WHO investigating possible unknown illness in Tanzania

WHO investigating possible unknown illness in Tanzania

Tuna ugonjwa wa ukwasi mifukoni ugonjwa ambao huuwa hunyongonyesha mwili hukondesha attack one huwa una sizz brain,attack 2,moyo na tumaini lq maisha huondoka,hapa watu huanza kukimbilia kwa wazee wa upako wakitafuta manusura yao nao bila ajizi hulamba kile kidogo kilichopo kwa lukupa tumaini kuu,la kusubiri muujiza wako.
 
Back
Top Bottom