WHO investigating possible unknown illness in Tanzania

WHO investigating possible unknown illness in Tanzania

Watanzania wenzangu kuna jambo linaitwa political economy of heath sector

Baada ya kuwabania hawa mabeberu kwenye miradi mikubwa tutegemee yafuatayo:

# vitisho vya kutokea ugaidi

# milipuko ya magonjwa kama ebola n.k

Na mengine mengi

Hawa wazungu ni watu wanaotaka maslahi zao tu na yatupasa tuwaangalie kwa jicho la tatu
 
Kwanza niseme mpaka sasa sijapata official report ya Serikali juu ya uwepo wa Ebola.

Serikali haijachukua tahadhari yoyote ile kuwalinda wananchi dhidi ya ugonjwa wa Ebola ukilinganisha Tanzania na Kenya basi Serikali yetu imemwachia Mungu jukumu la kuwakinga wananchi dhidi ya uingiaji wa homa ya Ebola, Kenya kabla haujaingia ndege zao ukitokea Uganda au Congo wanakufanyia screen test kwa upande wetu tunajaza fomu unaulizwa kama ulisha wahi kuugua Ebola ukisema hapa unakwea Pipa unaingia TZ Ila wakenya lazima ufanye screen test.

Kwa kweli Mungu atunusuru ila Serikali haifanyi lolote kutukinga hasa kutokea hizi airport za zone zenye maambukizi ya Homa ya Ebola. Iwe kweli ama isiwe kweli kwamba Ebola imeingia nchini lakani juhudi tunazochukua kuwakinga wananchi wetu in za hovyo naza aibu kwa Karne hii.
 
Hawataki watu watishike, wanajaribu kutumia hekima zao wakati wanaimarisha entry points, nimesikia tayali kuna watu kadhaa walio 'contact kwa namna yoyote na docta alive kufa akazikwa na selikali wote wapo kambini
 
TUNAISHI KIMAZOEA MKUU NA MAZOEA HAYO YANATUPONZA MNO KAMA JAMII
 
Habari za asubuhi wanajamvi. Wajuaji wa mambo naomba tujuzane kama hili Lina ukweli.

Kwanini hili Swala linafanywa siri?

=======

Brazzaville, 12 September 2019 – The World Health Organization (WHO) is aware of a rumour related to the death of a person due to an unknown illness in Tanzania. We have reached out to Ministry of Health officials for further details and have offered our support.

In line with our responsibility under the International Health Regulations, WHO regularly receives and investigates numerous rumours of public health events.

In this regard, WHO is working with national health authorities and is deploying a technical team to Tanzania to investigate this rumour as a matter of urgency.

WHO will be informing Member States of the outcome of this investigation through their national International Health Regulations focal points.

View attachment 1206030

=========

NAIROBI (Reuters) – A woman whose death in Tanzania is being investigated by the World Health Organization probably did not have Ebola, a spokesman for the U.S. Centers for Disease Control and Prevention said on Friday.

There is increased vigilance across the region because of an outbreak of Ebola in Democratic Republic of Congo, and the WHO said on Thursday it was looking into the death of a patient in Tanzania.

The woman who died in Dar es Salaam on Sept. 8 presented symptoms common to several diseases, including dengue or malaria, both endemic in East Africa, said Justin Williams, the director for communication and policy at the Nairobi office of the U.S. Centers for Disease Control and Prevention.

Such symptoms also present in Ebola, he said, but there was no indication the woman had traveled to an affected area or had contact with an infected person.

“It’s more likely something else. She has not traveled to the (Democratic Republic of Congo) and was not in close contact to an Ebola patient from DRC or Uganda,” he told Reuters.

He added that the Tanzanian government or the WHO may release test results either late on Friday or on Saturday. Ebola testing usually takes one to two days, Williams said.

The WHO regional office for Africa said in a statement on Thursday it was aware of a rumor of a death from an unknown illness, adding that the agency “is working with national health authorities and is deploying a technical team to Tanzania to investigate this rumor as a matter of urgency”.

WHO spokesman Tarik Jasarevic told Reuters in Geneva on Friday that the agency “does not have official confirmation of any particular disease”.

The Tanzanian Health Ministry did not answer calls.
Hawa jamaa sasa rasimi watapandikiza huu ugonjwa huu hapo Dar. Wachunguzwe kabla ya kufanya mambo yao. Pia wapewe mipaka , wakitoka tu..choma moto kila kitu chao.
 
Hamuijui Ebola toka tarehe kumi,Ebola sio mchezo mpaka sasa ingekua kilio cha kupata meno kwa outbreak ya maambukizi,alafu acheni hizi habari zina impact kubwa kiuchumi,mnasema utata umekolea alafu mnaleta viuzushi hapa
 
Unadhani Ebola ikiingia nchini utasubiri utangaziwe? My friend yaani unadhani hilo gonjwa linafungiwa kwenye kabati
Kuna mambo hayafikichiki. Unaficha ili iweje? Kwanini wasiseme kama ebola imeingia nchini ili kuchukua tahadhari.
 
Serikali yetu haijawahi kuwa serious na ulinzi wa RAIA wake, Mungu tu ndiye atulindaye
Isingekuwa serious ungekuwa hapo ulipo na kupost kwa kitekino chako? Nyie watu bongi zenu mnazijua wenyewe. Airoort zetu zote kwa miaka zaidi ya miwili sasa zina machine maalum za kukuskrini unapoingia uwanjani na ziko automated zote. Ukiwa na dalili zozote za ebola watajua na watakuzuia hadi wakuchunguze. Tatizo mnashinda JF hamna muda wa kuangalia hata news.
 
Samahani mkuu, hata kama mhusika aliandika wakati ameshatumia "____" nadhani kuna machache ya kujifunza kwake. Nadhani wakati watu wanaingia pale airport bila kujali yeye ni mtanzania au sio mtanzania na ametoka nchi gani afanyiwe screening iwapo ana dalili za Ebola. Mimi hapa Mara ya mwisho kuchekiwa au hata kuulizwa umetokea nchi gani ni 2016, Mwaka 2017 hadi 2019 juzi nimepita bila hata kufanyiwa usaili wa awali (Katika hii vita dhidi ya Ebola hilo sio sahihi). Nadhani juhudi ziongezwe katika Entry point zote kwa usalama wa taifa letu.

Ahsante
 
Pengine nimesahau! Niliona uzi mmoja humu kuhusu kuzuiwa watu kuingia Makka kwa hofu ya Ebola tukafoka sana. Nadhani spirit iwe ile ile, waingie tu kwani ni binadamu wenzetu.
 
Isingekuwa serious ungekuwa hapo ulipo na kupost kwa kitekino chako? Nyie watu bongi zenu mnazijua wenyewe. Airoort zetu zote kwa miaka zaidi ya miwili sasa zina machine maalum za kukuskrini unapoingia uwanjani na ziko automated zote. Ukiwa na dalili zozote za ebola watajua na watakuzuia hadi wakuchunguze. Tatizo mnashinda JF hamna muda wa kuangalia hata news.
Wee jamaa Nabii nini? Umejuaje kwamba nina tecno? Nabii umechemsha, android pekee ninayo tumia ni ya Seoul, hiyo Ebola director airport imefungwa lini?
Ina detect dalili zipi za Ebola? Je wagonjwa wengine hawana hizo dalili?
 
Kwanza niseme mpaka sasa sijapata official report ya Serikali juu ya uwepo wa Ebola.

Serikali haijachukua tahadhari yoyote ile kuwalinda wananchi dhidi ya ugonjwa wa Ebola ukilinganisha Tanzania na Kenya basi Serikali yetu imemwachia Mungu jukumu la kuwakinga wananchi dhidi ya uingiaji wa homa ya Ebola, Kenya kabla haujaingia ndege zao ukitokea Uganda au Congo wanakufanyia screen test kwa upande wetu tunajaza fomu unaulizwa kama ulisha wahi kuugua Ebola ukisema hapa unakwea Pipa unaingia TZ Ila wakenya lazima ufanye screen test.

Kwa kweli Mungu atunusuru ila Serikali haifanyi lolote kutukinga hasa kutokea hizi airport za zone zenye maambukizi ya Homa ya Ebola. Iwe kweli ama isiwe kweli kwamba Ebola imeingia nchini lakani juhudi tunazochukua kuwakinga wananchi wetu in za hovyo naza aibu kwa Karne hii.
Watu wapo busy na urais mwakani.
 
Back
Top Bottom