WHO inatakiwa izijibu hoja za Rais Magufuli kwa umakini mkubwa. Tropical diseases kama TB, Malaria kwanini hazina chanjo na zinaua sana?

WHO inatakiwa izijibu hoja za Rais Magufuli kwa umakini mkubwa. Tropical diseases kama TB, Malaria kwanini hazina chanjo na zinaua sana?

Ni kwanini Waafrika Wasomi wenye PhD za Tiba na related Sciences hawajagundua hawajapata hawatafuti/tafiti Chanjo ya Tb na Malaria Hadi leo. Wazungu hawasumbuliwi na Tb wala Malaria tayari walishapata Tiba yake. Umesema ni Tropical Disease Mabeberu hawaishi ukanda wa Tropic.
 
Shirika la Afya Duniani ni kibara na chombo muhimu cha kutekeleza Sera za mabeberu moja wapo ya ajenda muhimu ya mabeberu ni kuitawala mifumo ya Dunia kwa ku-centralize mamlaka ili hii sera ifanikiwe ni lazima kwanza wajiimarishe kichumi waendelee kuwa superpowers na ili waendelelee super powers ni lazima wawazime incoming super powers system?
Sidhani una akili timamu
Kiongozi WHO ni Mhabeshi toka Ethiopia naye ni beberu?
Akili za kiChato ni janga la taifa
 
TB chanjo ipo Ndo BCG tena ni chanjo ya kwanza kwa vichanga. Kuhusu chanjo ya malaria mtasubiri sana unless mtengeneze wenyewe. Maana Big Pharma wakitengeneza chanjo,dawa zao watauza wapi?

Ili waendelee kuuza lazima malaria iendelee kuwepo. Waafrica sasa tuamke tujikite kwenye research na tutengeneze chanjo wenyewe.
 
hutaki chanjo wakati toka uko shule ulishapata chanjo kibao, kwenye masuala ya magonjwa kuna baadhi ya magonjwa yanahitaji prevention and controll ili kupunguza athari zake, kwa jamiii mfano malaria kama ukifuata prevention and controll zake utakuwa tu unaiskia kwamba kuna malaria, tatzo suala la elimu kwa jamii zetu ni changamoto
 
kwenye masuala ya afya lazima kwanza mtu apewa elimu ikiwa ni pamoja na jinsi ya huo ugonjwa ulinyo, hatua ya kuchukwa na jinsi ya kujikinga, halafu ndo unamalizia sasa matibabu. Tatzo tunatumia hisia kwenye uhalisia, suala eti wazungu wanataka kuimaliza africa ni mtazamo wa kijima, chanjo zipo na zitaendelea kuwepo tu
 
Kwani kiongozi wetu ana shida gani na Corona ?!. Kiasi ikizungumzwa kwa chochote anachanganyikiwa !!. Corona haiwezi kwisha wala kupungua ki siasa, wala kwa maombi na hata kwa kugomea vya hao mnaowaita mabeberu.

Nina shangaa likitamkwa chochote kuhusu Corona, basi ndugu yetu atataka aende kinyume .

Odhis *
 
Kwa kweli kabisa wakati mwingine napata hasira tu hata kujibu. Ok wazungu wabaya, WHO wabaya kila mtu mbaya wanatuonea wivu. Sisi si matajiri tuna wana sayansi wetu sio wafanye research na kutoa chanjo zao na dawa? kwani lazima kutumia dawa zao na waende huko UN wajitoe katika mikataba ya afya sio wame sign huko wakija huku utasema wameonewa sana.

Kitu gani tumetengeneza hata kimoja, Asprin tu hatujui vitanda tu vya mahospital tunanunua nje ila kwa kupiga domo number moja. Kiongozi unasema wanatuonea wivu hawa kwa lipi hasa? health system yetu bila hawa wanaoitwa mabeberu ingekuwa majanga. Hatuwezi hata ku copy tu tukatengeneza Xray machine sembuse kugundua. tuacheni siasa za kijinga katika mambo ya msingi.
 
Moja ya nguzo tano za medical ethics ni ‘autonomous’ haki ya mgonjwa kuchagua aina ya matibabu given the options.

Jukumu la Dr ni kukuelezea ugonjwa wako na madhara yake katika mwili na dawa sahihi and other available options....
Kuna unafiki sana kwenye hii pandenic ya corona na namna inavyoshughulikiwa na hizi taasisi za kimataifa. Mtu mwenye fikra huru atakwambia "to hell with corona na politics zake" maana ukichunguza kwa kina kuna ubinafsi na uongo uongo mwingi uliojificha nyuma ya mwamvuli wa "sayansi".

Ok, vaccine za kwanza kuhusiana na corona ni zile za China na Urusi. Ila dunia pamoja na WHO imetuaminisha kwamba zile hazipaswi kupewa air time mpaka tusubiri za Ulaya na Marekani. Magu akitilia mashaka hizi motives anakuwa amekosea?

Haya, wakati wa maelekezo ya kupambana na corona - social distancing, kuvaa mask, bla bla... - WHO walikuwa wanasifia nchi flani flani za kiafrika zilizokuwa zinatekekeza maagizo hayo kama marobot. Sasa hivi kuna vaccines za corona ila tunaambiwa kwamba nchi za kiafrika zitaanza kupata dose zake kuanzia labda mwishoni mwa mwaka 2021.

Nchi inayojitambua na kama unajitambua huwezi kuweka tumaini lako kwenye vaccine za corona ili kupambana na corona. Magu kashasoma hilo gemu lote na yupo sahihi kusema kwamba maisha ya watanzania kwenye corona version 1 hayakusubiri vaccine, na pia hayatasubiri vaccine kwenye corona version 2. Ni upuuzi kutegemea corona vaccine unayoweza kuipata mwaka 2022. Ina maana basi maisha hayataendelea hadi tusubiri vaccine ya 2022 tena wanayotuchagulia wao? Umaskini wa fikra ni umaskini mbaya sana.
 
Shirika la Afya Duniani ni kibara na chombo muhimu cha kutekeleza Sera za mabeberu moja wapo ya ajenda muhimu ya mabeberu ni kuitawala mifumo ya Dunia kwa ku-centralize mamlaka ili hii sera ifanikiwe ni lazima kwanza wajiimarishe kichumi waendelee kuwa superpowers na ili waendelelee super powers ni lazima wawazime incoming super powers system?
Hii ni thread pekee ambayo muanzishaji ameikimbia [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Chanjo ingeanzamataifa yaliyoathirika sana, then sis wengine tusubiri kama miaka kumi hivi kuona matokeo ya hiyo chanjo maana kama wai wakichanjwa sisi hatatukuwa na uwezo wa kuwaambukiza hata kama tuna corona. Kitendo cha wao kutushupalia tukubali hiyo chanjo ndio kinatupa mashaka.
 
Sasa kwa nini msitengeneze hizo chanjo?

Mnangoja mabeberu wawatengenezee halafu mseme chanjo si nzuri ni za mabeberu hamzitaki?

Gonjwa la Malaria ni la kwenu tropiki, unataka kutengenezewa chanjo na watu wa Ulaya na Marekani?
Kwani mikataba ya WHO umeisoma ndugu yangu kuhusu nchi yako kutengeneza chanjo? Maamuzi ya kuachana na WHO na kujipambania kama taifa nchi yako yakiichukua utawaelewa viongozi wako? Hapa raisi wako anajaribu tu kutokubali kila kitu lakini anashambuliwa na watu wake wala sio wazungu, watu wa nchi yake.
 
Jipige kifuani kisha useme mimi nigra..
Ni LIPUMBAVU.

Ivi watoto wanavyopewa Chanjo za BCG, OPV, IPV, PCV, ROTA, MR ,PENTA, HEP-B n.k

Izo ni Chanjo au mkundu wako?

Na km ni chanjo, na lengo liwe kuua, kwann wasiue kupitia izo chanjo?

Unajua kama sio Chanjo, ugonjwa wa Surua ungekuapo mpaka sasa?

Hujiulizi kwann wale watu wenye ulemavu sa viungo, unakuta mtu vimiguu havifany kazi, mikono kajaa, au mikoni haifanyi kazi, kwann siku hizi hawapo ????... Yote haya nisababu ya Chanjo.

Alafu mnakaa nakuamin kila jambo analosema Bwanaenu?

Yeye kama ana Ukimwi aache kua na hasira za kijinga.

Mpaka sasa Ukimwi hauna Chanjo.TULIENI.

Unajua BCG kazi yake nn???
 
Shirika la Afya Duniani ni kibara na chombo muhimu cha kutekeleza Sera za mabeberu moja wapo ya ajenda muhimu ya mabeberu ni kuitawala mifumo ya Dunia kwa ku-centralize mamlaka ili hii sera ifanikiwe ni lazima kwanza wajiimarishe kichumi waendelee kuwa superpowers na ili waendelelee super powers ni lazima wawazime incoming super powers system?!
Masikini bwana upumbavu haujawahi kumuisha, wao wametengeza chanjo ya corona,polio na surua,wewe tegeneza ya TB na Malaria,una piga porojo tu while doing nothing
 
Jipige kifuani kisha useme mimi nigra..
Ni LIPUMBAVU.

Ivi watoto wanavyopewa Chanjo za BCG, OPV, IPV, PCV, ROTA, MR ,PENTA, HEP-B n.k

Izo ni Chanjo au mkundu wako???

Na km ni chanjo, na lengo liwe kuua, kwann wasiue kupitia izo chanjo???.

Unajua kama sio Chanjo, ugonjwa wa Surua ungekuapo mpaka sasa???

Hujiulizi kwann wale watu wenye ulemavu sa viungo, unakuta mtu vimiguu havifany kazi, mikono kajaa, au mikoni haifanyi kazi, kwann siku hizi hawapo ????... Yote haya nisababu ya Chanjo.


Alafu mnakaa nakuamin kila jambo analosema Bwanaenu ???.

Yeye kama ana Ukimwi aache kua na hasira za kijinga.


Mpaka sasa Ukimwi hauna Chanjo.TULIENI.


Unajua BCG kazi yake nn???
Msamehe bure aisee, hata thread yake ameitelekeza [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Madai ya Rais kuhusu chanjo ya Covid-19 ni ya kushangaza, Sisi kama wananchi tulitegemea Rais awe mstari wa mbele kutafuta mawasiliano ya kidiplomasia mapema ili kuokoa mamilioni ya watanzania ambao hawajui ni nini kinakuja baada ya rais kusema Wizara ya afya isikimbilie chanjo kwa sababu wazungu hawatupendi, Ni maajabu kuwahi kutokea,Tukiwa katika Milenia ya 20 bado kuna watu wana mitizamo kama hii kweli tunajenga taifa gani lisilokua na miundombinu bora ya afya?
 
Back
Top Bottom