WHO investigating possible unknown illness in Tanzania

WHO investigating possible unknown illness in Tanzania

Duh ...!
Hii kali, WHO wanasema unknown disease, wewe unasema ebola!.

Kama ni unknown, naunga mkono juhudi za serikali yetu kufanya siri ili kuzuia panic attacks.
P
Nadhani ni mbinu ya kukimbiza watalii, wanataka waje na majibu ya ugonjwa wa ajabu ili wawaogofye watalii kuingia Tanzania. Hawa mabeberu ni kazi kweli kweli, wanajaribu kila wanaloweza kutukwamisha, ila walishahindwa maana kila tawi wanaloegemea linakatika na kuanguka puuuuuuuuu, hahahaha, Mungu alishaamua kusimama na sisi hakuna wa kuturudisha nyuma
 
Hata wewe haujaripoti wapi huyo mgonjwa kapatikana
 
Duh ...!
Hii kali, WHO wanasema unknown disease, wewe unasema ebola!.

Kama ni unknown, naunga mkono juhudi za serikali yetu kufanya siri ili kuzuia panic attacks.
P

Mr. P,
Sikubaliani na hoja yako ya kinafiki. Tunaposema information is power ina maana kubwa sana.....lazima watu wapewe taarifa ili wajue kinachoendelea kama kuna kuanza kuchukua tahadhari wafanye hivo...!!!Media zimekaa kimya na kwa ujinga huu watu wanaweza kuendelea kuambukizana na baadaye mlipuko ukawa mkubwa and it'll be too late...!!!
Hii serikali imezidi ujinga wa kujaribu kuficha, kuzuia na kufanya siri ya mambo ambayo ni very sensitive to the public!
Kama ni UNKNOWN DISEASE waambie Watz waanze kuchukua tahadhari ili kuzuia spreading of the same. It can be EBOLA who knows? That's why WHO officials in collabo with Ministry of Health are investigating on the unknown disease!!

Ndiyo maana WHO wameweka kwenye mtandao ili jamii ijue kuwa kuna UGONJWA USIOJULIKANA WANACHUNGUZA KWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI YA Tanzania.Madai kuwa serikali inafanya siri ati kuzuia panic hayana mashiko.
Ni yaleyale ya Dr. Mwele Macela binti wa Malecela alyekuwa bosi wa NIMR baada ya kudai kuwa virus vya Zika vilikuwa vimeonekana huko Morogoro na Geita.
 
Kuna mdada alikuwa bado masomoni akisomea magonjwa ya mlipuko hapa TZ, kaingia field kakumbani na unknown disease ( ebola). Yani amezikwa kama mbwa koko. Hakuna ndugu wala jmaa kuona au kuaga mwili wake.
waliomzika ni kina nani?
 
Nadhani ni mbinu ya kukimbiza watalii, wanataka waje na majibu ya ugonjwa wa ajabu ili wawaogofye watalii kuingia Tanzania. Hawa mabeberu ni kazi kweli kweli, wanajaribu kila wanaloweza kutukwamisha, ila walishahindwa maana kila tawi wanaloegemea linakatika na kuanguka puuuuuuuuu, hahahaha, Mungu alishaamua kusimama na sisi hakuna wa kuturudisha nyuma

Acha ujinga we mtoto wa kike.
Acheni mambo ya kipuuzi ya kusingizia MABEBERU kila jambo baya!!Kwa sasa dunia ni kijiji, kama ni ugonjwa haujulikani lazima Watz wapashwe habari ili wachukue tahadhari. Maana kwa akili yako hata tukipata mlipuko wa EBOLA Tanzania basi iwe siri ili WATALII waendelee kuja Tanzania. Pumbaf kabisa!
 
Wanaficha maradhi kifo kitawaumbua.

Sasa wakificha si watu wengi wataugua mwishowe itawashinda kucontrol.

Hivi hadi WHO wanaogopa kusema ukweli kwani nao watafungiwa kutoa habari na serikali au watatumbuliwa?

It doesn't make sense!

Nadhani WHO hawawezi kutoa statement kabla ya kufanya uchunguzi. Ndiyo maana wametuma Technical team.
 
Habari za asubuhi wanajamvi. Wajuaji wa mambo naomba tujuzane kama hili Lina ukweli.

Kwanini hili Swala linafanywa siri?

=======

Brazzaville, 12 September 2019 – The World Health Organization (WHO) is aware of a rumour related to the death of a person due to an unknown illness in Tanzania. We have reached out to Ministry of Health officials for further details and have offered our support.

In line with our responsibility under the International Health Regulations, WHO regularly receives and investigates numerous rumours of public health events.

In this regard, WHO is working with national health authorities and is deploying a technical team to Tanzania to investigate this rumour as a matter of urgency.

WHO will be informing Member States of the outcome of this investigation through their national International Health Regulations focal points.

View attachment 1206030

Hela inatafutwa hapa ww, WHO wanachomolewa $$..
 
Nadhani ni mbinu ya kukimbiza watalii, wanataka waje na majibu ya ugonjwa wa ajabu ili wawaogofye watalii kuingia Tanzania. Hawa mabeberu ni kazi kweli kweli, wanajaribu kila wanaloweza kutukwamisha, ila walishahindwa maana kila tawi wanaloegemea linakatika na kuanguka puuuuuuuuu, hahahaha, Mungu alishaamua kusimama na sisi hakuna wa kuturudisha nyuma
WHO ipo chini ya mabeberu
Mabeberu roho zao zinawauma kwelikweli wanavyotuona tunapiga hatua kuelekea kwenye uchumi wa kati, lengo lao ni kuwatisha watu wapate hofu na kupelekea kuzorota kwenye uzalishaji, hivyo kupelekea kuporomoka kiuchumi.
shamimuodd hebu wakumbushe wanajukwaa mpaka sasa hivi takwimu zinaonyesha tuna idadi ngapi ya viwanda hapa nchini.
 
Duh ...!
Hii kali, WHO wanasema unknown disease, wewe unasema ebola!.

Kama ni unknown, naunga mkono juhudi za serikali yetu kufanya siri ili kuzuia panic attacks.
P
WHO wanafanya approach ambayo ni suitable au ambayo ni befitting na mfumo wa utawala wa Awamu ya 5. Kwenye awamu hii kuficha takwimu au kuchakachua takwimu imekuwa ndiyo norm. Wenyewe wanaita MATAGA.

Dr Mwele Malecela (PhD), alifukuzwa kazi kama mbwa kwa kufanya kazi kwa weledi. Aliposema kuna dalili za ugonjwa wa Zika mwaka 2016 akaonekana ana dhalilisha nchi. Professionally baada ya pale ilipaswa kuchukua samples na kwenda ku-test laboratory wakati tahadhari ya kuzuia maambukizi zikifanyika.

Baada ya Dr Mwele kuondoshwa NIMR sidhani kama aliyechukua nafasi ile anatekeleza majukumu yake. Anaweza akawa ana weledi lakini anaogopa yasimpate yaliyompata Dr Mwele. Wakati wa Dr Mwele hata Mtanzania wa kawaida alijua kuna NIMR ila kwa sasa sidhani.

Kama NIMR ingefanya kazi zake kwa uhuru na kadri Sheria inavyotaka basi tusingesumbuliwa kiasi kile na ugonjwa wa homa ya Dengue.

Homa ya Dengue imeua watu kwa maelfu kuanzia mwaka jana hadi katikati ya mwaka huu wa 2020. Nina uhakika wataalamu walikuwa wanajua lakini nani aseme kuwa ni homa ya Dengue. Wanaogopa kutumbuliwa kama Mwele, wamewaachia wanasiasa ndiyo washughulikie.

Likewise kwenye hiyo Ebola, ndiyo maana hawa WHO wameita unknown disease.

Nashauri kwenye vitu serious kama takwimu au dalili za uchumi na ugonjwa Serikali iache 'rigging', unaweza uka 'rig' takwimu za election ila huwezi ku 'rig' takwimu za uchumi na afya.
 
Mungu atusaidie sana maana kama kinachosemwa ndicho shughuli imekwisha...kama dengue tu mambo yalitisha...pole sana Tarimba.....na kwa serikali hii....
 
WHO wametoa Tamko juu ya kutuma Msaada wa kuja nchini kuchunguza juu ya tetesi za Ugonjwa ambao hadi sasa bado haujajulikana nchini naa hadi sasa tayari umeshaua mtu mmoja.

Tamko hilo ( Attached) ambalo limechapishwa kwenye Tovuti yao haikuweka wazi kuwa mtu huyo alifariki kutoka eneo gani la nchi.

Ubalozi wa Marekani pia Watoa 'Health Alert' kwa Raia wake.

1568363903193.png
1568364381823.png
WHO deploys technical team to Tanzania to support investigation of a rumour of unknown illness

Brazzaville, 12 September 2019 – The World Health Organization (WHO) is aware of a rumour related to the death of a person due to an unknown illness in Tanzania. We have reached out to Ministry of Health officials for further details and have offered our support.

In line with our responsibility under the International Health Regulations, WHO regularly receives and investigates numerous rumours of public health events.

In this regard, WHO is working with national health authorities and is deploying a technical team to Tanzania to investigate this rumour as a matter of urgency.

WHO will be informing Member States of the outcome of this investigation through their national International Health Regulations focal points.
 
Hawa Mabeberu washaanza!!

Hivi waliwasiliana na Mtukufu Regional Commissioner wa Daslam kumwambia kwamba wamesikia tetesi kuhusu uwezekano wa kuwepo ebola Tanzania, na kwahiyo, kwa heshima na taadhima wanamuomba awaruhsu watoe hilo tamko?!

Guys, mwenye namba ya Mtukufu RC, ampigie mara moja kumweleza mabeberu wameanza tena huku!!

Yaani kusikia The Supreme Noble, Of All Nobles in Northern and Southern Hemisphere kamtumbua yule aliyekuwa kubwa la majasusi, mabeberu nao wanaanza kutaka kumpakazia His Excellency kwamba nchi yake ina ebola!!

SHIIINDWAA BEBERU SHINDWAAAAAAAAA... semeni HALLELUJAH!
 
Back
Top Bottom