shamimuodd
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,188
- 2,113
Nadhani ni mbinu ya kukimbiza watalii, wanataka waje na majibu ya ugonjwa wa ajabu ili wawaogofye watalii kuingia Tanzania. Hawa mabeberu ni kazi kweli kweli, wanajaribu kila wanaloweza kutukwamisha, ila walishahindwa maana kila tawi wanaloegemea linakatika na kuanguka puuuuuuuuu, hahahaha, Mungu alishaamua kusimama na sisi hakuna wa kuturudisha nyumaDuh ...!
Hii kali, WHO wanasema unknown disease, wewe unasema ebola!.
Kama ni unknown, naunga mkono juhudi za serikali yetu kufanya siri ili kuzuia panic attacks.
P
Duh ...!
Hii kali, WHO wanasema unknown disease, wewe unasema ebola!.
Kama ni unknown, naunga mkono juhudi za serikali yetu kufanya siri ili kuzuia panic attacks.
P
ili watu wasichukue tahadhari wafiane?Duh ...!
Hii kali, WHO wanasema unknown disease, wewe unasema ebola!.
Kama ni unknown, naunga mkono juhudi za serikali yetu kufanya siri ili kuzuia panic attacks.
P
waliomzika ni kina nani?Kuna mdada alikuwa bado masomoni akisomea magonjwa ya mlipuko hapa TZ, kaingia field kakumbani na unknown disease ( ebola). Yani amezikwa kama mbwa koko. Hakuna ndugu wala jmaa kuona au kuaga mwili wake.
Nadhani ni mbinu ya kukimbiza watalii, wanataka waje na majibu ya ugonjwa wa ajabu ili wawaogofye watalii kuingia Tanzania. Hawa mabeberu ni kazi kweli kweli, wanajaribu kila wanaloweza kutukwamisha, ila walishahindwa maana kila tawi wanaloegemea linakatika na kuanguka puuuuuuuuu, hahahaha, Mungu alishaamua kusimama na sisi hakuna wa kuturudisha nyuma
Wanaficha maradhi kifo kitawaumbua.
Sasa wakificha si watu wengi wataugua mwishowe itawashinda kucontrol.
Hivi hadi WHO wanaogopa kusema ukweli kwani nao watafungiwa kutoa habari na serikali au watatumbuliwa?
It doesn't make sense!
Habari za asubuhi wanajamvi. Wajuaji wa mambo naomba tujuzane kama hili Lina ukweli.
Kwanini hili Swala linafanywa siri?
=======
Brazzaville, 12 September 2019 – The World Health Organization (WHO) is aware of a rumour related to the death of a person due to an unknown illness in Tanzania. We have reached out to Ministry of Health officials for further details and have offered our support.
In line with our responsibility under the International Health Regulations, WHO regularly receives and investigates numerous rumours of public health events.
In this regard, WHO is working with national health authorities and is deploying a technical team to Tanzania to investigate this rumour as a matter of urgency.
WHO will be informing Member States of the outcome of this investigation through their national International Health Regulations focal points.
View attachment 1206030
Unachokijuwa wewe ni kipi?We mama tulia kama huelewi.
WHO ipo chini ya mabeberuNadhani ni mbinu ya kukimbiza watalii, wanataka waje na majibu ya ugonjwa wa ajabu ili wawaogofye watalii kuingia Tanzania. Hawa mabeberu ni kazi kweli kweli, wanajaribu kila wanaloweza kutukwamisha, ila walishahindwa maana kila tawi wanaloegemea linakatika na kuanguka puuuuuuuuu, hahahaha, Mungu alishaamua kusimama na sisi hakuna wa kuturudisha nyuma
WHO wanafanya approach ambayo ni suitable au ambayo ni befitting na mfumo wa utawala wa Awamu ya 5. Kwenye awamu hii kuficha takwimu au kuchakachua takwimu imekuwa ndiyo norm. Wenyewe wanaita MATAGA.Duh ...!
Hii kali, WHO wanasema unknown disease, wewe unasema ebola!.
Kama ni unknown, naunga mkono juhudi za serikali yetu kufanya siri ili kuzuia panic attacks.
P
Iko kwenye trial phase bado haijakuwa confirmed. Stay tunedDawa ya Ebola imepatikana tena ni Dr Muafrika ameigundua.
Soma taarifa attached kakaTaarifa zaidi pleas, au wameleta virus kama ilivyo kawaida.