Yaani!tatizo letu waafrika kila tatizo linalotukabili , tunamsingizia mzungu!!wakati matatizo mengi chanzo ni sisi wenyewe, tunajiamini tuna wasomi wengi, barani afrika, wameshindwa kuungana, kwa kupata ufadhiri wa nchi za kiafrika, na kutafuta chanjo ya ukimwi!!??
Hao incoming superpowers wako afrika?ambako viongozi wake ni warafi kupita kiasi, wao matatizo ya wananchi sio kipaumbele chao!!yaani miaka 60 toka uhuru hadi leo kiongozi anakuja kukuahidi maji safi?!!tumekubaliana mfumo wa demokrasia, lakini viongozi hawaheshimu maamuzi ya wananchi.
Hao wazungu wakisema inakuwaje wanapewa majina mabaya!!ila huyo huyo akikupa msaada jina linabadirika!!hata vita vinavyoua watu wengi barani afrika, chanzo kikubwa sio wazungu, ni ubinafsi tu wa viongozi wetu , humo ndio wakati mwingine wazungu wanajipenyeza!!!