Who is Christina Shusho historically?

Who is Christina Shusho historically?

huu ndiye wimbo bora zaidi katika nyimbo zake. Laiti angeendelea kumtumikia Mungu kwa kiwango hiki ooooh angekuwa mbali zaidi, kwasasa hana tofauti na bongo fleva
Wamemchakachua dada wa watu. Mbaya sana.
 
Naomba Mungu na mme wake Christina wanisamehe.......... hata Sir God anajua nilishamtamani sana kwenye video loH!!. Kuna wimbo wake unaitwa Songa Mbele.Yaani huu wimbo ukipigwa na nikianza kuusikiliza naandika proposal si chini ya nne kwa siku moja nausikiliza wenyewe aghhh basi tu . Mungu ambariki, amzidishie, amwinue, atuombeee na sisi wanywa Viroba na Rubisi na Dompo na Valeur na Regency tuokokeeeee.
afu rubisi anywe nani?
 
mimi nimeuona leo boss
Na Mimi nimeuona Leo

In short Shusho alikuwa level moja na Upendo Nkone ila mpaka tunaingia mitamboni mwaka huu Upendo Nkone atabaki kuwa juu saana. Shusho kachakachua kila kitu kuanzia maisha yake binafsi, injili na myimbo. Yule mzee aliyemuokota katika makambi ya wakimbizi akamuoa amekuwa hana thamani tena
 
Jamani wote mlioanza kumchafua huyu dada nyie ni wasafi? au ni unafiki na uzandiki, wivu ndio umewajaa..!? mnamsema Lowassa kisa ndiye rais ajae mnamchafua makapurwa nyie, kila mwimbaji wa injili Lowassa au mmetumwa kuchafua watu nini..!? shame on u..!!
Rais lowasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuna tetesi kuwa Christina Shusho atachukua fomu za kuomba ubunge wa viti maalum CCM.

Kwa sasa Christina Shusho ni mpigaji wa kawaida sana, injili ni kuzugia tu, anatafuta pesa kwa hali, mali na hila.
Yuko busy kujipendekeza kwa jiwe, na nahisi hata anaweza kupigwa miti kimasihara ili kuvuna cheo.
 
Kuna kipindi Mchungaji Shusho ambaye ni mumewe Christine alikwenda nje ya nchi kwa muda kidogo. Huku nyuma dada akampata Zakayo Wa TRA, jamaa akapanda dau baada ya kuzuzuka na uzuri wa dada akamnunulia ndinga moja ya ajabu, dada kwa tamaa na ulimbukeni akajaa ilihali yeye na mumewe nyumbani wana gari nne tayari.

Pastor kurudi kakuta mtoto ana ndinga mpya, kuuliza na kumbana dada akakiri kuwa kuna Zakayo wa TRA ndio kamhonga, Pastor kukasirika ndio kumpigia simu bwana Zakayo na kumrudishia ndinga yake, then mguu kwa mguu hadi kwa yadi ya magari na kumwambie dada achague gari kali kuliko ile ya Zakayo wa TRA, dada kachagua na Pastor kazama kumfuko ili kunusuru ndoa yake asije poteza mtoto mzuri ilihali angali akimpenda na amemtoa mbali.

Kumbuka hiyo yote ni wakati bado dada hajakutana na Pedezhee bwana mamvi aliyepata kuwa waziri nkubwa enzi ya utawala wa mwanzo kabisa wa ------. Nimeamua kutake risk kumwaga uozo huo anaofanya Christine ili kuwaonyesha tu jinsi hawa wasanii wa injili wanavyojinafikisha kwa mgongo wa YESU ilihali wakifanya ushehetwani mkubwa.
Duuu
 
Back
Top Bottom