Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
kwani hako kasheria mjomba ameshapiga saini?
Jana nimemuona msemaji wa akili akisema raisi atatia saini yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani hako kasheria mjomba ameshapiga saini?
Usilolijua ni kama usiku wa giza. Huyu dada kabla sijajua uchafu wake nilikuwa napenda sana nyimbo zake. Christine ni Mkongo kwa asili, alifikia kwenye kambi ya wakimbizi Kigoma, mumewe ambaye ni Mchungaji Shusho ni mtu wa Kigoma na ndiye aliyefanya makaratee yote kumtoa Christine kambini na kumfanya kuwa raia na kumuoa kabisa.
Ukoo wa mumewe yaani kina Shusho wamebarikiwa kidogo kwa unafuu wa kimaisha na karibia wengi wamesoma na wanaishi Ulaya na Marekani. Mchungaji Shusho kifedha anajiweza siyo mbaya. Baada ya mumewe kugundua kuwa mkewe anakipaji kikubwa cha kuimba akaona afanye juu chini kumpa support ya nguvu.
Baada ya mafanikio na umaarufu mwingi, dada amekuwa limbukeni wa kutupwa na kuanza kuota mapembe kumuona mumewe sio hadhi yake tena. Hivi sasa ndoa iko taabani vibaya mno, vikao vingi vimekaa vya familia lakini binti anaomba msamaha wa kinafiki na kuendelea na mambo yake.
Inasemekana kuwa bwana mamvi aliyepata kuwa waziri mkubwa na kuachia ngazi kwa kashfa flani ya kampuni ya umeme ndiye anakaa pale kwa sasa. Dada kazuzuka vibaya kwa kuwa jamaa anakata mshiko wa ukweli na safari za matumizi za kufa mtu. Na anajiamulia safari bila kibali cha mumewe, maana hana sauti tena juu yake.
Mchungaji Shusho anadai kuwa dada ameshajiunga na dini ya wajenzi huru manake ishara na mambo kadhaa afanyayo ndani huwa hamuelewi kabisa. Bwana mamvi anataka kuhakikisha kuwa ndoa inavunjika ili afanye nyumba ndogo kwa uhuru kabisa.
Kwa ufupi ni hayo tu, na mkinichokoza zaidi... Shika dini umtazame Mungu wako na wala usimtazame mwanadamu. Siku hizi mziki wa injili ni biashara na wala siyo kiroho, wasanii wengi matendo na tabia kamwe hayafanani na wanayoimba.
Ushindwe na ulegee. Kwa uzuri wa sura ya Christina, mguso wa nyimbo zake, maisha mazuri aliyo nayo na kibali alicho nacho lazima ukose usingizi kwa wivu. Hata kama unayosema ni kweli hayaondoi ukweli tunaouna sisi kwake. Mimi nitachukulia ni vita kwani mguso wake si wa kawaida, na mwenye haki Christine ajapoanguka mara 7 atainuka tena.Kuna kipindi Mchungaji Shusho ambaye ni mumewe Christine alikwenda nje ya nchi kwa muda kidogo. Huku nyuma dada akampata Zakayo Wa TRA, jamaa akapanda dau baada ya kuzuzuka na uzuri wa dada akamnunulia ndinga moja ya ajabu, dada kwa tamaa na ulimbukeni akajaa ilihali yeye na mumewe nyumbani wana gari nne tayari.
Pastor kurudi kakuta mtoto ana ndinga mpya, kuuliza na kumbana dada akakiri kuwa kuna Zakayo wa TRA ndio kamhonga, Pastor kukasirika ndio kumpigia simu bwana Zakayo na kumrudishia ndinga yake, then mguu kwa mguu hadi kwa yadi ya magari na kumwambie dada achague gari kali kuliko ile ya Zakayo wa TRA, dada kachagua na Pastor kazama kumfuko ili kunusuru ndoa yake asije poteza mtoto mzuri ilihali angali akimpenda na amemtoa mbali.
Kumbuka hiyo yote ni wakati bado dada hajakutana na Pedezhee bwana mamvi aliyepata kuwa waziri nkubwa enzi ya utawala wa mwanzo kabisa wa ------. Nimeamua kutake risk kumwaga uozo huo anaofanya Christine ili kuwaonyesha tu jinsi hawa wasanii wa injili wanavyojinafikisha kwa mgongo wa YESU ilihali wakifanya ushehetwani mkubwa.
watu mnajua mambo hadi mwatisha, huyo mdada umaarufu umempoteza mazimammmh! mamvi naye na waimbaji wa nyimbo za injili yupo wapi BEATRICE MUHONE
huu ndiye wimbo bora zaidi katika nyimbo zake. Laiti angeendelea kumtumikia Mungu kwa kiwango hiki ooooh angekuwa mbali zaidi, kwasasa hana tofauti na bongo flevaNyimbo zake zina upako. Huchoki kuzisikiliza na ukizisikiliza unahisi uwepo wa MUNGU na kutiwa nguvu mpya.
Burudikeni na wimbo wake huu wa kuabudu.
mimi nimeuona leo bossHivi huu Uzi bado unatrend tuu?
Nimekutana na hii comment nikashidwa kupita kimya kimya R.I.P Dena na msela mmoja alikuwa anajiita Ibra87 kama sijakosea wa KigamboniHuwa sipendi nyimbo albam nzima lakini za Shusho nazipenda zoteeeee
Ok.... we ndo umeupandisha?mimi nimeuona leo boss
ndio mkuuOk.... we ndo umeupandisha?