Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,609
- 5,144
Yes kanisani kwake manzese, ingia YouTube ucheki interview yake leo....Kanisani kwake..!!
Membe alishaosha Rungu sana hapo huyo maza.Yes kanisani kwake manzese, ingia YouTube ucheki interview yake leo....
Kama kaonja kawine hivi, asee sijui kama ana ndoa yule
Full kuchange mazima, storee zake mara wolpa, wema a hamisa eti anataka kwa nguvu urafiki nao, watu wamempa makavu sijui atayasoma[emoji849]
Weee mbona wanatajwa wengi Sasa?Membe alishaosha Rungu sana hapo huyo maza.
Hahah mjini hapa mkuu,mambo ni Mengi sana.Weee mbona wanatajwa wengi Sasa?
Nilimuona kwenye msiba wa ruge na range yake kali nikasema woyoo[emoji119]
Enzi hizo bado mbichi...
Salamu wan JF,
Tafadhali naomba kujua historia fupi ya mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili aitwaye Christina Shusho.
Mbarikiwe kwa msaada wenu
============
Kwishaaaaa habari yake!watu mnajua mambo hadi mwatisha, huyo mdada umaarufu umempoteza mazima
Kanisa ni lake kumbe ?Ameyaishi maneno yako she's still pretty karibu kanisani kwake Manzese!
Hata sasa hivi hasa sura nzuri sanaEnzi hizo bado mbichi...
Hivi kwanini?Kwishaaaaa habari yake!
Ulokole wa maonyesho! Nyuma ya pazia ushenzi mtupu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wote wenzake mbona wamefungua ...Kanisa ni lake kumbe ?
Ulipotelea wapi mremboKwishaaaaa habari yake!
Ulokole wa maonyesho! Nyuma ya pazia ushenzi mtupu!
Sent using Jamii Forums mobile app
...πππ...?Membe alishaosha Rungu sana hapo huyo maza.
Yes kanisani kwake manzese, ingia YouTube ucheki interview yake leo....
Kama kaonja kawine hivi, asee sijui kama ana ndoa yule
Full kuchange mazima, storee zake mara wolpa, wema a hamisa eti anataka kwa nguvu urafiki nao, watu wamempa makavu sijui atayasoma[emoji849]
Kumbe ni mrundi ndio mana anamsifu mrudi mekoNa Mimi nimeuona Leo
In short Shusho alikuwa level moja na Upendo Nkone ila mpaka tunaingia mitamboni mwaka huu Upendo Nkone atabaki kuwa juu saana. Shusho kachakachua kila kitu kuanzia maisha yake binafsi, injili na myimbo. Yule mzee aliyemuokota katika makambi ya wakimbizi akamuoa amekuwa hana thamani tena
Angalia pua ndio utajua katoka wapi,Wanyakyusa hawako hivyoMkuu, it is not easy to get her history from anyone kwa sababu hana skandali yoyote. Ikiwa huna nia mbaya piga hodi kanisa la TAG Ilala, watakuambia how to meet her kisha mwaweza kuongea.
Thanks for this thread anyway, I didn't know she was from DRC. I thought she is Nyakyusa.
Hata Chibalonzo wengi walijua ni Mkenya kumbe ni Mcongo,kwa hiyo inatoshawana JF mtoa thread ameulizia tu historia yake I suppose for good, huenda ameridhishwa na huduma za mdada huyu ktk kumtukuza Mungu kupitia nyimbo zake ukilinganisha na wengine (wadada). Hata mi namkubali na naridhia kujua historia yake. Unayesema ana asili ya Congo can you please go a bit far into details kama wafahamu zaidi. Tafadhali
Umemsoma mdau mmoja mmoja aliyeandika kuwa alimtosa jamaa aliyemtoa kule kwenye makambi ya wakimbizi ?Wanawake wana siri nyingi.Ni mtumishi wa Mungu wa ukweli. Ana mume na watoto 3, wawili wa kike na mmoja wa kiume. Mume wake anafanya TRA na ni mchungaji msaidizi wa kanisa moja la Kilokole. Mume wake ametokea Kigoma. Hivyo yeye ni mama Mchungaji. Inasemekana yeye ni Mnyamwezi wa kuhamia lakini asili yake ni Congo (Ingawa hapa sina uhakika sana)!
Ni mtumishi ambaye ameinuliwa na Mungu mwenyewe! Pia anajua kukaa magotini pa Bwana na ndiyo siri ya kukubalika kwake. Inasemekana yeye kama yeye alianzia chini sana! Alikuwa na duka la nguo, workshop ya kushona nguo & designing Kariakoo ambayo ameifunga mwishoni mwa mwaka jana.
Ni kweli alikuwa anaenda kufunga mzigo Dubai n.k. Kwa sasa sijui kahamishia biashara hiyo wapi! Pamoja na mume wake, wana studio ya kurekodi miziki ya Injili Kigoma. Kwa anayetaka habari zaidi ani PM lakini nadhani zinatosha!
Huu uzi umemleta...at first nilidhani huyu ni shusho ujue...Ulipotelea wapi mrembo
Bado unahangaika na uzi wa 2017?....move onAngalia pua ndio utajua katoka wapi,Wanyakyusa hawako hivyo