Sidhani una akili timamuShirika la Afya Duniani ni kibara na chombo muhimu cha kutekeleza Sera za mabeberu moja wapo ya ajenda muhimu ya mabeberu ni kuitawala mifumo ya Dunia kwa ku-centralize mamlaka ili hii sera ifanikiwe ni lazima kwanza wajiimarishe kichumi waendelee kuwa superpowers na ili waendelelee super powers ni lazima wawazime incoming super powers system?
Kuna unafiki sana kwenye hii pandenic ya corona na namna inavyoshughulikiwa na hizi taasisi za kimataifa. Mtu mwenye fikra huru atakwambia "to hell with corona na politics zake" maana ukichunguza kwa kina kuna ubinafsi na uongo uongo mwingi uliojificha nyuma ya mwamvuli wa "sayansi".Moja ya nguzo tano za medical ethics ni ‘autonomous’ haki ya mgonjwa kuchagua aina ya matibabu given the options.
Jukumu la Dr ni kukuelezea ugonjwa wako na madhara yake katika mwili na dawa sahihi and other available options....
Hii ni thread pekee ambayo muanzishaji ameikimbia [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Shirika la Afya Duniani ni kibara na chombo muhimu cha kutekeleza Sera za mabeberu moja wapo ya ajenda muhimu ya mabeberu ni kuitawala mifumo ya Dunia kwa ku-centralize mamlaka ili hii sera ifanikiwe ni lazima kwanza wajiimarishe kichumi waendelee kuwa superpowers na ili waendelelee super powers ni lazima wawazime incoming super powers system?
Kwani mikataba ya WHO umeisoma ndugu yangu kuhusu nchi yako kutengeneza chanjo? Maamuzi ya kuachana na WHO na kujipambania kama taifa nchi yako yakiichukua utawaelewa viongozi wako? Hapa raisi wako anajaribu tu kutokubali kila kitu lakini anashambuliwa na watu wake wala sio wazungu, watu wa nchi yake.Sasa kwa nini msitengeneze hizo chanjo?
Mnangoja mabeberu wawatengenezee halafu mseme chanjo si nzuri ni za mabeberu hamzitaki?
Gonjwa la Malaria ni la kwenu tropiki, unataka kutengenezewa chanjo na watu wa Ulaya na Marekani?
Utasikia ni kibaraka wa mabeberuSidhani una akili timamu
Kiongozi WHO ni Mhabeshi toka Ethiopia naye ni beberu?
Akili za kiChato ni janga la taifa
Masikini bwana upumbavu haujawahi kumuisha, wao wametengeza chanjo ya corona,polio na surua,wewe tegeneza ya TB na Malaria,una piga porojo tu while doing nothingShirika la Afya Duniani ni kibara na chombo muhimu cha kutekeleza Sera za mabeberu moja wapo ya ajenda muhimu ya mabeberu ni kuitawala mifumo ya Dunia kwa ku-centralize mamlaka ili hii sera ifanikiwe ni lazima kwanza wajiimarishe kichumi waendelee kuwa superpowers na ili waendelelee super powers ni lazima wawazime incoming super powers system?!
Msamehe bure aisee, hata thread yake ameitelekeza [emoji28][emoji28][emoji28]Jipige kifuani kisha useme mimi nigra..
Ni LIPUMBAVU.
Ivi watoto wanavyopewa Chanjo za BCG, OPV, IPV, PCV, ROTA, MR ,PENTA, HEP-B n.k
Izo ni Chanjo au mkundu wako???
Na km ni chanjo, na lengo liwe kuua, kwann wasiue kupitia izo chanjo???.
Unajua kama sio Chanjo, ugonjwa wa Surua ungekuapo mpaka sasa???
Hujiulizi kwann wale watu wenye ulemavu sa viungo, unakuta mtu vimiguu havifany kazi, mikono kajaa, au mikoni haifanyi kazi, kwann siku hizi hawapo ????... Yote haya nisababu ya Chanjo.
Alafu mnakaa nakuamin kila jambo analosema Bwanaenu ???.
Yeye kama ana Ukimwi aache kua na hasira za kijinga.
Mpaka sasa Ukimwi hauna Chanjo.TULIENI.
Unajua BCG kazi yake nn???