WHO investigating possible unknown illness in Tanzania

WHO investigating possible unknown illness in Tanzania

Sisi tunawaza tuu uchaguzi serikali za mitaa na kuombana misamaha.

Tulio wapa madarakani wapo kama mizigo tuu (kwa sauti ya Kinana) hawezi hata kujisogeza zaidi ya kupiga makofi kwa mteuaji. Hapo subiri Jiwe aite PC na kuelezea hatari ya ugonjwa huo ndio utaona PM, Ummy, maRC na maDC na kila mtu kuhaha huku wakimsifia Rais kwa kujali maisha ya watu.

Wako kama nini sijui
 
1568384743247.png
 
Unachokijuwa wewe ni kipi?

Ulisikia wapi mtu akang'atwa na mbwa akatangaza kidonda?

Unachouliza hapa ni sawa na mtu kufika msibani na kuanza kulia mpaka anajiangusha chini......akishanyamaza kulia ndipo anauliza...''Ati jamani nani kafa hapa...!!
 
They have to investigate any possibility of ebola outbreak and notify the public accordingly ili watu wapewe tahadhari za kuchukua mapema
Tatizo hapa ni kwanini Serikali inafanya kuwa siri..??
Let the investigation continue but Tanzanians MUST be informed timely and correctly..!!
 
Hawa lengo lao ni kutufukuzia watalii wasije nchini
Mabeberu wana roho mbaya sana
 
Nadhani ni mbinu ya kukimbiza watalii, wanataka waje na majibu ya ugonjwa wa ajabu ili wawaogofye watalii kuingia Tanzania. Hawa mabeberu ni kazi kweli kweli, wanajaribu kila wanaloweza kutukwamisha, ila walishahindwa maana kila tawi wanaloegemea linakatika na kuanguka puuuuuuuuu, hahahaha, Mungu alishaamua kusimama na sisi hakuna wa kuturudisha nyuma
Unadhani Mungu huwa anavaa suti Kama polepole?
 
Mr. P,
Sikubaliani na hoja yako ya kinafiki. Tunaposema information is power ina maana kubwa sana.....lazima watu wapewe taarifa ili wajue kinachoendelea kama kuna kuanza kuchukua tahadhari wafanye hivo...!!!Media zimekaa kimya na kwa ujinga huu watu wanaweza kuendelea kuambukizana na baadaye mlipuko ukawa mkubwa and it'll be too late...!!!
Hii serikali imezidi ujinga wa kujaribu kuficha, kuzuia na kufanya siri ya mambo ambayo ni very sensitive to the public!
Kama ni UNKNOWN DISEASE waambie Watz waanze kuchukua tahadhari ili kuzuia spreading of the same. It can be EBOLA who knows? That's why WHO officials in collabo with Ministry of Health are investigating on the unknown disease!!

Ndiyo maana WHO wameweka kwenye mtandao ili jamii ijue kuwa kuna UGONJWA USIOJULIKANA WANACHUNGUZA KWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI YA Tanzania.Madai kuwa serikali inafanya siri ati kuzuia panic hayana mashiko.
Ni yaleyale ya Dr. Mwele Macela binti wa Malecela alyekuwa bosi wa NIMR baada ya kudai kuwa virus vya Zika vilikuwa vimeonekana huko Morogoro na Geita.

Ni kweli kabisa, kuficha ugonjwa haisaidii kitu. Kinachotakiwa watu/wananchi wajulishwe wazi wazi kabisa, sambamba na kujulishwa hatua au mbinu za tahadhari wanazotakiwa kuzichukua au kuzingatia ili kujikinga na ugonjwa wakati wataalamu wa afya wakiendelea NA uchunguzi zaidi ili kubaini kuwa ni ugonjwa gani huo hasa.

Kuficha taarifa haisaidii kitu chochote kile, kwanza ni hatari zaidi KWA sababu Unaweza kusababisha watu wengi zaidi kuathirika kutokana na kukosa taarifa muhimu za awali juu ya namna ya kuchukua tahadhari.
 
So what? Matusi yako yatanipunguzia nini
Acha kupanik
Mabeberu ndio wanaleta ebola hata ndugu yako anaweza ambukizwa


Insane
Lipuuzi kweli wewe mla kokoto za chooni, Kama wanawafukuzia watalii wafukuzeni wenyewe kwanza ili wasije kuwaharibia uchumi wenu
 
WHO ipo chini ya mabeberu
Mabeberu roho zao zinawauma kwelikweli wanavyotuona tunapiga hatua kuelekea kwenye uchumi wa kati, lengo lao ni kuwatisha watu wapate hofu na kupelekea kuzorota kwenye uzalishaji, hivyo kupelekea kuporomoka kiuchumi.
shamimuodd hebu wakumbushe wanajukwaa mpaka sasa hivi takwimu zinaonyesha tuna idadi ngapi ya viwanda hapa nchini.

Msipende kuleta masihara, kebehi NA dhihaka za Kisiasa kwenye masuala nyeti kabisa yanayohusu afya, maisha NA uhai wa binadamu, tuache mzaha. Uhai wa watu ni jambo nyeti sana, tuache mzaha wa kuhusiana jambo hili NA mambo yenu ya siasa tafadhali sana.
 
Back
Top Bottom