Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napenda sana mwimbo wa wake wa "Mtetezi wangu Yesu anaishi leo...
Kujadili ni muhimu kwa kuwa yeye anajiita mtumishi wa mungu
Ni ukweli mtupu ila hii skendo ilizimwa chini chini baada ya kusuluishwa na wachungaji.
Msameheni ili mradi alikubali na akatubu.wanadamu.tumeumbiwa udhaifu
Hizo ndo zake tena alinunuliwa na gari ana michepuko mingi tena vigogo wa hatari sema kipaji cha kuimba anacho.
za saahizi, hembu wataje hao vigogo
Poa unataka ninyofolewe kucha mkuu na cyber law.