kwenye chanjo ili ziwadhuru binadamu wenzao wenye asili ya Africa na Asia wana sayansi watafanya kile wanacho elekezwa na matajiri wanao wafadhili - hilo ndilo linafanya baadhi ya Mataifa Duniani kukataa mashikizo ya W.H.O yanayo lazimisha chanjo kutoka kwenye source moja as if Makampuni ya Mataifa mengine hayana uwezo wa kuzalisha chanjo na dawa za kudhibiti Kovid-19, hapo ndipo kunako sababisha bone of contention.

Sasa Viongozi wenye maono/akili ndefu kama Dk. Magufuli wakishtukia mchezo huu mchafu akatoa tahadhali kwa Wizara ya afya na Watanzania kwa ujumla baadhi ya Watanzania wana muona ni mbishi na hivyo hatufai kama kiongozi wa nchi.
 
Wale wale
 
Tuondolee upumbavu wako. Umezaliwa umechoma chanjo kibao, watoto wako wamechoma chanjo. Kama kutuuwa wazungu wangeshatuliza, tuache ufikiri wa enzi za ujima
Huelew tuu, anamaanisha n biological war ya uchum, coz rate ya ukuaj wa uchumi wa China utaipita marekan soon, we Unaleta hisia zako hapa hata hujaelewa🙈
 
Great
thinker in Jf, hata mbumbumbu watelewa sema tuu wataleta ushabiki 😂😂, mm Simba ili nilikubal yanga alichukua kombe , nawarahisishia wanaowekaga ushabik hata vitu vya seriously wao n siasa tuu kisa hajasema Lisu 🤔
 
Jifunze kuangalia zama kwa zama wakati kwa wakati Awake ngoja waje sasa wakuletee kifaa ya kupunguza uwezo wa hiyo melanin unayoringa nayo uone cha moto
Brother naona unajibu conspiracy theory tu hapa. Shida ya conspiracy theorist kama ww ni huwa hamna concrete evidence.. or scientific proof inayodhibitisha madai yenu.
Oh jifunze kuangalia alama za nyakati.. unafikiri wazungu wa kipindi hiko na wa sasa wanatofauti gani?
Kwamba hawa wa sasa ni wabaya sana kuliko wazamani?
 
Je una access ya kuangaliaga BANNED VIDEO ndio utawajua plan zao future yao ni kuja kuishi AFRICA
 
N walewale walowakata babu zetu mikono wasitengeneze majembe ili watuuzie yao, ila dunia inavyobadrika lazma waangalie njia mpya za kutudominate haswaaa wakiona Mchina ana mbio sana na anawafukuzia wanapagawa, watafanya kila waliwezalo hata Hilo la kutupandikizia wayajuayao
 
Yaani ndugu yangu mambo mengi umeyaweka vizuri zaidi. Pungufu kubwa la President wetu ni kutoweza kuwasilisha hoja zake kwa lugha flani flani za kisiasa. Yeye kila kilicho moyoni mwake anakitamka hivyo hivyo bila kuchujwa na chujio la kisiasa. Na wabaya wake wanashikilia hapo hapo.

Sasa tukija kwenye matamshi yake kuhusiana na "kama wazungu wana uwezo wa kutengeneza kinga, basi wangetengeneza za HIV, malaria, etc", alichomaanisha hapo ni kwamba hayo magonjwa ndio yanaongoza kwa kuua waafrika wengi, lakini kwa vile sio kipaumbele cha pharma giants ndio maana hata kinga za hayo magonjwa hazijapatikana. Kwa maana nyingine ni kusema waafrika wasijidanganye kusubiri msaada kutoka WHO, tutafute utatuzi wa matatizo yetu from within.

Sasa sijui wanaompinga Magufuli wanampinga kwa sababu gani maana anachojaribu kutwambia ndio ukweli wenyewe. Kama tulichelewa hiyo haimaanishi hatuwezi kuanza sasa. Na hatua sahihi ya kuanzia ni kusema, no misaada, tutapambana na hali yetu mwisho tutapata ufumbuzi wetu. Magu anatupandikizia hiyo mbegu ila bado kuna wapuuzi wengi sana wasiotaka hiyo mbegu iote.
 
Oh so its a conspiracy theory..
Let me ask you tz tumepokea chanjo ngapi mpaka sasa?
Madawa mangapi tunachukua kutoka kwao?

Why wasituangamize na hizo ? Watuangamize na covid?

Wana science wetu hapa nyumbani wanafanya nini kudhibit covid?
Au wamekaa tu wanasuiri chanjo ya mzungu?
Chanjo zetu hawatengenezi?

As kelele unazopiga hapa hazitosaidia chochote. Mpaka hapo tutakapokuwa na uwezo wa kutengeneza chanjo zetu za magonjwa mbali mbali na madawa yetu ya magonjwa mbali mbali.

Otherwise unaweza ukakunja mada yako .. take it to dustbin bro
 
Chief , unazungumzia hao wazungu ambao end of the day wanajifanya kutupenda kwa masalhi yao!?

Tazama,..umesema wanasayansi waungane watoe dawa...unadhan wanashindwa ama wameshindwa!? Big no..pengine wameshajaribu na kujaribu wanakutana na vizingiti chungu laki..bro..mtu mweupe anapotaka lake ..haji kwa sura ya kutisha..watu wanasema mbona Kuna chanjo zingine tumepewa..ingekuwa kufa tungeshakufa ..but wanahsindwa kujua..hizo machanjo tunazopewa zinareduce miaka ya kuishi plus uwezo wa kufikiria ..tazama now's day africans life expectancy ni miaka 45..while wao wako miaka 70 na kwenda juu, tazama viwango vya IQs zetu..ni dumafu na ndogo mmo kuwaliko wao...

Ndugu..haya mambo yalikuwa planned miaka mia na zaidi iloyopita...

Africans tumearibiwa na tunazidi kuaribiwa kiuwezo,kiakili nk.

Wametuletea demokras Ili watupangie viongozi wao..viongozi watakao wasikiliza kwwnza wao kabla ya wanamnchi wao,..wametuletea demokras..alafu hapo hapo wanatuzunguka..hatujiulizi mbona wakati ule wa machifu..na wafalme wa kiafrika hakukuwa na ujinga huu..watu walikuwa wakiishi vyema...pamoja na kwamba kulikuwa na matatizo lakn jamii zao zilikuwa vyema kiasi.

Ndugu, utabisha Sana lakini Najua ukweli unaujua ..
 
Je una access ya kuangaliaga BANNED VIDEO ndio utawajua plan zao future yao ni kuja kuishi AFRICA
Ww una access na hizo video? Video zinaweza kuwa real or fake. Kwenye stream meadia world ww mwenyewe unaweza make video ukuwatuhumu wazungu kwa kila kitu.

Video to me is not an evidence. Evidence is one that are approved by trusted sources. Documents.. contracts.. labs real test result.. na mambo mengine

Sio hizo propaganda vids huko online.
 
IFIKE HATUA WAZUNGU WATUACHE NA SISI WAAFRIKA TUJE NA SULUHISHO LA MATATIZO YA MAISHA YETU. WAJE NA MAELEZO HIYO CHANJO IMEVUMBULIWA WAPI? IMETOA MATOKEO WAPI???

TULIANZA NA NYUNGU TUNAMALIZA NA NYUNGU
 
Ndugu siwezi kujua umri wako lakini kama ni mtu mzima kidogo na uliyewahi kufuatilia historia ya kisiasa ya nchi yetu mara tu baada ya uhuru utajua kuwa our nation founding fathers walikuwa na maono bora sana kuhusiana na nchi yetu, waliweka mikakati bora kuhusiana na nchi yetu na walianza kupiga hatua sahihi kwa maendeleo ya nchi yetu.

Kitafute kijitabu cha "Ujamaa" cha mwalimu Nyerere ukisome halafu utaona jinsi ambavyo usije kudanganywa na propaganda kwamba ndani ya mtu mweusi hakuna uwezo wa uthubutu wa kupanga na kufanya mambo makubwa.

Uwezo huo upo, unahitaji kupaliliwa kukuzwa. Nikutie moyo tu kwamba usijikatie tamaa wewe binafsi, na usiikatie tamaa nchi yako na watu wake. Na pia nikwambie nchi zote hizo unazosifia watu wake wana uzalendo wa ajabu juu ya nchi zao. Si kwamba hawana mapungufu, bali wanatazama zaidi potential walizo nazo katuja kukabiliana madhaifu na mapungufu yao.
 
Talking without proof or reference.

Chanjo za surua, ndui, ukoma, polio umezisahau?
Mababu zetu walidungwa hizo chanjo..!? Walikufa!?..haya machanjo toka yameanza kutumia hapa tz..mitoto mingi inayodungwa inakuja kuwa mijinga..isiyo na uwezo wa kuchangamsha bongo na kufafanua Mambo.. unakuta lijitu limesoma mpaka chuo..lkn hata kuunda kigoda hajui...mtu anasoma kwa kukariri...walimu wanasahihisa kwa kukariri...hio haikuja kwa bahati mbaya

Plus hata rate ya kiwango cha umri kwa mwafrika kimeshuka..kulinganisha na watu weupe...kiwango cha kuishi wastani ni miaka 45 kwa mwafrika..while wazungu ni kuanzia miaka 70 nakuendelea..

Tukubali tukatae...haya machanjo yamekuwa most suitable poison kwetu wa Afrika ... Hilo haliihitaji elimu ya chuo kikuu kutumbua.
 
Asante.
 
Guy....hii malaria kwani situlikuwa tunaish nayo ...tunaitibu kwa mitishamba yetu!?..hizi chanjo ni yammy poison aisee..sio tu zinauma taratibu..(wastani wa umri wa kuish waafrika) plus zinadumaza akili za watoto na kufubasha miili ...Kama hujaelewa now utaelewa miaka 29 ijayo..pindi Taifa zima tukiwa na vijana na watu wazima ambao ni mazombi
 
Ww unamponda mzungu. Halaf unamsifia mchina.
Hawa wote ni wakoloni.
China iliachia hiki kirusi makusudi ili ku collapse uchumi wa nchi mbali mbali.
Na amefanikiwa.
Still unadhan mchina ni mzuri? Umeangalia trend ya mikataba anayoingia mchina na nchi za africa?

You dont know shit man. Hawa wote ni wakolononi.. china ndio mkoloni mpya.

Africa inatakiwa ijetegee yenyewe. Sio kubadilisha wakoloni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…