white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Si unajua akili za kiafrika , zimekaa kichawi chawi tu!!unasema eti chanjo hizo hazitibu, ya kwako inayotibu iko wapi?!!eti mbona hawaleti ya malaria, nani alikwambia kuwa wazungu malaria kwao ni tatizo?Ndo mtengeneze zenye kufunction kwa asilimia mnazotaka nyinyi...otherwize hamna option zaidi ya kurely kwenye hyo hata yenye asilimia chache. Still kama hamuezi kutengeneza chanjo... basi isibezwe iliyokuweko maana inasaidia hata watu 2 kati ya 10 sio sawa na 0. Fikiria isingekuweko kabisa ingekuwaje?
Pumbavu Sana hii mijituSidhani una akili timamu
Kiongozi WHO ni Mhabeshi toka Ethiopia naye ni beberu?
Akili za kiChato ni janga la taifa
Kujibizana na wapumbavu kama hawa ni kupoteza mudaSidhani una akili timamu
Kiongozi WHO ni Mhabeshi toka Ethiopia naye ni beberu?
Akili za kiChato ni janga la taifa
Na Mimi nikuulize kwanini NIMRI imeshindwa kuleta chanjo ya TB, surual, Malaria, Hepatitis, Mafua, HIV- AIDS, vitamini A nk je inamaana wao wapo kula pesa tu?Shirika la Afya Duniani ni kibara na chombo muhimu cha kutekeleza Sera za mabeberu moja wapo ya ajenda muhimu ya mabeberu ni kuitawala mifumo ya Dunia kwa ku-centralize mamlaka ili hii sera ifanikiwe ni lazima kwanza wajiimarishe kichumi waendelee kuwa superpowers na ili waendelelee super powers ni lazima wawazime incoming super powers system?!
Katika kutekeleza Sera yao ni lazima waue nguvu kazi ya wanyonge wao lzm waue uwezo wa kufikiria wa wanyonge wao ni lzma watengeneze mazingira nyonyaji kwa wanyonge wao.
Ndio maana sasa Ukimwi hautakaaa uishe malaria Tb nk lengo to control our reproductive potential.
Yaani wanatuhumu wazungu kwann hawajaleta chanjo. Mpaka hapo wanaonyesha jinsi gani mzungu anategemewa hapa dunianiNa Mimi nikuulize kwanini NIMRI imeshindwa kuleta chanjo ya TB, surual, Malaria, Hepatitis, Mafua, HIV- AIDS, vitamini A nk je inamaana wao wapo kula pesa tu?
Wanasiasa karibu wote duniani wanafanana tofauti zao zinatokana na upana wa democractic value za nchi husika.Hakuna popote nilipofanya corona politics. Mimi ninakataa double standards (na motives) za WHO na maagents wao katika kutengeneza mazingira kuonekana kwamba waafrika tunahitaji vaccine ya corona wakati huo huo hiyo vaccination tunaambiwa tutaipata baadaye sana. Ni bahati tu kwamba hata hiyo vaccination hatuihitaji (maana tayari miili yetu ilishajenga herd immunity tangi corona version 1), lakini kama kweli maisha ya waafrika yangekuwa na thamani kiasi hicho WHO ingepigia kelele kuwepo na usawa kwa aina ya vaccine ya corona wanayopaswa kuchanjwa watu wote. Si tunaishi dunia moja? Na kupambana na kirusi cha aina moja?
Na kama kisingizio kitakuwa sijui economics za nchi husika, na storage requirements za vaccinne, basi hiyo ndiyo ikuonyeshe kwamba kila nchi itapambana na corona kwa style yake kutokana na mazingira yake. Tangu siku ya kwanza tulisema kwamba corona tutapambana nayo the African way, nyie mnataka kutulazimishia tupambane nayo kwa namna wazungu wanavyotaka. Kwani kuna shida yoyote mpaka sasa kwa namna tulivyopambana nayo?
So point yangu inabaki. Vaccine siyo kipaumbele chetu katika kupambana na corona. Na kama itabidi tutafute vaccine, itabidi tuitafute kwa terms zetu sio zile tunazolazimishiwa. Vaccine za China hazina uwazi? Wao (wachina) wamechanjwa na vaccine kutoka wapi? Na kama unatilia shaka sayansi ya China mangapi made in China unayatumia kila siku?
Ukoloni wa mzungu kwa mwafrika ulimfanya kitu kibaya sana asee!
Yaani!tatizo letu waafrika kila tatizo linalotukabili , tunamsingizia mzungu!!wakati matatizo mengi chanzo ni sisi wenyewe, tunajiamini tuna wasomi wengi, barani afrika, wameshindwa kuungana, kwa kupata ufadhiri wa nchi za kiafrika, na kutafuta chanjo ya ukimwi!!??
Hao incoming superpowers wako afrika?ambako viongozi wake ni warafi kupita kiasi, wao matatizo ya wananchi sio kipaumbele chao!!yaani miaka 60 toka uhuru hadi leo kiongozi anakuja kukuahidi maji safi?!!tumekubaliana mfumo wa demokrasia, lakini viongozi hawaheshimu maamuzi ya wananchi.
Hao wazungu wakisema inakuwaje wanapewa majina mabaya!!ila huyo huyo akikupa msaada jina linabadirika!!hata vita vinavyoua watu wengi barani afrika, chanzo kikubwa sio wazungu, ni ubinafsi tu wa viongozi wetu , humo ndio wakati mwingine wazungu wanajipenyeza!!!
Sio kigezo cha kusem kuwa ndio hajatawaliwa kifikra kam sio kwann toka aend ulaya akidai kurud kwao ethiopia hawakubal mkuuu angaliaSidhani una akili timamu
Kiongozi WHO ni Mhabeshi toka Ethiopia naye ni beberu?
Akili za kiChato ni janga la taifa
Ndio maana nimesema kutokana na tabia kwanza za ubinafsi za viongozi wetu, hapo inawezwkana wazungu wakaitumia nafasi hiyo, lakini sio kila tatizo la afrika ni wazungu!!viongozi wengi wa afrika hawakuwa tayari na demokrasia, , bali mifumo ya kifalme!!ndio shida inaanzia hapo, wewe rais tangu 1979, hadi leo bado yupo madarakani!!Migogoro mingi kwenye nchi za dunia ya tatu, hasa zenye utajiri mkubwa wa natural resources, ina upande unaofadhiliwa na mzungu!
Ndio maana nimesema kutokana na tabia kwanza za ubinafsi za viongozi wetu, hapo inawezwkana wazungu wakaitumia nafasi hiyo, lakini sio kila tatizo la afrika ni wazungu!!viongozi wengi wa afrika hawakuwa tayari na demokrasia, , bali mifumo ya kifalme!!ndio shida inaanzia hapo, wewe rais tangu 1979, hadi leo bado yupo madarakani!!
Mkuu kwani waafrika mmekatazwa kutengeneza hizo chanjo za TB na Malaria?Shirika la Afya Duniani ni kibara na chombo muhimu cha kutekeleza Sera za mabeberu moja wapo ya ajenda muhimu ya mabeberu ni kuitawala mifumo ya Dunia kwa ku-centralize mamlaka ili hii sera ifanikiwe ni lazima kwanza wajiimarishe kichumi waendelee kuwa superpowers na ili waendelelee super powers ni lazima wawazime incoming super powers system?!
Katika kutekeleza Sera yao ni lazima waue nguvu kazi ya wanyonge wao lzm waue uwezo wa kufikiria wa wanyonge wao ni lzma watengeneze mazingira nyonyaji kwa wanyonge wao.
Ndio maana sasa Ukimwi hautakaaa uishe malaria Tb nk lengo to control our reproductive potential.
Hapa kwetu waliweka pandikizi gani??mbona mali wamekuwa wakijichukulia tu kama za kwao??kabla ya uhuru kila lawama zote zilikuwa ni mzungu, haya amewaacha ni miaka 60 za kujitawala wenyewe, mbona bado matatizo, ni mengi tu!!, narudia sio kila tatizo la afrika chanzo ni mzungu!!!mfano botswana mbona husikii migogoro, si kuna madini?hata meko jitihada anazofanya ni kujaribu ili tuwe tunaambulia kidogo, lakini sio kama anavyodai eti 50-50?!! Mikataba mlishasainishana nao na kuwapa mali kwa tamaa zenu bila kuangalia maslahi ya wananchi wenu.gadafi alijitahidi sana kadri ya uwezo wake, ndio maana nchi aliifikisha pale, kwakuwa toka mwanzo hakuwapa wazungu mali!leo hii kila kwenye mali niMzungu hapendi stability kwenye hizo nchi. Haoni shida kupandikiza watu ili kuleta instability. Pale walipofanikiwa kuweka pandikizi wao madarakani, huyo analindwa kwa gharama yoyote bila kujali misingi ya haki na democracy. Mifano ipo mingi na moja ya hiyo mifano ni Zaire ya Mobutu!
Kwani hawajui?!ni kujifyatua akili tu, kwakuwa mungu mtu wao, ameshasema nayo hayana budi kufuata upepo, ila atasanda tu, hapo tena yatakuja na kuanza kumpongeza!!Kuna chanjo inaitwa BCG ambayo ni chanjo ya kifua kikuu na watoto wachanga wote wanachanjwa... au TB na kifua kikuu ni tofauti?
Njia kujikinga na malaria zinajulikana na pia inatiba. Na kukosa chanjo ya magonjwa mengine haimaanishi basi na hili lisipatiwe solution. Mbona hatuachi kupokea dawa za ukimwi mkasema kwa kua haziponyeshi basi zisitumike? Lakini zinasaidia kufubaza na leo mwenye ukimwi anaeza ishi na asiyenao na asimuambukize.
Kifua kikuu kina tiba na mtu akianza kutumia dawa hakiambukizi tena huwezi fananisha na korona. So yes chanjo inaweza saidia wale ambao hawana maambukizi kutokupata means rate ya watu kuugua itashuka sawa na pandemic diseases zote lazma itafutwe njia ya kupunguza maambukuzi then huko mbele studies nyingine zikifanyika zitaweza kuleta majibu bora zaidi.
Usiombe ikakukuta, utakua wa kwanza kwenda kupanga mstari. Iliku huwezi kusafiri mpk uwe umepata chanjo ya yellow fever, mbona hamhoji hizo??