Who is Christina Shusho historically?

Who is Christina Shusho historically?

Yes kanisani kwake manzese, ingia YouTube ucheki interview yake leo....

Kama kaonja kawine hivi, asee sijui kama ana ndoa yule

Full kuchange mazima, storee zake mara wolpa, wema a hamisa eti anataka kwa nguvu urafiki nao, watu wamempa makavu sijui atayasoma[emoji849]
Membe alishaosha Rungu sana hapo huyo maza.
 
SHUSHO2%3D9...jpg


Salamu wan JF,

Tafadhali naomba kujua historia fupi ya mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili aitwaye Christina Shusho.

Mbarikiwe kwa msaada wenu
============
Enzi hizo bado mbichi...
 
Yes kanisani kwake manzese, ingia YouTube ucheki interview yake leo....

Kama kaonja kawine hivi, asee sijui kama ana ndoa yule

Full kuchange mazima, storee zake mara wolpa, wema a hamisa eti anataka kwa nguvu urafiki nao, watu wamempa makavu sijui atayasoma[emoji849]

Asante kwa taarifa, binafsi napenda sana nyimbo zake hilo kwangu linatosha... ila kuhusu kanisa kwamba naye anamiliki lake sipo huko!

Watu hawapo siriazi, wanapotuletea maisha yao binafsi tunaona madhaifu yao mengi.

Kuwa mtumishi kisha marafiki ni kina Wema, inabidi nguvu kuwaokoa hao kondoo au kuvutwa upande wao!
 
Na Mimi nimeuona Leo

In short Shusho alikuwa level moja na Upendo Nkone ila mpaka tunaingia mitamboni mwaka huu Upendo Nkone atabaki kuwa juu saana. Shusho kachakachua kila kitu kuanzia maisha yake binafsi, injili na myimbo. Yule mzee aliyemuokota katika makambi ya wakimbizi akamuoa amekuwa hana thamani tena
Kumbe ni mrundi ndio mana anamsifu mrudi meko
 
Mkuu, it is not easy to get her history from anyone kwa sababu hana skandali yoyote. Ikiwa huna nia mbaya piga hodi kanisa la TAG Ilala, watakuambia how to meet her kisha mwaweza kuongea.

Thanks for this thread anyway, I didn't know she was from DRC. I thought she is Nyakyusa.
Angalia pua ndio utajua katoka wapi,Wanyakyusa hawako hivyo
 
wana JF mtoa thread ameulizia tu historia yake I suppose for good, huenda ameridhishwa na huduma za mdada huyu ktk kumtukuza Mungu kupitia nyimbo zake ukilinganisha na wengine (wadada). Hata mi namkubali na naridhia kujua historia yake. Unayesema ana asili ya Congo can you please go a bit far into details kama wafahamu zaidi. Tafadhali
Hata Chibalonzo wengi walijua ni Mkenya kumbe ni Mcongo,kwa hiyo inatosha
 
Ni mtumishi wa Mungu wa ukweli. Ana mume na watoto 3, wawili wa kike na mmoja wa kiume. Mume wake anafanya TRA na ni mchungaji msaidizi wa kanisa moja la Kilokole. Mume wake ametokea Kigoma. Hivyo yeye ni mama Mchungaji. Inasemekana yeye ni Mnyamwezi wa kuhamia lakini asili yake ni Congo (Ingawa hapa sina uhakika sana)!

Ni mtumishi ambaye ameinuliwa na Mungu mwenyewe! Pia anajua kukaa magotini pa Bwana na ndiyo siri ya kukubalika kwake. Inasemekana yeye kama yeye alianzia chini sana! Alikuwa na duka la nguo, workshop ya kushona nguo & designing Kariakoo ambayo ameifunga mwishoni mwa mwaka jana.

Ni kweli alikuwa anaenda kufunga mzigo Dubai n.k. Kwa sasa sijui kahamishia biashara hiyo wapi! Pamoja na mume wake, wana studio ya kurekodi miziki ya Injili Kigoma. Kwa anayetaka habari zaidi ani PM lakini nadhani zinatosha!
Umemsoma mdau mmoja mmoja aliyeandika kuwa alimtosa jamaa aliyemtoa kule kwenye makambi ya wakimbizi ?Wanawake wana siri nyingi.
 
Back
Top Bottom